Benki Ongezeni Hili kwenye ATMs zenu

Benki Ongezeni Hili kwenye ATMs zenu

Hardlife

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2021
Posts
2,760
Reaction score
6,333
Hapa nashauri developers kwenye program za ATM kwamba.

Mfano nikitaka kutoa 1m kwasasa (crdb) lazima nianze na 400k kadi inatoka then naichomeka tena ndio nitoe 400k baada ya hapo kadi inatoka tena unaichomeka ili utoe 200k.

Wazo dogo ni kwamba kabla ya kadi kutoka kuwe na option ya kuulizwa kama unataka kutoa tena muamala mwingine then uendelee hadi kiwango unachotaka labda 1m then kadi itoke au hadi kiwango kilichoruhusiwa kwa siku kwenye ATM.

Kama ni gharama za transaction zijumlishwe kwa kila transaction au ibaki moja tu.

Ni hayo
 
Sababu za kiusalama. Utasikia Mtuhumiwa aliiba kadi ya mteja na kuitumia kutoa pesa taslimu mara tatu katika ATM ya vingwungwuti B.
 
Wazungu Ndio wanaotengeza hizo mashine sasa hiyo laki 4 ya kibongo kwa Dola 100 ni Sawa na kutoa dola elfu 4000 Kwahiyo nafikiri wakati wanadesign waliangalia pesa yao, bila kuangalia thamani ya pesa Kwa nchi na Nchi. So kunatuumiza ni value ya pesa yetu Iko chini na sio Mashine za ATM’s
 
Back
Top Bottom