Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 57,662
- 96,930
Haya ndio madhara ya ukosefu wa ajila nguvukazi ya Taifa inapotea kijana na nguvu zake anakesha mitandaoni kuongea takataka tu, kumbe Bavicha na Uvccm viko sawa ni vichaka vya majobless kama huyu mleta mada.