Benjamin Mkapa on BBC HardTalk (Video)

Benjamin Mkapa on BBC HardTalk (Video)

Hahaha alitengenezewa CNN,
Ukiiangalia ile interview ilitengenezwa kumpa publicity kimataifa ingawa haikuwa na impact yoyote, hata Wolf alivyokuwa anasoma maswali kwenye karatasi, yanakupa picha kwamba alipewa maswali ya kuuliza na aliyekuwa anaulizwa alikalili flow ya maswali na alijibu kwa mtiririko huo.
 
Hawezi kukubali aisee.mwenyewe nisingeenda

Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa keshasema watamuomba afanye nao interview that means wako tayari kuja dsm kumfata,niliweka uzi hapa kuhusu hilo MODS wameufuta....hahahahahahahaha
suckur.PNG
 
Ndugu unaandika ujinga ku expose umbumbumbu wako!!! Ushaidi wa kimazingira unakubalika mahakamani na unafunga mtu!!! Hujui maana ya hardtalk ndo maana unadhani eti mzungu ni mzalendo eti anakubaliana na "Mungufuli".
 
Nimeinyaka video ya mahojiano (mwaka 2001) kati ya Mhe. Mkapa na kile kipindi cha BBC HardTalk.

Kweli hii ilikuwa "HardTalk" kwani jamaa walimbana acha.

Waweza kuitazama kupitia link hii:


Haki ya Mungu jiwe akiwekwa mtu kati namna hii atarusha ngumi,na atasahau vocabulary zote alizokariri hahahahahaa
 
Ebwana hii niliiona live BBC wakati huo ndio namaliza form 6. Mkapa yuko Nondo sana kulingalisha na vibwetere wengine wako madarakani. Anaongea kiingereza fasaha na anaongea vitu vinavyoelewaka hata kama ndani yake kutakuwa na uongo.

Ebu imagine anangebananishwa president wetu wa sasa hali ingekuwaje?. Maana yeye lazima awe na vi notice kibao mkononi wakati wa kujieleza. Nafikiri Nyerere anaona mbali sana ndio maana akampendezeka jamaa ile 1995, hakumpendekeza huyu jamaa burebure nafiriki aliona anakitu fulani kichwani. He didnt do a lot wakati wa uongozi wake lakini at least anatoa maelezo yanayotia moyo kuliko wazee wa kufunga mkanda daily.....
Acha mitusi yako mkuu. Achaga umama utumiage hekima
 
Back
Top Bottom