Bendera za Uamsho zashushwa Zanzibar nzima

Bendera za Uamsho zashushwa Zanzibar nzima

hawajui walifanyalo wamechanganyikiwa
haya kushusha bendera za UAMSHO ndio wazanzibar watautaka muungano? Wapiii game is over
zaindi ya 70% y wazanzibar hawautaki muungano huu km wanaweza kubadilisha fikira za umma hapo watakuwa wameshinda vyenginevyo tutengemee more extreme movement angainst TZ union.WORST CASE to come.

''JAMUHURI YA WATU WA ZANZIBAR KWANZA''
 
Hawa jamaa walisajili kama Taasisi ya Dini itayoshughulikia mambo ya Dini katika mafundiho ya Uislam lakin wakavuka mipaka, na swala la CD hata mtu akiburn basi afiche chumbani na mkewe wa angalie lakini ukigundulika unauza au kusambaza basi jamaa wanatoa chai
 
Kama anamatatizo ya Akili mbona avui nguo na ana wake watatu jamaa huyu si mchezo mbona anapiga kote kote akosei yupo timamu na kama hana akili basi akienda Jela atakutana na wenzake
 
chadema inaingiaje hapa?


Usifananishe CDM na hico chama cha mashehe. CDM ni chama cha watu wote wapenda mabaliko na maendeleo na
ni chama halali cha siasa kilcha sajiliwa na jamhuri ya muungano wa tanzania sio cha uamsho.kilchosajiliwa na serekali ya mapinduzi.
 
UMETUMWA na bwana wako Balozi Seif eddi ? Kushusha bendera haijasaidia kitu,wameshachelewa smz, uwamsho wameshawamsha wananchi kudai zanzibar huru,jua limeshachomoza.

Mandela amelala jela miaka 27 huku harakati za ukombozi ukiendelea,naamini wananchi ambao wanao unga mkono uwamsho juu zanzibar kujitenga watashinda.

Kwa mungu hakuna kubwa.

Unamaanisha mungu gani? Maana huyu Mungu wetu hatetei ujinga na ukosefu wa maadili
 
ushahidi gani mwengine unahitajika kujua kwamba utekwaji nyara wa sheikh farid na kuwekwa kizuizini masheikh wenzake ni jambao lililopangwa ili kuua uamsho na kuzima nguvu za waislamu.
Masheikh waachiwe haraka wasiteseke bure na bendera endeleeni kuteremsha.mwenyezi mungu mwenyewe atazipandisha kwa mikono yetu juu ya vichwa vyenu.ogopeni dua ya mwenye kudhulumiwa.

uamsho na uislamu wapi na wapi?

Maalimu sefu naye ni faridi mwingine (kirusi ndani ya serekali)...dr shein, kwa heshima na taadhima hebu wakabidhi vijana wako kazi maalumu.....
 
shein ni Mbara muunguja hana itikadi za kipemba shein ameandaliwa bongo acha hizo ujampata mpemba asilia ww........na kama Karume angekuwepo asingetawala mtu sababu jamaa alkuwa hawataki hata kidogo anayejua ataungana mkono na mm si kwamba natungahapana na wala si kwamba nawachukia hawa jamaa ila nasema yalyosemwa na Karume
"Shein ameandaliwa bongo."

Ameandaliwa inamaanisha nini?
Ameandaliwa kutekeleza matakwa ya nani au kikundi kipi?
Ni nani au akina nani wamemuandaa Shein?
Ameandaliwa afanye kazi gani?

Kama Shein ni mbara muunguja, sasa huku kuandaliwa ilihusu nini?

Aliandaliwa aukane upemba wake?

"Itikadi za kipemba" ndio zipi,mkuu?

CCM wana ujamaa na kujitegemea. Hizi itikadi za kipemba ni zipi? Zifafanue mkuu.

Unavyomzungumzi Karume katika hii thread ni kuwa alikuwa ni mbaguzi.
Je unataka kutuaminisha kuwa Karume alikuwa ni mbaguzi dhidi ya wapemba?
Nini kilipelekea Karume kuwa mbaguzi?
 
