Ben Saanane mwisho wake umefika rasmi

Daaah inatia hasira sana kwa mtu unaemjua kama huyu mleta mada alitekuja kwa jina bandia,

Wanajamvu nikiwamwagia jina kamili la huyu mdau mtashangaa sana,

Ana id zaidi ya tatu na zote zinatumia ip adres moja, kwaajili ya maadili ya jf sitaweke jina lake na taarifa zake mhimu binafsi,

Lakini kesho akiendelea itanibidi nivunje kanuni za chama...
 
Japo mimi sio Chadema na sina chama, ila tukubali tukatae, ukiondoa mapungufu yake ya kibinaadamu, (hakuna binaadamu mkamilifu), Ben Saanane, is the type of leaders BAVICHA, should have had long ago, and had it been, he had been there, BAVICHA would not have been the same again, it would have been far far ahead, by now CCM ingekuwa bize kukusanya kusanya kilicho chake kupisha njia!.

Thanks.
Pasco.
Tatizo kuna watu wanatishwa na uwezo wa Ben Ndani na nje ya chama
 
Last edited by a moderator:
Yaaan Ben Saanane Anaanzisha Thread Ya Kujipromote Hahahahaha Siasa Za Kitoto Hizi
 
Heee kwani CDM neno Msaliti maana yake nini hasa?leo hii Ben Saanane ana be accussed for treason?
My take CDM inawezekana maana ya neno msaliti kuwa hukubaliani na misimamo ya watu manguli wanaokiweka chama mjini

Mkuu si ungeandika kwa kiswahili? Huu uharo ulikuwa na ulazima gani kuwekwa hapa?
 
Last edited by a moderator:
Siasa chafu za Bavicha zitawamaliza.visasi majungu na fitina hizi zote zinatokana siasa za kuchumia tumbo.Vijana wamesoma hamtaki kujiajiri kisa mnasubiria kua mwenyekiti wa Bavicha.Image ya CDM imeanza kuchafukia kwa bavicha toka 2009 then 2011 na bado mwaka huu mtatoboana macho.

Dua la kuku hilo mkuu. Pole sana
 
Kama unajua jina la Ben litatupwa kwenye taka kihere here cha nini kuweka thread humu? Upumbavu kama huu ndiyo unaoimaliza ccm yenu na hako ka malaya act.

Ben awe kiongozi asiwe kiongozi jina lake litabaki kwenye historia ya chama hiki, ameifanyia mambo makubwa. Kama siyo Ben Saanane kufichua nia ovu ya Zitto Kabwe kupitia PM7 chama kisingejua mapema kuwa kuna ugonjwa wa usaliti unaitafuna chama, kama siyo Ben Saanane mtandao wa masalia japo usingefanikiwa lakini kwa vyovyote vile ungesababisha chama kutumia nguvu kubwa kuponya madhara.

Leo hii tunayoona hasa baada ya Ben kuonekana jina lake linatajwa tajwa katika nafasi za juu za vijana, wale ambao kwa namna moja ama nyingine waliathirika kisiasa na kimapato baada ya Ben kusanua usaliti wao, ndiyo wanaomrushia mawe Ben kuwa eti ni hatari kwa bavicha mweeeee!!! Mnalipa visasi wakati mpo nje ya chadema duh!

Maauzi ya bavicha kwa nani atawafaa kuwaongoza yatafanywa na wajumbe halali wa bavicha, ni wao wataamua nani ni nani na kwa nafasi gani, siyo mapumbavu ccm na demu wao act ambalo leo linasherekea zawadi ya associate profesa wa usaliti Kitila..... jamaa na heshima zote lakini kisiasa hana tofauti na kinyesi

Nimejifunza vitu viwili kwenye bandiko lako mkuu Mungi.
1. ACT ni Malaya
2. Kitila Mkumbo ana heshima kwa wanafunzi wake lakini kisiasa ni bonge la MNYESI!
 
Last edited by a moderator:
Japo mimi sio Chadema na sina chama, ila tukubali tukatae, ukiondoa mapungufu yake ya kibinaadamu, (hakuna binaadamu mkamilifu), Ben Saanane, is the type of leaders BAVICHA, should have had long ago, and had it been, he had been there, BAVICHA would not have been the same again, it would have been far far ahead, by now CCM ingekuwa bize kukusanya kusanya kilicho chake kupisha njia!.

Thanks.
Pasco.

We jamaa ukimsifia mwana Chadema naanza kumtilia shaka huyo msifiwaji. We Pasco umeifitini sana Chadema offline ma wazi wazi. Hufai hata kidogo mnafiki wewe. Mipango yote ya kihuni ya Zitto na Kitila wewe ni mmoja wa waratibu halafu unakuja hapa kinafiki eti huna chama! Na CCM umemwachia nani?
 
Pasco sio mtu mzuri,hana tofauti na kina msaliti zitto,et hana chama???? Liccm kaliacha?
 
Last edited by a moderator:
jigoku,

Mwenyezi Mungu akupe Maisha Marefu.

