Huhitaji elimu ya chuo kikuu kutambua kuwa Uamsho ni a.k.a. boko haramu, al shaba(h), al quaeda (al kaenda), tal al taaban nk. Ishara yao ya vidole viwili mikono yote kwa pamoja aliyoionyesha kiongozi wao pale mahakamani ni utambulisho unaotumiwa na vikundi hivyo au na freemanson (chadema wenyewe hutumia mkono mmoja tu siyo miwili kwa mkupuo). Ishara hiyo si ya Uislam hata kidogo, wao hutumia alama ya mwezi mchanga kuashiria matumaini, upendo na amani. Waislam wala huwa hawapeperushi bendera misikitni wala sehemu yo yote ile, sijaona bendera ya Uislaam. Hao wa kina Farid wakapimwe vinasaba (DNA) ya viongozi wa vikundi hivyo tajwa na bila shaka vitaonyesha uhusiano wao wa ki genetics na baba zao hao. Hata muonekano wao tu unaashiria pheno type yao. Alhamisi DPP aongeze mashitaka mengine kwa hao jamaa ili wasiweze pata dhamana wala asiwaogope of course ni watu hatari bin hatari. Serikali imulinde.