Sio kweli panahiyo option pale kwenye ATM fatilieni unahitaji kiasi kingine ukibonyeza pale ndo unaandika mwenyewe kiasi utakacho isizidi milion nadhani kwa ATMInakera sana. Tena ukikutana na mtu ambaye ni slow anaweza kutumia hadi dk15 ndio anatoka.
Kuna ATM zinatoa hadi noti 60 nyingine 80. Nilikutana nazo dodoma pale crdb bankATM inanuwezo wa kutoa noti 40 kwa wakati mmoja. Labda mabenki ya bongo yatengeneze ATM zao wenyewe au serikali iongeze ukubwa wa noti tuwe na noti za 100,000 🐒
Option ya kuandika kiasi kingine unachotoa ipo, Ila wanaandika mwisho laki nne Kama kwenye ATM kuna noti za elfu kumi, sometimes pia wanaandika isizidi laki mbili Kama kwenye ATM kuna noti za elfu tano, nishakutana na hii kitu Mara nyingi nikienda kwenye option hiyo mkuuSio kweli panahiyo option pale kwenye ATM fatilieni unahitaji kiasi kingine ukibonyeza pale ndo unaandika mwenyewe kiasi utakacho isizidi milion nadhani kwa ATM
Waambie waongeze ukubwa wa tundu tu ili 1M itoke at one go. We waste lots of time kwenye ATMHapa nashauri developers kwenye program za ATM kwamba.
Mfano nikitaka kutoa 1m kwasasa (crdb) lazima nianze na 400k kadi inatoka then naichomeka tena ndio nitoe 400k baada ya hapo kadi inatoka tena unaichomeka ili utoe 200k.
Wazo dogo ni kwamba kabla ya kadi kutoka kuwe na option ya kuulizwa kama unataka kutoa tena muamala mwingine then uendelee hadi kiwango unachotaka labda 1m then kadi itoke au hadi kiwango kilichoruhusiwa kwa siku kwenye ATM.
Kama ni gharama za transaction zijumlishwe kwa kila transaction au ibaki moja tu.
Ni hayo
Labda iwe kwa Dola siitakua nyingisana bahasha utatoa wapi yakubebea pia Sheria ya nchi inabana unatakiwa kutembea na shingapi mkuu kwenye wallet ndomana ukihitaji nyingi unatakiwa uingie ndani ili ujaze ile karatasi ili ujibu unatoa ya nn mie nautaratibu wangu kuepusha usumbufu hua naingia ndani natoa milion kilamwezi harafu najaza pale "yakunywea pombe ". Yule bint tailor hua ananiangalia anacheka namwambia nipe yakwanguWaambie waongeze ukubwa wa tundu tu ili 1M itoke at one go. We waste lots of time kwenye ATM
😂😂😂Au iwepo miziki wakati tunatoa pesa. Unachagua wimbo wa kusindikiza muamala