Bendera za Uamsho zashushwa Zanzibar nzima

Kifo cha uhamsho kimeshafika na Pumzi imeshaanza kutolewa huku ndugu zao wakiwawekea Oxygen wapate kupuma uzur maana hali yao ni mbaya......

Katika hatua nyngne ambayo SMZ imeonesha kidogo makucha yake imeendesha msako mkali wa Bendera za Uhamsho na kuzishusha na kuondoka nazo, SMZ kutumia jeshi la polisi limekamata DVD zote na CD zinaonesha mambo ya Uhamsho.......tukio hili lilitokea pale Mlandege gari ya polisi ilpofka na kubeba kila kitu katka duka moja la wakala mkuu wa CD hizi maana ufanya biashara na kuuzwa nchi za Kiarabu na ulaya......

Ulinzi umeimarishwa Visiwani muda wote Jeshi la polisi linaonesha nguvu yake ambayo muda mrefu waliwalea Uhamsho sababu hawakupewa Ruksa....na mkakati uliopo ni kufutwa kabisa Uhamsho katka ramani ya Tanzania sababu ni Taasisi ya Kidini lakini inaingilia mamlaka ambayo si yake na kujenga chuki baina ya watu......

Ahsante SMZ maana waliwadharau sababu hamkuwapa CHAI

Nimeona Annur ya juzi ijumaa inawapigia Chapuo uamsho. Na Annuur huwa linampigia chapuo Ponda na Basaleh kwani uamsho na annur na Ponda wana uhusiano gani?
 
Kifo cha uhamsho kimeshafika na Pumzi imeshaanza kutolewa huku ndugu zao wakiwawekea Oxygen wapate kupuma uzur maana hali yao ni mbaya......

Katika hatua nyngne ambayo SMZ imeonesha kidogo makucha yake imeendesha msako mkali wa Bendera za Uhamsho na kuzishusha na kuondoka nazo, SMZ kutumia jeshi la polisi limekamata DVD zote na CD zinaonesha mambo ya Uhamsho.......tukio hili lilitokea pale Mlandege gari ya polisi ilpofka na kubeba kila kitu katka duka moja la wakala mkuu wa CD hizi maana ufanya biashara na kuuzwa nchi za Kiarabu na ulaya......

Ulinzi umeimarishwa Visiwani muda wote Jeshi la polisi linaonesha nguvu yake ambayo muda mrefu waliwalea Uhamsho sababu hawakupewa Ruksa....na mkakati uliopo ni kufutwa kabisa Uhamsho katka ramani ya Tanzania sababu ni Taasisi ya Kidini lakini inaingilia mamlaka ambayo si yake na kujenga chuki baina ya watu......

Ahsante SMZ maana waliwadharau sababu hamkuwapa CHAI
UMETUMWA na bwana wako Balozi Seif eddi ? Kushusha bendera haijasaidia kitu,wameshachelewa smz, uwamsho wameshawamsha wananchi kudai zanzibar huru,jua limeshachomoza.

Mandela amelala jela miaka 27 huku harakati za ukombozi ukiendelea,naamini wananchi ambao wanao unga mkono uwamsho juu zanzibar kujitenga watashinda.

Kwa mungu hakuna kubwa.
 
Kifo cha uhamsho kimeshafika na Pumzi imeshaanza kutolewa huku ndugu zao wakiwawekea Oxygen wapate kupuma uzur maana hali yao ni mbaya......

Katika hatua nyngne ambayo SMZ imeonesha kidogo makucha yake imeendesha msako mkali wa Bendera za Uhamsho na kuzishusha na kuondoka nazo, SMZ kutumia jeshi la polisi limekamata DVD zote na CD zinaonesha mambo ya Uhamsho.......tukio hili lilitokea pale Mlandege gari ya polisi ilpofka na kubeba kila kitu katka duka moja la wakala mkuu wa CD hizi maana ufanya biashara na kuuzwa nchi za Kiarabu na ulaya......

Ulinzi umeimarishwa Visiwani muda wote Jeshi la polisi linaonesha nguvu yake ambayo muda mrefu waliwalea Uhamsho sababu hawakupewa Ruksa....na mkakati uliopo ni kufutwa kabisa Uhamsho katka ramani ya Tanzania sababu ni Taasisi ya Kidini lakini inaingilia mamlaka ambayo si yake na kujenga chuki baina ya watu......

