Nimeinyaka video ya mahojiano (mwaka 2001) kati ya Mhe. Mkapa na kile kipindi cha BBC HardTalk.
Kweli hii ilikuwa "HardTalk" kwani jamaa walimbana acha.
Waweza kuitazama kupitia link hii:
anakimbilia we are independentcountries we want to govern ourselves, hizo ni hoja za waliokosa hoja wanadhani wanaingiliwa na wazungu.
Yes you are i dependent coountries but thatnis never a justification for violences, abuse of power and breach of democracy.
Miafrika inakosea yenyewe kwa uroho wa madaraka iiulizwa iakimbilia kudai.inaingiliwa na wazungu. Inakimbilia kudai kuwa iko huru na isiingiliwe. pumbavu kabisa.
