Kitope
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 236
- 58
Heshima wakuu,
Nimekaa nikijiuliza katika kuhangaika kwangu kama kuna benki iliyo bora ama yenye uafadhali katika kutoa Service kwa wateja ikiwemo na
1. Huduma nzuri kwa wateja hata wale akina sisi tusio na matrilioni
2. Reasonable intrest rates
3. Shares zenye manufaiko
4. Ina offer International transactions at cheaper rates
4. Kutokusumbuliwa katika uzungushaji wa fedha zako mwenyewe na sio mikopo yao.
5. Good investments consultancy
6. Na mengineyo
Dah, sina budi kutanguliza shukrani zangu kwa wote mtakao nichangia kwa hili.
Shukrani,
Kitope.