Bendera za Uamsho zashushwa Zanzibar nzima

Kifo cha uhamsho kimeshafika na Pumzi imeshaanza kutolewa huku ndugu zao wakiwawekea Oxygen wapate kupuma uzur maana hali yao ni mbaya......

Katika hatua nyngne ambayo SMZ imeonesha kidogo makucha yake imeendesha msako mkali wa Bendera za Uhamsho na kuzishusha na kuondoka nazo, SMZ kutumia jeshi la polisi limekamata DVD zote na CD zinaonesha mambo ya Uhamsho.......tukio hili lilitokea pale Mlandege gari ya polisi ilpofka na kubeba kila kitu katka duka moja la wakala mkuu wa CD hizi maana ufanya biashara na kuuzwa nchi za Kiarabu na ulaya......

Ulinzi umeimarishwa Visiwani muda wote Jeshi la polisi linaonesha nguvu yake ambayo muda mrefu waliwalea Uhamsho sababu hawakupewa Ruksa....na mkakati uliopo ni kufutwa kabisa Uhamsho katka ramani ya Tanzania sababu ni Taasisi ya Kidini lakini inaingilia mamlaka ambayo si yake na kujenga chuki baina ya watu......

Ahsante SMZ maana waliwadharau sababu hamkuwapa CHAI

Hakuna mtu/kitu/chombo kinachoweza kufuta vugu vugu la ukombozi, Uamsho ni sehemu ndogo tu ya harakati za ukombozi...Kufuta jina la Uamsho ni bure, watu watakuja katika jina lolote la Ukombozi...
 
Kifo cha uhamsho kimeshafika na Pumzi imeshaanza kutolewa huku ndugu zao wakiwawekea Oxygen wapate kupuma uzur maana hali yao ni mbaya......

Katika hatua nyngne ambayo SMZ imeonesha kidogo makucha yake imeendesha msako mkali wa Bendera za Uhamsho na kuzishusha na kuondoka nazo, SMZ kutumia jeshi la polisi limekamata DVD zote na CD zinaonesha mambo ya Uhamsho.......tukio hili lilitokea pale Mlandege gari ya polisi ilpofka na kubeba kila kitu katka duka moja la wakala mkuu wa CD hizi maana ufanya biashara na kuuzwa nchi za Kiarabu na ulaya......

Ulinzi umeimarishwa Visiwani muda wote Jeshi la polisi linaonesha nguvu yake ambayo muda mrefu waliwalea Uhamsho sababu hawakupewa Ruksa....na mkakati uliopo ni kufutwa kabisa Uhamsho katka ramani ya Tanzania sababu ni Taasisi ya Kidini lakini inaingilia mamlaka ambayo si yake na kujenga chuki baina ya watu......

Ahsante SMZ maana waliwadharau sababu hamkuwapa CHAI

Mimi nasupport ulinzi wa nchi lakini naona walichelewa sana. Ila hapo kwenye red "zote" maana yake nini? kwenye kaduka kamoja?
 
kushushwa kwa bendera si kumalizika kwa muamsho.......... kwa taarifa yako kama hujui ao viongozi wa smz wanataka muamsho wazidi kuexist........ coz wao wenyewe hawataki muungano ila munawalazimisha......
nguvu ileile,,,, kasi ileile kama tunasonga mbele kuidai zanzibar huru na yenye mamlaka kamili... hahahahahahahah.............. mtuachie tupumuwe.......... tumewachokeni. wakoleni weusiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
tuachiweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee tupumueeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
hao jamaa harakati zao zinaanzia misikitini, kwa hiyo wakitaka kuwamaliza yote ivunjwe then JKT wapewe hayo maeneo kuanzisshwe miradi ya ufugaji ili kupunguza tatizo la ajira.
 
kushushwa kwa bendera si kumalizika kwa muamsho.......... kwa taarifa yako kama hujui ao viongozi wa smz wanataka muamsho wazidi kuexist........ coz wao wenyewe hawataki muungano ila munawalazimisha......
nguvu ileile,,,, kasi ileile kama tunasonga mbele kuidai zanzibar huru na yenye mamlaka kamili... hahahahahahahah.............. mtuachie tupumuwe.......... tumewachokeni. wakoleni weusiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
tuachiweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee tupumueeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
haa haa mkuu unataka kubadilisha wakoloni kutoka watanganyika mpaka waarabu wa oman na irani!
 
Kifo cha uhamsho kimeshafika na Pumzi imeshaanza kutolewa huku ndugu zao wakiwawekea Oxygen wapate kupuma uzur maana hali yao ni mbaya......

Katika hatua nyngne ambayo SMZ imeonesha kidogo makucha yake imeendesha msako mkali wa Bendera za Uhamsho na kuzishusha na kuondoka nazo, SMZ kutumia jeshi la polisi limekamata DVD zote na CD zinaonesha mambo ya Uhamsho.......tukio hili lilitokea pale Mlandege gari ya polisi ilpofka na kubeba kila kitu katka duka moja la wakala mkuu wa CD hizi maana ufanya biashara na kuuzwa nchi za Kiarabu na ulaya......

Ulinzi umeimarishwa Visiwani muda wote Jeshi la polisi linaonesha nguvu yake ambayo muda mrefu waliwalea Uhamsho sababu hawakupewa Ruksa....na mkakati uliopo ni kufutwa kabisa Uhamsho katka ramani ya Tanzania sababu ni Taasisi ya Kidini lakini inaingilia mamlaka ambayo si yake na kujenga chuki baina ya watu......

Ahsante SMZ maana waliwadharau sababu hamkuwapa CHAI

Yani Sheni anamzidi Kikwetu kwenye Ujasiri na maamuzi. Hongereni Zanzibar acha Bara wakenue meno na wahalifu na kulinda wezi.
 
kushushwa kwa bendera si kumalizika kwa muamsho.......... kwa taarifa yako kama hujui ao viongozi wa smz wanataka muamsho wazidi kuexist........ coz wao wenyewe hawataki muungano ila munawalazimisha......
nguvu ileile,,,, kasi ileile kama tunasonga mbele kuidai zanzibar huru na yenye mamlaka kamili... hahahahahahahah.............. mtuachie tupumuwe.......... tumewachokeni. wakoleni weusiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
tuachiweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee tupumueeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

nahisi mtapumulia matundu yote
 
Uwamsho ni jumuiya ya kislamu,na inaongozwa na waislamu, ukitaka ugomvi dai chako,ndio yalio wakuta uwamsho,
Mkuu usituharibie dini, uamsho ni genge la wahuni lilokuwa linatafuta lidhaa ya kidini kujihalalisha. Halina tofauti na Boko Halam, lingekuwa na nia njema wangeongelea masuala ya elimu, ajira, uchumi, kwa waislam na sio fujo na chuki.
 
Asantee Mkekuu, watu wengine wamezidi kuropoka kwan hawaoni vision ya cdm ni tofauti kubwa sana na hilo kundi la uamsho.
 
naona wamechelewa mana kuchukua cd sio kwamba kutawafunga watu mdomo ndio kwanzaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa wanatupa ujasiri
 
Back
Top Bottom