Benki ya Access Tawi la Mbagala Imevamiwa!

Benki ya Access Tawi la Mbagala Imevamiwa!

Kwakuwa tukio zima nimelipata toka kwa waathirika wenyewe moja kwa moja ,nikiangalia na comment walizoandika watu na kuhadithia nilichojifunza watanzania tunapenda kuhadithia tusivyovijua yaani tunapenda kuongeza chumvi
 
Kwakuwa tukio zima nimelipata toka kwa waathirika wenyewe moja kwa moja ,nikiangalia na comment walizoandika watu na kuhadithia nilichojifunza watanzania tunapenda kuhadithia tusivyovijua yaani tunapenda kuongeza chumvi
Mkuu tuambie wewe unachokijua ili kurekebisha kama kuna upotoshaji
 
!
!
Tuna uhakika gani usio na shaka kwamba waliouwawa ndio haswaa hao majambazi? Kuna tukio mwanza huko sauti mtu kauwawa kwa ajili ya simu ya demu wake, tena hii nimeisoma humu humu.
Hii ina uhusiano gani na ujambazi ulioyokea mbagala?
 
Sheria ndio iko hivyo. Mahakama ndio inayoweza kumthibitisha kuwa jambazi.

Ova


Mkuu elewa huo ni uthibitisho. Na uthibitisho unatokana na vielelezo/vidhibiti vilivyowasilishwa. Kwa hiyo ikiwa wewe ni jambazi na tumekukamata na vidhibiti haituzuii kukupatia adhabu ya mwanzo yaani kukutandika. Mahakama itakupatia adhabu ya Jamhuri (formal).
 
sijajua kwanini hii habari haikurushwa kwenye vyombo vya habari usiku wa jana

na mpaka ss haijafahamika wamekufa majambaz wangapi,raia wangap na askari wangapi?!
 
Jamani Sirro yupo au kashastaafu???


Kova je????

Mangu naye yuko nje ya nchi?

Wakati watu wako bize na nani anatolewa kafala kama jipu toka kwa magufyuli, WENZAO WANATUMBUA MAJIPU YA PESA BENKI.

Anyway, ndiyo TANZANIA HIYO-TUKIJIKITA SEHEMU MOJA NI HAPO HAPO TU.


Ukimwona MANGUU, MSALIMIE-MWAMBIE AMEPIMWA AMEONEKANA AMEPUNGUA
 
Kamanda Siro anasema kuwa idadi ya Majambazi yalikuwa 12 wakiwa na pikipiki 6.watatu kati ya majambazi hayo yameuwawa,polisi 1 na raia moja.Akaendelea kusema kuwa majambazi yalitelekeza pikipiki na kukimbia na kujichanganya na raia..hata hivyo waliwakimbiza na wakakimbilia kwenye msitu na bado hawajawakamata.Pia Waziri wa mambo ya ndani anataka kumshirikisha mwenzake wa ulinzi ili atoe wanajeshi wasaidiane na polisi katika msako huo.
 
Kamanda Siro anasema kuwa idadi ya Majambazi yalikuwa 12 wakiwa na pikipiki 6.watatu kati ya majambazi hayo yameuwawa,polisi 1 na raia moja.Akaendelea kusema kuwa majambazi yalitelekeza pikipiki na kukimbia na kujichanganya na raia..hata hivyo waliwakimbiza na wakakimbilia kwenye msitu na bado hawajawakamata.Pia Waziri wa mambo ya ndani anataka kumshirikisha mwenzake wa ulinzi ili atoe wanajeshi wasaidiane na polisi katika msako huo.

Duh,walikuwa kumi na mbili,, si kikosi kamili iko cha jeshi,,nna wasiwasi hao majambazi watakuwa sio watanzania,, pole kwa waliofiwa na nduguzo na Huyo askari wetu mtiifu aliefia eneo la mapambano,,,,
 
sasa hujamwelewa nini, mbona yuko simple na clear. tatizo wewe inawezekana hujui kusoma
Unawezajua kusoma ukawa NA shida ya uelewa huyu anasoma sema shida aelewi anataka aelekezwe zaidi sasa hapa sio tuition unachopata kidogo nenda mtaan kasearch more info jaman..
 
BANK ZILINDWE NA JWTZ

KAMA WAMEKUTWA NA REDIO CALL MPYA TATU NA ....UNAHISI WAKO WENYEWE NA UNIFORM MPYA KABISA

HAO NI MAJAMBAZI SUGU WALIONA MTANDAO HADI HUKO NDANI..SIRRO MKUU UNA KAZI KUBWAA ..MSTAAFU WAKO ALIWAACHIA SANA HAWA KAMA WAKO TRAINING ..KUKUSAIDIENI....

HAKA KAMTANDAO WAPO WANDANI WATAKAOTAKA KUMSALITI SIRO AONEKANE HAFANYI KAZI

MKUU SIRRO WASWAHILI WANASEMA TUNAJITOA UFAHAMU ALIKA JWTZ WALINDE NA POLICE BANK ZOTE UONE KAMA HUU UPUMBAVU UTARUDU..HAWA JAMAA WANASIKIA KILA KITU MPAKA AFANDE SIRO ANACHOONGEA KWENYE RCALLS..WAMEZIPATAJE..

LAZIMA MKUU SIRO AKUBALI KUSHIRIKIANA NA JWTZ..NENDA RWANDA ..NENDA UGANDA UPUMBAVU KANA HUU NADRA KUSIKIA SANASANAA

HIKI N KAMTANDAO KAREFU TU NA KAMA MTABAHATIKA KUKAMATA WAWILI AMA WATATU SIKU NYINGINE MSIUE PELEKENI CENTRAL MKAFINYE WATASEMA YOOOTE NAWAAMBIA...

KINGINE PITISHENI MSAKO WA PIKPIK KILA KONA WASIO NA DOCS ZIKUSANYWE MPAKA WAPELEKE NA WAKILETA KUWEPO NA WATU WA TRA WANAHAKIKI.M NSHAINA LIVE OIKIPIK ZA WIZI MBILI ZINAKAMATWA PALE UBUNGO ZIKAPELEKWA NA WAHUSIKA MWENGE...LTR ZIKO MTAANI

NASHAURI PIKIPIK ZOTE ZITAKAZOKAMATWA ZIPELEKWE LUGALO NA ZITOKE KWA RUHUSA MAALUM ...NA AFANDE SIRO UWE NA LIST KAMILII.HIZI NDIZO ZINAZOFANYA MAJANGA MCHANA NA USIKU
 
Kingine chekini vizuri watu Wa benk wamekuwa wakwanza kushiriki nwdays wizi Wa bank NA hats huko mtaani MTU anatoka NA mil sits anaenda pigwa risasi Morocco huu n uhuni..wafanyakazi Wa bank waweke Simu zao zote sehwmu moja wanapoingia NA wasiziguse mpaka lunchtym..badae wakirudi wapige kazi waende kuchukua sim zao

Kama wanaendelea kufanyakazi nahuku wakichat tutaendelea kuisha nawaambia
 
Back
Top Bottom