Ben Saanane mwisho wake umefika rasmi

Akili yako haina akili,tena nilichokigundua baada ya kusoma post yako hii,hakika wewe ni msaliti mkubwa,hakika wewe ni gamba gumu linalosomeka ndani ya moyo wako,kwa vyovyote wewe unatumika na Maccm,ni dhahiri kwenye payroll ya wale buku 7 fc ya Lumumba umo,na unaishi kwa kutegemea hilo.

1. Kama kweli wewe ni mwanachadema,hapa ndipo umeona mahali pa kuleta na kutangaza chuki dhidi ya Ben Saanane?

2. Kama kweli wewe ni mwanachadema kwanini unaimba singo iliyochuja ya maccm iliyoanzishwa kum-dissapoint Ben eti kwamba anashinda kwenye mitandao?
3. Kama kweli wewe ni mmoja ya wanaotarajia kugombea kama tunnavyokujua je unadhani bado unafaa?maana hukuwa na sababu ya kumkashifu Ben, wala kumdhalilisha kwa mambo usiyoyajua,na umeonyesha wazi ni chuki binafsi zinakuhangaisha na ni wazi pia unamuhofia Ben ktk kinyang'anyiro cha uchaguzi wa Bavicha,na kwakuwa umejificha kwenye kombati ya chadema basi unatumia loophole kukashifu wengine wakati umedhidhihiri wewe ni Gamba sugu.

kwani ukisubiri muda ukafika,muda ambao unaendeshwa na vikao halali vya chama vya uchaguzi,huwezi ku-table yale uliyotumwa na maccm kwenye vikao hivyo?au kwa kuwa unapata posho kwa kutumika ukiwa mamluki hodari ni lazima uwaonyeshe waliokutuma kwamba kazi yako tayari ili jioni upate buku 7 zako?

Hakika nilichokiona wewe ndio hufai kuwa kiongozi wa taasisi kubwa na imara kama ya Bavicha,hatuwezi kuongozwa na kijana wa calibre yako mwenye kutanguliza maslahi binafsi mbele,hatuwezi kuwa na kiongozi mwenye kuogopa uwezo wa Ben wakati hakitumikii chama chake bali anatumikia chama (Chadema) cha watanzania wenye matumaini ya ukombozi kwa muda mrefu na wanayasubiri, halafu unatokea mtu kama wewe ukituonyesha unaweza na kuwashambulia watu unaowahofia kutoa ushindani kwako,toka hadharani utuambie unaweza kitu gani apart from majungu haya uliyotuandikia.

Watu kama nyinyi mnadhani hakuna siasa nje ya uongozi,mnadhani kwamba kuwa Cahdema ni lazima uwe kiongozi na ndio maana mnahangaika kuchafua watu,unapenda sifa na kuonekana,all in all you are hopless moving figure.endelea kutuonyesha jinsi gani usivyofaa,na kweli hufai,maana hujui hata miiko ya uongozi,hujui hata kanuni za nyongeza toleo la 2012 kuhusu uchaguzi wa ndani ya chama,unajificha na ID za machakani kuhujumu chama na kukashifu wenzio,usijidanganye hujulikani,utaishia kutamani kama hutojirekibisha.

kama vipi hamia mazima huko Lumumba,kwanza uache kukashifu watu eti wanamtetea Ben,mabwana zake,unatukana watu badala ya kujenga hoja kwenye uchaguzi ukifika! hapa hatetewi mtu lkn ukifika muda wa uchaguzi kila mtu atapata mavuno yake kwa kadri ya alichopanda,sio kutoka nje ya vikao halali vya uchaguzi.

Watch out. Achilia mbali kelele zako, ni lazima ukubali kwamba uwezo wa Ben sio size yako,kwani ukikiri kuna shida gani?hivi leo unategemea Mrisho Ngasa aanze kumchafua Lione Mess huku akimbeza kwa maneno yake yote hafai kuwa mchezaji bora ispokuwa yeye ,kwa dunia hii ya leo watu watamwelewa? Eti Ngasa autangazie umma kwamba yeye ni bora kuliko Messi jamani!

