Ben Saanane na wenzake wapata ajali mbaya

Ben Saanane na wenzake wapata ajali mbaya

Lol! Habari mbaya sana hii jamani.....mwenyenzi Mungu awaguse wote wapone mapema waweze kupambana na mafisadi!
 
Ee mungu usiyedhulumu. Tenda haki kama kawaida yako
 
Dah!!!! Poleni sana jamani

Ni kweli kabisa tunatakiwa kutoa pole kwa hawa ndugu zetu waliopata ajali hii lakini tusihishie hapo ni vema tukahitaji kujua ni gali ipi iliyoigonga kwa nyuma hiyo gali ya kina Ben kwani isije ikawa kama ile ajali ya Mwakyembe iliyotokea kwa kupangwa na huku serikali ikishindwa kuwachukulia hatua wale waliohusika katika ajali ile na kwa kufanya hivyo ni vema tukatambua kwa sasa Raia wa kawaida na hususani viongozi, wanachama na washabiki wa vyama vya upinzani vyenye kuipinga CCM kwa dhati ni adui mkubwa wa Serikali ya CCM na wananchama wao.
 
Get well soonly Comrade Ben, your life have been documented by almighty Lord, nothing outside of your documentary may happen to you because only the Lord of Ibrahim, Isack and Jacob who hold the key of your life, even though the sorrow and disaster will come along your journey but it will not harm you lather than strengthfy your focus and determination towards your Dream.

NO TEMAS, VIVA.
 
Duh....pole kwa wapiganaji ........hii hali ya ajali inatisha mno!!
 
Wote mliopatwa na ajali hii poleni sana Mungu awaponye kwa haraka
 
Mungu awaponye maumivu yote mrudi kuikomboa nchi yenu
 
Poleni sana majeruhi. Mungu awape faraja.
kumbe una ka- utu, wenzako akina feizafoxy, na mwanadiwani na laki si pesa wamepita pembeni ila hata namna ya ujumbe wako bado imekaa kaa kimtindo; mmekuwa ccm mno mpaka mnakera, hata uwongo mnaufanyaga kuwa kweli.
 
Unachosema ni kweli kabisa, kumbuka mauaji aliyotaka kufanyiwa Dr Ulimboka kwa kudai haki za madaktari na vitendea kazi. Kumbuka magaidi walivyombabikia kesi Kamanda Lwakatare na hawa polisiccm hawaaminiki hata chembe. Uchunguzi wa mauaji ya Mwangosi, mabomu ya Arusha n.k. hadi hii leo ni vitendawili.

Ni kweli kabisa tunatakiwa kutoa pole kwa hawa ndugu zetu waliopata ajali hii lakini tusihishie hapo ni vema tukahitaji kujua ni gali ipi iliyoigonga kwa nyuma hiyo gali ya kina Ben kwani isije ikawa kama ile ajali ya Mwakyembe iliyotokea kwa kupangwa na huku serikali ikishindwa kuwachukulia hatua wale waliohusika katika ajali ile na kwa kufanya hivyo ni vema tukatambua kwa sasa Raia wa kawaida na hususani viongozi, wanachama na washabiki wa vyama vya upinzani vyenye kuipinga CCM kwa dhati ni adui mkubwa wa Serikali ya CCM na wananchama wao.
 
Poleni waathirika wote na mpate kupona mapema. Mbona Kibaha Mailimoja hakuna hali ya kusababisha aina hiyo ya ajali?
 
Wacha uongo wewe!! Tunatoa pole na hata rambi rambi kwenye matukio kama haya, kama hukuona umuhimu wa kuonyesha utu wako, kama una utu basi ungepita kimya kimya.
Kumbuka matukio mengi na threds zilizoanzishwa humu ni recorded.....utaumbuka...pro chadema mna roho za kinyama sana inapokuja bad luck kwenye upande wa ccm..huwa mnafurahi sana
 
Back
Top Bottom