Duduwasha
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 5,703
- 3,663
Ushahidi gani mwengine unahitajika kujua kwamba utekwaji nyara wa sheikh Farid na kuwekwa kizuizini masheikh wenzake ni jambao lililopangwa ili kuua uamsho na kuzima nguvu za waislamu.
Masheikh waachiwe haraka wasiteseke bure na bendera endeleeni kuteremsha.Mwenyezi Mungu mwenyewe atazipandisha kwa mikono yetu juu ya vichwa vyenu.Ogopeni dua ya mwenye kudhulumiwa.
Unanichekesha sana sasa kama Mwenyezi Mungu mwenyewe ndie unataka azinyenyue Bendela za Uamsho ... wafahamu kuwa yale mabaya yaliyofanywa na uamsho ndio yanalipwa hapa hapa duniani wewe subiri watumukie madhambi yao waliyoyafanya au hujui damu ilimwagika? maombi na dua zilizofanyika hawa uamsho yawezekana wakapotea kabisa kwenye ramani