TANZIA Benjamin William Mkapa, Rais wa Tanzania wa Awamu ya Tatu afariki dunia

Status
Not open for further replies.
Anzia kusoma nilipokuqoute labda utaelewa.

Sijaelewa kitu, ulipoanza kuniquote mpaka hapa hakuna paragraph 50, ndio maana nataka kujua unaoongea nini ili nijue mwelekeo. Isije tukapoteana kadiri tunavyosogea mbele.
 
Kibaya sio kutangulia kama umri unaruhusu. Kibaya ni kijana kutangulia na jinsi anavyotangulia. Simanzi ni pale mtu anapoondoka bila kurealise potential yake. Kwa mfano mtoto wa CDF japo sikumjua, nilisikitika kwakuwa alikuwa kijana mdogo with his whole life ahead of him. Pia jinsi alivyoondoka nilijiweka kwenye nafsi yake, nikaumia.

Mzee Mkapa amepitiliza maisha ya kuishi. Tumeshauona mchango wa nguvu zake hapa duniani. It´s ok apumzike.
Yule pilot
Hadi sasa naumia
 
Bwana alitoa Bwana Ametwaa
Jina la Bwana lihimidiwe

Mwendo ameumaliza na sasa amelala
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom