Ben Saanane na wenzake wapata ajali mbaya

Ben Saanane na wenzake wapata ajali mbaya

Polenisana. Mungu awape nafuu ya haraka ilimrudi kwenye mapambano,
 
Poleni sana kijana wangu Ben Saanane Allah mwingi wa rehema na atakuaafu upone haraka Insha Allah
 
Last edited by a moderator:
Pole sana Ben Saanane na wenzio. Mungu awepo uponyaji wa haraka mwendeleze harati za kuwakomboa wananchi na nchi yetu.
 
Last edited by a moderator:
Hii ajali imepangwa na ccm mda mrefu sana.... Kisa ni kuwa Ben aliwagomea ccm kuiua Cdm.... So walikuwa wana mvizia kitambo... Soon mtanipa jibu

ccm haihitaji wauaji kama beni

naona ni nyuma kidogo na pale kwa regia mtema

ben what goes round come round
 
Poleni sana wafiwa lakini wakati mkiomboleza inafaa mfarijike kwa sababu kilichofanyika ni timilizo la Mwenyezi Mungu ambaye katika maandiko yake alisema, "Bwana alitoa, na Bwana ametwaa" (Ayubu. 1:21).

Mwenyezi Mungu alitupatia mtihani katika maisha yetu na kutukumbusha hatima ya jasho letu aliposema, “Kwa jasho la uso utakula chakula chako hadi utakaporudi ardhini, kwa kuwa ulitwaliwa kutoka humo, kwa kuwa wewe ni mavumbi na mavumbini wewe utarudi” (Mwanzo 3:19).

“Say: ‘It is God Who gives you life, then gives you death; then He will gather you together for the Day of Judgement about which there is no doubt’: but most men do not understand. To God belongs the dominion of the heavens and the earth, and the Day that the Hour of Judgment is established.” (Qur'an 45: 26-27)

Mtani wetu katika siasa, Ben Saanane ugua pole huku ukifarijika katika mapenzi ya Mwenyezi Mungu hasa ikizingatiwa kuwa, alilopanga Mwenyezi Mungu, binadamu hawezi kulipangua.
 
Kuna taarifa zinasambaa kwamba kwamba kamanda Ben Saanane amepata ajali maeneo ya kibaha. Mwenye taarifa za ajali hii kama ni kweli atujuze.
 
Poleni sana wafiwa lakini wakati mkiomboleza inafaa mfarijike kwa sababu kilichofanyika ni timilizo la Mwenyezi Mungu ambaye katika maandiko yuake alisema, "Bwana alitoa, na Bwana ametwaa" (Ayubu. 1:21).

Mwenyezi Mungu alitupatia mtihani katika maisha yetu na kutukumbusha hatima ya jasho letu aliposema, “Kwa jasho la uso utakula chakula chako hadi utakaporudi ardhini, kwa kuwa ulitwaliwa kutoka humo, kwa kuwa wewe ni mavumbi na mavumbini wewe utarudi” (Mwanzo 3:19).

“Say: ‘It is God Who gives you life, then gives you death; then He will gather you together for the Day of Judgement about which there is no doubt’: but most men do not understand. To God belongs the dominion of the heavens and the earth, and the Day that the Hour of Judgment is established.” (Qur'an 45: 26-27)

Mtani wetu katika siasa, Ben Saanane ugua pole huku ukifarijika katika mapenzi ya Mwenyezi Mungu hasa ikizingatiwa kuwa, alilopanga Mwenyezi Mungu, binadamu hawezi kulipangua.

Mkuu kuna MTU kafariki??
 
pole kamanda Ben Saanane nilipita eneo la tukio sikujua Kama umo....

Mungu akutie nguvu.
 
Last edited by a moderator:
pole kamanda Ben Saanane nilipita eneo la tukio sikujua Kama umo....

Mungu akutie nguvu.
 
Last edited by a moderator:
Km lengo ilikuwa ni kummaliza Ben, CDM wawe makini sana na Dsktari/hospital anayoenda kupata matibabj unless itakuwa ni rahisi sn kummalizia huko.
 
Safari hii polisi hawatopata shida katika uchunguzi. Wewe unaweza kutoa taarifa sahihi.

Huyu anajua kilichotokea , ningekua police ningeanza na huyu hakuna mwingine
 
Huyu anajua kilichotokea , ningekua police ningeanza na huyu hakuna mwingine

Unge nukuu posti zote mbili. Kunukuu hii yangu pekee itaonekana ni mimi kumbe mimi nilikuwa namwambia yule memba mwingine kulingana na jibu lake. Rekebisha mkuu.
 
Back
Top Bottom