Pia nawashukuru wote ambao mmesimamia principle.Jioni ya leo iwe ya kheri kwenu

wewe mbeba sumu haufai kuwa kiongozi wa BAVICHA, Utawanywesha sumu viongoz wenzako
 
Last edited by a moderator:
Kama unajua jina la Ben litatupwa kwenye taka kihere here cha nini kuweka thread humu? Upumbavu kama huu ndiyo unaoimaliza ccm yenu na hako ka malaya act.

Ben awe kiongozi asiwe kiongozi jina lake litabaki kwenye historia ya chama hiki, ameifanyia mambo makubwa. Kama siyo Ben Saanane kufichua nia ovu ya Zitto Kabwe kupitia PM7 chama kisingejua mapema kuwa kuna ugonjwa wa usaliti unaitafuna chama, kama siyo Ben Saanane mtandao wa masalia japo usingefanikiwa lakini kwa vyovyote vile ungesababisha chama kutumia nguvu kubwa kuponya madhara.

Leo hii tunayoona hasa baada ya Ben kuonekana jina lake linatajwa tajwa katika nafasi za juu za vijana, wale ambao kwa namna moja ama nyingine waliathirika kisiasa na kimapato baada ya Ben kusanua usaliti wao, ndiyo wanaomrushia mawe Ben kuwa eti ni hatari kwa bavicha mweeeee!!! Mnalipa visasi wakati mpo nje ya chadema duh!

Maauzi ya bavicha kwa nani atawafaa kuwaongoza yatafanywa na wajumbe halali wa bavicha, ni wao wataamua nani ni nani na kwa nafasi gani, siyo mapumbavu ccm na demu wao act ambalo leo linasherekea zawadi ya associate profesa wa usaliti Kitila..... jamaa na heshima zote lakini kisiasa hana tofauti na kinyesi

ben saanane hafai kuongoza hata kuku..hana sifa za uongoz, kwanza ana kigugumiz
 
ben saanane hafai kuongoza hata kuku..hana sifa za uongoz, kwanza ana kigugumiz

Kwa sisi wanaccm Chadema ikipata viongozi wabovu ndio wanaturahishia kazi ya kutawala milele, kwahiyo ukiwa kama mwanaccm mwenzangu tuungane kuhakikisha huyu Kilaza Ben Saanane anakuwa mwenyekiti ili malengo yetu yatimie.
 
We jamaa ukimsifia mwana Chadema naanza kumtilia shaka huyo msifiwaji. We Pasco umeifitini sana Chadema offline ma wazi wazi. Hufai hata kidogo mnafiki wewe.
Mkuu Serikali Tatu, kwanza asante kwa kudhania hivyo unavyodhania, na hiyo ndio faraja yangu.
Hili la kuifitini Chadema off line na online count me in. Tatizo kubwa kabisa la wana jf, sio wengi wana uwezo to read trends, to read between the lines, and detect the motive behind!. Mimi kosa langu kubwa ni kuwa mkweli kupindukia, yote ninayoongea kuhusu Chadema ni ukweli mtupu, na ninachokifanya ni kuitembezea bakora mchana kweupe wazi wazi bila kificho. Kama mnadhani Chadema is the perfect party and does nothing wrong, mnajitanganya!. Mimi na wakosoaji wengine, tunaoiambia Chadema ukweli mchungu, ndio tunaisaidia Chadema, (kama inamasikio), kuliko nyie mnao ona uozo na kuunyamazia, mwisho wa siku, uvundo ndio utawafurumusha!.
Mipango yote ya kihuni ya Zitto na Kitila wewe ni mmoja wa waratibu halafu unakuja hapa kinafiki eti huna chama! Na CCM umemwachia nani?
Hili la uratibu wa mipango yote nakuachia wewe, unaonyesha unazo taarifa za ndani, kwa kawaida mimi huwa sihangaiki kujibu sana speculations za vitu ambavyo havipo!, vitu vya kubuni ambavyo sio reality!.

Tatizo langu jingine ambalo pia huwa linani cost ni kuwakubali baadhi ya watu!, namkubali sana ZZK na Kitilla ndani ya Chadema. Ni ukweli mchungu sana kumeza, ndani ya Chadema hamna wengine wa calibre yao!, Ben pia nilimkubali siku nyingi sana!, hebu tazama tarehe ya hii thread!, [h=3]Juu ya tuhuma kwa Zitto na kundi Lake!. [/h]
By Pasco Hakika Ben Saanane ni Mwamba na Juu ya Mwamba huu, Chadema itaijenga ngome yake!.

Ingawa kwenye uchaguzi wa Bavicha alikataliwa, hili ni jiwe walilolikataa waashi, "litafanywa kuwa jiwe kuu la pembeni"!.

Mark my words!, time will tell!.

Pasco.
tulikuja kutofautiana pale alipojichanganya na kwa kuwa snitch na kutumika kwanza kama ped., kisha kama dekio kwenye sakata la PM7. Naamini alikuja kugundua makosa yake na sasa amesimama imara!. Kuwakubali kwangu Zitto na Kitila hakuna maana kuwa Chadema hamna watu wazuri wengine, no, wapo wengi tuu ila sio lazima niwakubali!.

Kkukubali kwangu watu sio kwa Chadema tuu, hata CCM namkubali sana yule jamaa yangu for a reasons, na kwenye CUF namkubali sana Jussa!.

Thanks.
Pasco
 
Back
Top Bottom