Kibwengo
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 6,838
- 5,294
Mkapa alikuwa na jazba mno, kipenzi chetu magufuli yeye atahojiwa lini na hard talk jamani.Mngejua maana ya HARD talk, na mngekuwa mnasikiliza hard talks mara nyingi, mngekubaliana nami Lissu did the best, sionge uhalali wa aliyozungumza, etc, ila overview ya Interview na namna alivyojibu, the GUY is very competent.....
Angalieni hardtalk ya Hon, President William Mkapa below:
Mkapa alikuwa na jazba mno, kipenzi chetu magufuli yeye atahojiwa lini na hard talk jamani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hivi hakuna hoja, intimidation tupu.I like it, Mh. Mkapa alivyomweka sawa kwa hoja mwandishi mzungu mpaka akalainika na ku-conduct a proper interview. Ni ndoto zangu hali hii ya kujenga hoja ikaeleweka kama Mh. Mkapa ingekuwa inapatikana ktk serikali zote za kiafrika maanake aliyepo sasa hivi Afrika ni Mh. Robert Mugabe pekee anayeweza kujenga hoja.
Subiri wanakuja na jibu lao, "Hizo Hardtalks hazina faida kwa Taifa" maana haziongezi Drimumlaina wala Sitigilazi Goji!!Mkapa alikuwa na jazba mno, kipenzi chetu magufuli yeye atahojiwa lini na hard talk jamani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Subiri wanakuja na jibu lao, "Hizo Hardtalks hazina faida kwa Taifa" maana haziongezi Drimumlaina wala Sitigilazi Goji!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakumbuka alienda Uganda kwenye ufunguzi sijui wa nini... akatandikwa swali na mzungu mpaka akachanganyikiwa.... ikabidi Museven aokoe Jahaz kiaina.Hahaaaa hawa waandishi wa nje wana maswali magumu na hawaogopi jikikumbuka lowasa alimwambia mtangazaji unanionea
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakumbuka alienda Uganda kwenye ufunguzi sijui wa nini... akatandikwa swali na mzungu mpaka akachanganyikiwa.... ikabidi Museven aokoe Jahaz kiaina.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mugabe alikuwa hajengi hoja , alikuwa anatukana!I like it, Mh. Mkapa alivyomweka sawa kwa hoja mwandishi mzungu mpaka akalainika na ku-conduct a proper interview. Ni ndoto zangu hali hii ya kujenga hoja ikaeleweka kama Mh. Mkapa ingekuwa inapatikana ktk serikali zote za kiafrika maanake aliyepo sasa hivi Afrika ni Mh. Robert Mugabe pekee anayeweza kujenga hoja.
ngumu sio kidogo! Aendelee kuhojiwa tu na hawa vilaza wa redio kayumba!
ngumu sio kidogo! Aendelee kuhojiwa tu na hawa vilaza wa redio kayumba!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeinyaka video ya mahojiano (mwaka 2001) kati ya Mhe. Mkapa na kile kipindi cha BBC HardTalk.
Kweli hii ilikuwa "HardTalk" kwani jamaa walimbana acha.
Waweza kuitazama kupitia link hii:
Jizi tu hilo!unapomita mtu mwizi lazima uwe na uthibitisho....watu wengi mumejengewa chuki kumchukia na kumdharau mzee wa watu kwa vitu vya kupandikizwa...mwajitakia dhambi bure mbele za Mungu....As for me I look at him as an historical leader in this country hata kama walioko madarakani kwa sasa wanajaribu kuua jina lake....there is a lot around that will continuously speak for him hata kama yeye akinyamza.
Mkapa ni kiongozi bora hata kama alifanya makosa ni kawaida kwa mwanadamu kwani hata yeye hakua malaika....he has done a lot na hakua na muda wa maeneno mengi ya kujitakia umaarufu usioleta tija yeyote....munamchukia na kumsema vibaya labda mutuambia aliwanyima au kuwazibia mwanya gani lakini musimsingizie yasiyo kweli wala kuthibitika.
kifa gani labda kifaa cha chooni ikiwa CCM yote wameshindwa ataweza mkapa 58 ya utawala wa ccm ni = 0Mkapa ni kifaaa..Uwezo wake binafsi kiakilii ni ngao tosha katika kujiamini kwake.
Uongozii wake bado utaendeleaa kubakia alama ya msingi wa maendeleo ya taifa hilii.