Jorge WIP
JF-Expert Member
- Jul 12, 2018
- 3,563
- 5,369
Au iwepo miziki wakati tunatoa pesa. Unachagua wimbo wa kusindikiza muamala
Hahah option ya soundtrack unatoa pesa huku unasindikizwa na bia tamu ya Marioo [emoji445]
Au iwepo miziki wakati tunatoa pesa. Unachagua wimbo wa kusindikiza muamala
Ukitoka hapo unanyoosha bar. Wa kulaumiwa ATMHahah option ya soundtrack unatoa pesa huku unasindikizwa na bia tamu ya Marioo [emoji445]
Kama nimemuelewa anachopendekeza mtoa mada ni kwamba. Maboresho yafanyike katika upande wa software ili mimi nikiweka pale natoa Milioni 1, atm yenyewe itoe 400k kisha niichukue na kubonyeza kitufe itoe tena 400k kisha 200k na kisha itoe kadi. Badala ya kurudia taratibu za kudraw tena mara tatu.ATM inanuwezo wa kutoa noti 40 kwa wakati mmoja. Labda mabenki ya bongo yatengeneze ATM zao wenyewe au serikali iongeze ukubwa wa noti tuwe na noti za 100,000 🐒
Tatizo ni by design ATM ni mfano wa Finite-State machine ambayo hairuhusu dispenser kutoa fedha kabla ya card kutolewa kwenye card reader kwa sababu za kiusalama mfano mtu anaweza kujisahau akishapata hela na kuacha kadi yake.Kama nimemuelewa anachopendekeza mtoa mada ni kwamba. Maboresho yafanyike katika upande wa software ili mimi nikiweka pale natoa Milioni 1, atm yenyewe itoe 400k kisha niichukue na kubonyeza kitufe itoe tena 400k kisha 200k na kisha itoe kadi. Badala ya kurudia taratibu za kudraw tena mara tatu.
Mkuu mbona ule mlio atm inavyoesabu pesa zinavyotoka hua ni mziki tosha kabisa na unaburudisha? Au wewe hua uburudiki na ule mlioUkitoka hapo unanyoosha bar. Wa kulaumiwa ATM
Wabongo walivyo waongo wanaweza sema ni ya kupeleka kwa watoto yatima kumbe anaenda kuitumia kwenye maji ya mende na maji ya muwa.Eeh hii itasaidia ukisema ya kunywa bia
Inakuruhusu 100k tu bas [emoji3][emoji2][emoji2][emoji2]
Sasa si unaweza toa pesa kwa ajiri ya mgonjwa ila ukajikuta unatekeleza maudhui ya wimboHahah option ya soundtrack unatoa pesa huku unasindikizwa na bia tamu ya Marioo [emoji445]
Sasa si unaweza toa pesa kwa ajiri ya mgonjwa ila ukajikuta unatekeleza maudhui ya wimbo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unaweza toa kwa njia ya huduma nyingine withdraw 600k then unamalizia na 400kHapa nashauri developers kwenye program za ATM kwamba.
Mfano nikitaka kutoa 1m kwasasa (crdb) lazima nianze na 400k kadi inatoka then naichomeka tena ndio nitoe 400k baada ya hapo kadi inatoka tena unaichomeka ili utoe 200k.
Wazo dogo ni kwamba kabla ya kadi kutoka kuwe na option ya kuulizwa kama unataka kutoa tena muamala mwingine then uendelee hadi kiwango unachotaka labda 1m then kadi itoke au hadi kiwango kilichoruhusiwa kwa siku kwenye ATM.
Kama ni gharama za transaction zijumlishwe kwa kila transaction au ibaki moja tu.
Ni hayo
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] We jamaaAu iwepo miziki wakati tunatoa pesa. Unachagua wimbo wa kusindikiza muamala
Sio lazima mzungu ndio maana pia ina option ya kuchagua lugha. Wapo wataalamu wengi tu.Wazungu Ndio wanaotengeza hizo mashine sasa hiyo laki 4 ya kibongo kwa Dola 100 ni Sawa na kutoa dola elfu 4000 Kwahiyo nafikiri wakati wanadesign waliangalia pesa yao, bila kuangalia thamani ya pesa Kwa nchi na Nchi. So kunatuumiza ni value ya pesa yetu Iko chini na sio Mashine za ATM’s
Asante sana. Maana yangu ndio hiyo.Kama nimemuelewa anachopendekeza mtoa mada ni kwamba. Maboresho yafanyike katika upande wa software ili mimi nikiweka pale natoa Milioni 1, atm yenyewe itoe 400k kisha niichukue na kubonyeza kitufe itoe tena 400k kisha 200k na kisha itoe kadi. Badala ya kurudia taratibu za kudraw tena mara tatu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Au iwepo miziki wakati tunatoa pesa. Unachagua wimbo wa kusindikiza muamala
ATM inanuwezo wa kutoa noti 40 kwa wakati mmoja. Labda mabenki ya bongo yatengeneze ATM zao wenyewe au serikali iongeze ukubwa wa noti tuwe na noti za 100,000 [emoji205]
Au iwepo miziki wakati tunatoa pesa. Unachagua wimbo wa kusindikiza muamala
Na sisi wenye balance ya laki!
Ujuaji mwingi mbele giza, haya kanunue soda na hizo bitcoin zakoHivi bado mngali tu hamjachoka kutumia cash money? Then, why also use an ATM? Digital money, Bitcons, hamzioni au?