Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,103
- 43,348
Yes I said it.
Najua hili sio popular hapa lakini facts lazima ziwekwe wazi na majungu yaachwe. So far yanayosemwa hapa kuhusu Mkapa ni majungu tu kama vile vinavyoandikwa kuhusu Mwinyi na Kikwete vinapoitwa majungu na hivyo kufutwa au kupelekwa kwenye udaku.
Kama hakuna wa kushuhudia ufisadi wa Mkapa beyond reasonable doubt, basi Mkapa ataendelea kuwa mtanzania safi (kama inavyomstahili).
Madela,
Ni convention wisdom kwa wengi hapa kutafuta favor na mkuu wa sasa huku wakitumia kila wanachoweza kumponda na kumchafua mkuu aliyetoka. Lakini pamoja na hayo, ukweli na uwazi wa forum hii lazima pia ufuatane na facts na sio vinginevyo.
Au wewe unasemaje?
Labda nikuulize wewe kama unajua hili (kwa hakika), mgodi wa kiwira ni wa nani?
Hapo ulitakiwa kujibu swali kuliko kuuliza swali.
Kama hujui sema sijui.
Iwapo unajua mmiliki wake mtaje.
Ok.. and pope is not catholic!
Hapana Madela, hapo nilikuwa na haki ya kuuliza swali ili kujenga context ya swali la msingi.
Kitendo cha mkuu kuacha vijana wake waibe mbele ya uso wake tu ni ufisadi mkubwa, achilia mbali kufanya biashara binafsi kwa kutumia umaarufu wa jengo la serikali na cheo chake.
Mazungumzo yeyote rasmi na hata yale ya Yanga na Simba kule Kichwele Street hufuata mkondo wa kujibu hoja kwanza kisha kuleta hoja, sivyo tafrani ya mazungumzo huzaliwa.
Jibu swali.
Wakuu msimshambulie mwenzenu,yeye anavyoona(kwa mtizamo wake) ni kwamba Mkapa sio fisadi,so cha msingi ni kumsaidia tu kwa kuainisha ufisadi wa Mkapa(japo yalishaainishwa mengi) kwa kuweka mambo ambayo yatamfanya ndugu yetu Solomon aamini kuwa Mkapa ni Fisadi badala ya kuanza kumshambulia kwa kusema mara sijui katumwa mara nini..tumuache autumie uhuru wake jamani,tusimshambulie,tumsaidie,hajui kitu huyo........
oh,mkuu naomba umsalimie GEMBE(only if u know him) because u share with him/her the same ideology.Yes I said it.
Najua hili sio popular hapa lakini facts lazima ziwekwe wazi na majungu yaachwe. So far yanayosemwa hapa kuhusu Mkapa ni majungu tu kama vile vinavyoandikwa kuhusu Mwinyi na Kikwete vinapoitwa majungu na hivyo kufutwa au kupelekwa kwenye udaku.
Kama hakuna wa kushuhudia ufisadi wa Mkapa beyond reasonable doubt, basi Mkapa ataendelea kuwa mtanzania safi (kama inavyomstahili).
Nitarahisisha hili ili kuendeleza mjadala.
Ninajibu swali - Kwa kweli simjui mmiliki wa Kiwira (kwa hakika).
Je wewe unamjua?
Mkuu Kidatu,
heshima kwako mkuu, lugha hiyo mkuu. lugha hiyo!
Kwa leo naizuia hasira yangu,lkn ukirudia kuleta madudu yako hapa kwenye jamii ya greatest thinkers nitakupa unachostahili kupewa!
Kama ni issue ya without beyond reasonable doubt basi HAMNA FISADI tz maana hamna hata mmoja aliyetiwa hatiani na mahakama zetu!
Ndiyo ina maana mtu kama Mkapa aliyechukua Kiwira yetu au uporaji wa mke wake majumba ya msajili,lkn pasipo wote kutofikishwa mahakamani nakuhukumiwa kwa hiyo sio fisadi!?
Upo Hovyoooooo!na kama huna hoja please SHUT-UP!
Mgodi wa Kiwira ni wa nani?
tunashukuru kwa matusi yako, maana kwa akili yako nzuri tu, unataka kujixxxx fanya kwamba hujui au hufahamu matatizo aliyo leta shwetani mkapa, mpaka leo hii umerudia swali ambalo linaeleleweka wazi kwa watanzania 90% ingawa wengine walifaidika kwa wizi wa mkapa , lakini wana akili ya kutmbua hilo, sasa sijui wewe aidha unatujaribu au unaelewa lakini unajaribu kutafuta njia za kumtetea au za kujitetea (* mkapa) kwa mambo aliyo ifanyia nchi hii. kama mdau moja alivyo sema hakuna na haitotokea raisi mbovu kama yeye, mimi nilikuwepo wakati wa Alhaji, lakini alicho fanya Che Nkapa, waulize waarusha na mererani ya tanzanite yao, watu wamusoma/mza/tbr na zahabu yao na samaki wa nyanza, wa tanzania na NBC, tanesco, nyumba za serikali etc etc, lakini kwa sababu tuwavumulivi/wastaarabu tunashukuru kwa matusi yako, lakini dhambi aliyo fanya hasa hasa kutukana mababu zake haitokwenda hivi hivi , nenda kamwambie hivyo, na adhabu yake kama sio kwake itaikumba jamii yake hivyo afanye upesi kabla siku zake hazijafika kwenda kumuomba kilaini/pengo/kikwete/simba kwamba angependa kutubu zambi zake. Wakati ni huu, ni shauri yake na yako kama msingependa kuchukua nafsi hii.Yes I said it.