Ben Saanane na wenzake wapata ajali mbaya

Ben Saanane na wenzake wapata ajali mbaya

bora kangekufa hako kanafki kameshiriki mipango mingi ya mauji ndani ya chadema
c.c.madema b
 
Wacha uongo wewe!! Tunatoa pole na hata rambi rambi kwenye matukio kama haya, kama hukuona umuhimu wa kuonyesha utu wako, kama una utu basi ungepita kimya kimya.
Soma comment hii ya mnyisanzu kwny msiba wa kiongozi wa ccm.........

Mnyisanzu
.Join Date 21st October 2011Last Activity Today 14:06
Avatar
 
Mimi mwenyewe nimetoa pole na rambi rambi mara chungu nzima, na wengine pia wamefanya hivyo. Badala ya kutuweka wote kapuni kwamba tunafurahia maafa yenu ungesema baadhi ambao hawafiki hata 10, sasa hiyo ni sample kweli ya kutosha kuweza kufikia hitimisho lako!?

Kumbuka matukio mengi na threds zilizoanzishwa humu ni recorded.....utaumbuka...pro chadema mna roho za kinyama sana inapokuja bad luck kwenye upande wa ccm..huwa mnafurahi sana
 



Pole sana Ben,huu ni wakati wa wewe kutafakari nyendo zako hapa duniani and the way you relate with other people Kuna sababu ya kwanini hujafa wewe.

Poleni kwa waliofikwa na misiba hii.
 



Pole sana Ben,huu ni wakati wa wewe kutafakari nyendo zako hapa duniani and the way you relate with other people Kuna sababu ya kwanini hujafa wewe.

Poleni kwa waliofikwa na misiba hii.
Mmemtafuta mmuue kwa kuzan upande alokaa mkakosea..... Nawajua mlofanya haya
 
Hii ajali ingewapata wanachama au viongozi wa ccm ungeona furaha kwa pro chadema humu...huwa nawasikitikia sana

Mkuu wao huwa wanafurahia wana CCM wakipata ajali au matatizo mengine, Lakini sisi tusifanye hivyo ila tuwaache na ujinga wao.
 
Ooooh my Comred!!!!

Poleni sana, Mungu atawaponya haraka mrejee katika mapambano.

Bwana Yeriko uwaeleze wale wanaotoa kauli za kufuru wakati haswa watanzania wenzetu wa ccm wanapopata ajali waache kwa kuwa ajali ni mpango wa Mungu na yaweza kumfika yeyote. Hata tukiwa na tofauti za kisiasa sisi ni ndugu moja. Nawapa pole wote waluoumia katika ajali hiyo.
 
Back
Top Bottom