Muogopeni Mungu,usidhani hatujui madhaifu ya Ben,usidhani hatujui madhaifu yako na wengine mnaotumwa kumchafua mwenzenu huku mkiwa mmeahidiwa kudhaminiwa na maccm mmshinde Ben,wakati hajatamka kama anagombea, huo ni upuuzi.hufai kuwa kiongozi,kama unadhani uongozi wa chadema ni kama mnada wa uongozi wa maccm,ni bora uende as soon as possible ukajiunge na muongeze nguvu ya kuwanyonya watanganyika.
nakerwa sana na watu wa aina yako.

Mungu tuepushe na matamanio ya kishetani ya uongozi kama ambavyo genge hili linaonyesha.
Nimekukemea hadharani maana umekuja hadharani.

jigoku,

Mwenyezi Mungu akupe Maisha Marefu.

Pia nawashukuru wote ambao mmesimamia principle.Jioni ya leo iwe ya kheri kwenu
 
Last edited by a moderator:
Siasa chafu za Bavicha zitawamaliza.visasi majungu na fitina hizi zote zinatokana siasa za kuchumia tumbo.Vijana wamesoma hamtaki kujiajiri kisa mnasubiria kua mwenyekiti wa Bavicha.Image ya CDM imeanza kuchafukia kwa bavicha toka 2009 then 2011 na bado mwaka huu mtatoboana macho.
 
Mnakosa usingizi usiku kucha mnamuwaza Ben dah!! Atawaumiza sana nyie
 
Hakika wewe ni kibaraka mkubwa wa CCM

Hakuna mwanachadema mwendawazimu kama wewe.Mwanachadema gani wa kuleta uchochezi kwenye mitandao kumshambulia mwanachadema mwwnzako?

Kwanini mnamuogopa Ben Saanane kihivyo? Mnahofu gani na yeye? Mbona hajatangaza bado kugombea mnaanza kuchanganyikiwa?

Kama wewe ni mwanachadema kwanini usisubiri ukumbini kura zikaamua?

Kwa upumbavu kama huu wa kumshambulia Ben ninajiridhisha sasa kwamba ndiye chaguo sahihi la vijana wa Bavicha!

Go on Ben..Usitishwe na matusi ya vibaraka wa CCM
 
Last edited by a moderator:
Kama unajua jina la Ben litatupwa kwenye taka kihere here cha nini kuweka thread humu? Upumbavu kama huu ndiyo unaoimaliza ccm yenu na hako ka malaya act.

Ben awe kiongozi asiwe kiongozi jina lake litabaki kwenye historia ya chama hiki, ameifanyia mambo makubwa. Kama siyo Ben Saanane kufichua nia ovu ya Zitto Kabwe kupitia PM7 chama kisingejua mapema kuwa kuna ugonjwa wa usaliti unaitafuna chama, kama siyo Ben Saanane mtandao wa masalia japo usingefanikiwa lakini kwa vyovyote vile ungesababisha chama kutumia nguvu kubwa kuponya madhara.

Leo hii tunayoona hasa baada ya Ben kuonekana jina lake linatajwa tajwa katika nafasi za juu za vijana, wale ambao kwa namna moja ama nyingine waliathirika kisiasa na kimapato baada ya Ben kusanua usaliti wao, ndiyo wanaomrushia mawe Ben kuwa eti ni hatari kwa bavicha mweeeee!!! Mnalipa visasi wakati mpo nje ya chadema duh!

Maauzi ya bavicha kwa nani atawafaa kuwaongoza yatafanywa na wajumbe halali wa bavicha, ni wao wataamua nani ni nani na kwa nafasi gani, siyo mapumbavu ccm na demu wao act ambalo leo linasherekea zawadi ya associate profesa wa usaliti Kitila..... jamaa na heshima zote lakini kisiasa hana tofauti na kinyesi
 
Hii kali sasa, cyo ishu kusemana kiasi hiki ktk mitandao km kweli mtoa mada ni mwanachadema.
 
