Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,411
- 82,338
Maisha magumu mkuu,kama hawa hawakujipanga na wameingiwa na woga.Kwanini tangu aingine Magu ujambaz umezidi
Wangekuwa wale wataalamu wenyewe tusingeona maiti kama hivi....
Maisha magumu mkuu,kama hawa hawakujipanga na wameingiwa na woga.Kwanini tangu aingine Magu ujambaz umezidi
Mkuu kuna mahali nimemtetea huyo jamaa?! Hebu jifunze kusoma na kuelewa.Usimtetee. Ni jambaz hilo angalia hapo shngon kwake ana leso wanayoitumia kufunika uso
Sheria ndio iko hivyo. Mahakama ndio inayoweza kumthibitisha kuwa jambazi.Nini unasema, kakamatwa na vidhibiti bado unamwita mtuhumiwa. Acheni siasa kwenye mambo serious.
Du! inahitaji akili ya ziada kukuelewa mkuu.Kulikuwa Kuna mpelelezi mkuu wa Kilimanjaro hanaitwa Joakim (hali Kuwa ni mmbulu)Halikmesha Moshi kina kadogo, Sambeke,Hellija jamaa wengine hili bidi watu wa kimbiye Moshi,HAPAna mchezo hukitumia Silaa your dead man .HaliKuwa single handed hakuna haja ya kupelekana mahakamani ,he shoot on the spot,Kwa hiyo Tanzania Hinahitaji kufanya hivyo kwasababu they are killing innocent people for nothing even wamechukuwa fedha they still kill you.
Jamba wa kutumia Silaa za moto death penalty.
Au inabidi ulewe kama yeye.Du! inahitaji akili ya ziada kukuelewa mkuu.
Hebu kakojoe ukalale, tutolee upuuzi wako hapa
Yes, iga ufe!!!Insurance ya kufufuka ama?
Kama ulivyoboreka ndo uone ni jinsi gani nawe post zako zilivyotukera. Watu tumepoteza wapendwa wetu halafu wee unaandika siasa gani sijui.!
!
Brother usiniharibie siku ujue na dharau zako. Nimeacha na sihitaji kurudi matusini. Kama umeona hukibaliani na mimi si uniteme tu shida iko wapi? Dharau mi sipendi kabisa ujue. Nimekusamehe tu bure basi.
Hapo ujue meneja nae katumia hii fursa kuchukua za kwakeSasa mbona wanatoa habari za uongo kuwa wameweka hela kwenye pikipiki zikiwa kwenye viroba na wamesepa.
Ukituma picha utasaidia sana
Access bank hawana ulinzi wa polisi ....upo umuhimu wa kutanua kikosi cha FFU ili wakidhi mahitaji ya ulinzi ktk sehemu nyeti ...tatizo ni bajeti kufinywa maana kambi za FFU ni expensive kwakuwa zipo kijeshi zaidi kutokana na namna askari wa FFU anavyotakiwa kutunzwa ili kulinda utimamu wake tofauti na askari wa kawaida.
Mi napokaa ata mwemyekiti simjui...Sasa vp mwenyekiti atanijua mmHata mimi wale maFFU nayakubali sana .
Wana nidhamu sana halafu kule kuna masnaipa wa uhakika.
Hao wanaoitwa anti robari wengi wao ndio narobari wenyewe . Wanapewa marupurupu zaidi ya maffu lakini hakuna wanachofanya zaidi ya kukimbizana na wauza mkaa na matapeli na wacheza kamari mitaani.
Big up askari wa FFU.Wanajituma na hawana mapozi.
Nashauri kila kikosi cha FFU kijengewe Jim za kufanyia mazoezi.
Tunapoelekea kwnye uchumi wa kati ni lazima tuwe na ulinzi imara sana wa nchi yetu kwani wahalifu wengi wana mitandao mpaka nje ya nchi.Na hata silaha nyingine wanazifiche kwenye nchi nyingine. Uhamiaji na JWTZ wajizatiti kuhakisha mipaka yetu inakua salama.
Kila mmiliki wa nyumba ahakikishe anatoa takwimu ya wapangaji wake na mienendo yao.
Wenyeviti wa serikali za mitaa wajue mienendo ya wakazi wa maeneo yao. Ikitokea kijana anahamia tu eneo fulani na kujenga ghorofa au nyumba ya kifahari kwa muda mfupi bila kujua kazi au shughuli yake anayofanya basi ni vizuri pia akachunguzwa kimya kimya na taarifa zake zikafikishwa kwenye vyombo vya dola.
Mbona hata CRDB wana polisi , tena siyo mmoja. Wawili au watatu na wote wana vyuma. Hata access wanao polisi. Hiyo branch watakuwa wapiga dealWameshaambiwa wekeni polisi,hawajali,hutajisikia tena wizi Tpb,Nbc na Nmb kwa kua serikali ina hisa kule imewalazimisha waweke polisi
Mi napokaa ata mwemyekiti simjui...Sasa vp mwenyekiti atanijua mm
Kama ulivyoboreka ndo uone ni jinsi gani nawe post zako zilivyotukera. Watu tumepoteza wapendwa wetu halafu wee unaandika siasa gani sijui.
Inasemekana Polis wa 4 wamepoteza maisha
Wale watu wakiwa kazini WEKA MBALI NA WATOTOJamani? tena! kwa nini wanaua? kwa nini wasichukue hel waondoke? inasikitisha sana hii.
Yameongezeka au yanarudi?duuuuuuh kwanini ujambazi unaanza kuja kwa kasi toka mwaka jana december matukio yanaongezeka haya majuzi tu tegeta mara airport ndo huko mbagala