System za Atm ilianza America na kwa wakati huo zilipigiwa wastani wa noti 40, hadi leo huko america na ulaya noti 40 za 100bills , usd au euro ni pesa nyingi sana.
Huku kwetu pesa hazina thamani ndo sababu tualazimika kutoa wastani wa noti zaidi ya 40,
Nimeona baadhi ya Atm za crdb zinatoa noti 60 , kwa noti za 10000 ni laki sita .
Ni wazo zuri labda watu wa IT watajaribu , ila ninavyofahamu kuna series of commands and security checks kuanzia unapoweka Atm kadi yako hadi kupata pesa , na shidani kama swala la kupata noti nyingi kwa mkupuo , linaweza kuwezekana kwa kufanya software tweaks pekee