Ushahidi gani mwengine
unahitajika kujua kwamba utekwaji nyara wa sheikh Farid na kuwekwa
kizuizini masheikh wenzake ni jambao lililopangwa ili kuua uamsho na
kuzima nguvu za waislamu.
Masheikh waachiwe haraka wasiteseke bure na bendera endeleeni
kuteremsha.Mwenyezi Mungu mwenyewe atazipandisha kwa mikono yetu juu ya
vichwa vyenu.Ogopeni dua ya mwenye kudhulumiwa.

kuua UAMSHO ni kuzima njama za magaidi East Africa.bado mombasa na dar.kismayu kwisha habari.chezea intelijensia wewe!
 
wangewaacha wajitete kidogo......labda wangekuja na ushahidi kuwa hawasambazi chuki ndani ya jamii......

Watajitetea mahakamani mtaani mkokoto tu. Big up SMZ tena mmewalea sana kama Ponda alivyolelewa. Dr Sheni njoo na huku bara.
 
waarabu bado wanaitafuta sana east africa.tangu idd amin hadi Uamsho.tuacheni tupumuweee!
 
Mie naona bora uamsho ifutwe kwasababu kuachiwa kidogo tu imeonesha makucha makubwa kiasi ambacho taifa limetetemeka kwa hofu hasa wananchi wa kawaida ambao kimsingi ndio wenye nchi.
Pili,tusisahau hata makundi ya kigaidi ya al-shabab na mengine yalianza hivyo hivyo kwa kivuli cha wanaharakati wakiislaam kumbe wana agenda ya siri.
Baadhi ya wanazuoni na viongozi wa kiislaam wamesikika wakilaani fujo zilizo fanywa na uamsho huko zanzibar na maeneo mengine mengi tanzania bara hili ni jambo zuri,lakini upande mwingine naona kwa mtizamo wangu ni unafiki kwa sababu vurugu hizi zimeanza muda mrefu sana kupitia mihadhara na vyombo vya habari kama redio imani na gazeti moja la kiislaam kwa kutoa klugha ya chuki na uchochezi kwa kushambulia madhebu mengine na kushambulia baadhi ya viongozi waasisi wa taifa hili la tanzania bila hao viongozi hata kuchukua hatua kiduchu kukemea.lakini walivyoona serikali imekasirishwa na kitendo cha kuifedhehesha mbele ya umma najumuia ya kimataifa kwa kufanya fujo ndio wanakuwavimbele mbele wa kusema.
Jamani tuwe wakweli kwani tanzania niyetu sote,hivyo hakuna mwenye hati miliki ya kuhukumu mwingine kwa imani ya dini yake.huku ni kufilisika kimawazo
 
sweke, takashi,

..mimi naomba hizo bendera za UAMSHO watuletee na sisi wa-Tanganyika tusioutaka muungano.

..Shekhe Farid asiishie kupinga muungano akiwa ZNZ tu. Tunamuomba aje na huku Tanganyika awaelimishe wananchi dhuluma ya muungano.

..huu muungano siyo wetu walalahoi. mimi sijawahi kufika ZNZ wala sina matumaini ya kufika huko. kuna wa-Tanganyika wengi tu hawana hata habari kama kuna kitu kinaitwa ZNZ, sembuse kuihitaji ZNZ.
 
Last edited by a moderator:
sweke, takashi,

..mimi naomba hizo bendera za UAMSHO watuletee na sisi wa-Tanganyika tusioutaka muungano.

..Shekhe Farid asiishie kupinga muungano akiwa ZNZ tu. Tunamuomba aje na huku Tanganyika awaelimishe wananchi dhuluma ya muungano.

..huu muungano siyo wetu walalahoi. mimi sijawahi kufika ZNZ wala sina matumaini ya kufika huko. kuna wa-Tanganyika wengi tu hawana hata habari kama kuna kitu kinaitwa ZNZ, sembuse kuihitaji ZNZ.

Kazi ya mwanzo ni kuwaelimisha wa Zanzibari ,baadae ndio hatua nyengine zitafuata. Wanao shusha bendera na kuharibu CDs za Uamsho ni kupoteza muda bure. Uamsho ıko katıka mioyo ya watu na sio katika bendera.

Hakuna kurudi nyuma ,hapa ni ushindi au kufa shahidi.
 
wacha wee wana adi bendera?sasa ile bendera ya zanzibar ilikua yapepea na uamsho?
na iyo ya yule kiongozi kuwa mjeshi wa qatar tena?aliukana uraia ama
 
Back
Top Bottom