HIVI KAMA BEN SAANANE AMESHAANZA KUWANYIMA USINGIZI AKIWA TU MWANACHAMA WA. BAVICHA JE AKIWA KIONGOZI SI NDO KAZI IMEISHA?
Mi kura yangu lazima iende kwa mtu ambaye ccm na washirika wake wanamuogopa kwasababu hakika huyo ndiye atawaweza.

Na kwa maelezo yako umeonyesha uoga mkubwa na hofu ya maslahi yenu kutishiwa na huyu kamanda Ben wa saanane kugombea.

Pamoja sana Comred Ben.
 
Kama unajua jina la Ben litatupwa kwenye taka kihere here cha nini kuweka thread humu? Upumbavu kama huu ndiyo unaoimaliza ccm yenu na hako ka malaya act.

Ben awe kiongozi asiwe kiongozi jina lake litabaki kwenye historia ya chama hiki, ameifanyia mambo makubwa. Kama siyo Ben Saanane kufichua nia ovu ya Zitto Kabwe kupitia PM7 chama kisingejua mapema kuwa kuna ugonjwa wa usaliti unaitafuna chama, kama siyo Ben Saanane mtandao wa masalia japo usingefanikiwa lakini kwa vyovyote vile ungesababisha chama kutumia nguvu kubwa kuponya madhara.

Leo hii tunayoona hasa baada ya Ben kuonekana jina lake linatajwa tajwa katika nafasi za juu za vijana, wale ambao kwa namna moja ama nyingine waliathirika kisiasa na kimapato baada ya Ben kusanua usaliti wao, ndiyo wanaomrushia mawe Ben kuwa eti ni hatari kwa bavicha mweeeee!!! Mnalipa visasi wakati mpo nje ya chadema duh!

Maauzi ya bavicha kwa nani atawafaa kuwaongoza yatafanywa na wajumbe halali wa bavicha, ni wao wataamua nani ni nani na kwa nafasi gani, siyo mapumbavu CCM na demu wao act ambalo leo linasherekea zawadi ya associate profesa wa usaliti Kitila. Jamaa na heshima zote lakini kisiasa hana tofauti na kinyesi

Mkuu umemaliza yote ila hawa wahuni wana roho ngumu sana eti wanajaribu kushindana na Ben Saanane watu wanaoweza kununuliwa na yule kijana wa Mwandiga?

Eti kweli wanaamini anaweza kuishinda taasisi kubwa kama CHADEMA nao wakaingia mkenge. Sasa yamekaa nje maana hata pesa toka kwa mfadhili wao zimegoma wanajifanya wanaCHADEMA, kama ni mwanachama atakuwa Arfi au shibuba type ambao hatuwahesabu tena kundin
 
Naona masalia wameanza kutapatapa hakika mmeshikwa pabaya na Ben na mwaka huu hakuna rangi mtaacha kuona
 
Mwanachama yeyote anamfahamu Ben Saanane na jinsi alivyosaidia CHADEMA dhidi wasaliti expert chini ya supervisor wao na sasa m/kiti wao huko act, atjivunia kusiki kamanda anataka kuongoza harakati akiwa kiongozi wa taasisi muhimu kwenye chama.

CHADEMA Inahitaji kijana makini, jasiri, msomi na very radical na mwenye misimamo mikali sana dhidi ya uonevu and Ben Saanane is real a right man to the position.
 
Japo mimi ni mwanachama wa chama cha siasa lakini sio Chadema, ila tukubali tukatae, ukiondoa mapungufu yake ya kibinaadamu, (hakuna binaadamu mkamilifu), Ben Saanane, is the type of leaders BAVICHA, should have had long ago, and had it been, he had been there, BAVICHA would not have been the same again, it would have been far far ahead, by now CCM ingekuwa bize kukusanya kusanya kilicho chake kupisha njia!.

Thanks.
Pasco.
 
Kusoma sio kuelimika loh!! Mtu uko jf afu unakua imbecile kama mtu wa std 7? Aisee ndio mana mchi yangu ni masikini
 
Back
Top Bottom