Ahsante SMZ maana waliwadharau sababu hamkuwapa CHAI

Too little too late.
 
Uamdho sio magaidi nikundi lililosajiliwa kihalali na hadi sasa ni kundi halali maana usajili wake haujafutwa. Hayo mambo ya kushusha bendera ni kulowesha chupi tu.

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk 2

sio kwamba Uhamsho hawajasajiliwa imesajiliwa kama Taasisi ya Dini ya Kislam, sasa uhamsho kwa walyoyatenda inafutwa, kushushwa bendera ni Ishara kwamba haitakiwi usiwe mbishi kama shipa la kijana boss hivi kitakuwepo chama bila bendera?? Kushushwa bendera ni Ishara ya kifo cha uhamsho haipiti mwezi utasikia imefutwa huo mkakati tayari umewiva wewe huna nguvu ya kuzuia maisha yako yamekushinda nguvu..... hutaiweza serikali

Uhamsho wengi walidhani SMZ haiwezi na wao ndo wenye nguvu sasa wanaumbuka watabaki kusemea pembeni maana siku hizi ukisikika unasema mambo ya Uhamsho yan kushabikia polisi wakisikia unapewa CHAI yako safi kabisa
 
waarabu wameharibu nchi zao sasa wanataka iharibu zenji

hongera serikali wasagesage hao kwan hata boko haram walianza hivihivi
kweli shule muhimu,kutembea pia kusoma,basi tembea tembea ili ujifunze.
 
Siku zote serikali ilikuwa wapi au ndo mpaka achinjwe Afande ndio mnashtuka.Na hii radio imaan itafungiwa lini au mpaka isababishe mauaji.CCM bwana

kwani umeambia uickilize hyo radio imaan siumbea wako unaokutuma,mbona radio zipo nyingi tu clouds,radio 1 kasikilize hizo.
 
wakristo wanaitwa MBWEHA? Huu ni upumbafu wa serikali iliyopo madarakani,MWANAHALISI ilipoandika ukweli ilifungiwa tukaambiwa ni uchochezi sasa hawa magaidi wanatukuzwa kwa nini?hapo ndipo ninapoona umuhimu wa Mkapa,CCM bwana.

Mkuu kweli hili gazeti Al-niir tumelichoka sasa kwani makala zake ni za uchochezi hadi kufikia hatua ya kuita wakristo ni MBWEHA..

SERKAL MPO WAPI?
 
sio kwamba Uhamsho hawajasajiliwa imesajiliwa kama Taasisi ya Dini ya Kislam ,sasa uhamsho kwa walyoyatenda inafutwa kushushwa bendera ni Ishara kwamba haitakiwi usiwe mbishi kama shipa la kijana boss wangi hivi kitakuwepo chama bil bendera?? Kushushwa bendera ni Ishara ya kifo cha uhamsho haipitwi mwezi utasikia imefutwa huo mkakati tayari umewiva wewe huna nguvu ya kuzuia maisha yako yamekushinda nguvu hutaiweza serikali
Kifo cha uwamsho sio kifo cha nyoyo za wazanzibari,harakati zinaendelea za kudai zanzibar huru. hizo ni politics za kiafrika. its too late.
 
acha uongo hakuna isia za Wazanzibar wengi unidanganyi kitu me naishi uku uku zanzibar watu watu wengi hawaikubali Uhamsho na wanaoikubali Uhamsho 90% wapemba sababu wanataka maslah yao na Nje ya muungano ndpo kufa CCM ili atawale CUF aingie mpemba mwenye kufata matakwa ya wapemba na hilo halipo Karume alisema wala msikubali kutawaliwa na Mpemba...wapemba ni watu wabinafsi sana hata ukimpa siri yako ataitoa Adharani...karume akazidi kusema kwa Waapemba ni mfano wa Mavi ya Ng'ombe ukiyaona juu yamekauka ukikanyaga umejilovya(yan ndani uwa mabichi so utaingiza mguu au kidole ndani ya mavi mabichi) haya sikutunga mm bali ni Rais wa 1 wa zanzibar.....sasa Uhamsho ni Isia za CUF na 90% ya CUF ZNZ wapemba
 
Back
Top Bottom