Ben Saanane kuhamia ACT - Wazalendo siku ya Ijumaa

Ben Saanane kuhamia ACT - Wazalendo siku ya Ijumaa

Status
Not open for further replies.
Huenda hizi ni habari za kuaminika,since ben saanane yuko humu tulitegemea angekanusha,but he opt to be silence meaning the rumours are confirmed

wengine wanaitwa Majambazi, waiba wake za watu, vichaa etc kwa hiyo ni labels tu wala hii haiizuii ACT kuendelea na jitihada zake za kuikomboa TZ kutoka ktk minyororo ya Umasikini
 
Kama kweli Ben atahamia ACT, hapana shaka kuwa aliwasaliti wenzake , kwa sababu yeye alihusika katika vikao vya akina mwampamba ambavyo vilidaiwa kuratibiwa na zzk, alipoulizwa alikana , akasema yeye alikuwepo kwenye kundi lile ili kufuatilia mienendo yao. Sishangai, vijana walio wengi yawezekana wameingia kufanya siasa za upinzani sio kupigania maslahi ya kweli isipokuwa ni kutetea matumbo yao.

ACT ni chama kichaga sana, wamepata wapi hela ya kuzuguka nchi nzima ?
 
Hapo sasa umenena. Zitto anatakiwa kuwa makini na hawa anaohama nao. Wengine wanaenda ACT kwa kazi maalum

umenena mkubwa, hlo nmelifklia jana nlpo sikia jamaa wa cdm alipo sema wengina wanajiunga na ACT kwa kazi maalum afu ni wengi kuliko wanachama wenyewe.
 
afanye afanyajo,ahame na aende chadema rombo hatutetereki na walafi wa madaraka
 
Hawezi kwenda ACT yeye ndo aliyeharibu mipango ya Zitto,ila huwezi jua jamaa kigeugeu sana,na hata siku moja haitatokea chadema wampe uongozi huyo jamaa haaminiki


Ha ha mkuu labda Kama u mgeni Sana na haiba za waafrika na chembe chembe zao za utumwa!!!!

Nilimwambia Ben Saanane Siku nyingi kuwa atakwenda ACT alikanusha vikali lkn ndo ukweli wenyewe.
 
Last edited by a moderator:
Ben Saanane ni kijana mwerevu, ana haki zake kama Mtanzania mwingine kujiunga na chama chochote cha siasa kwa utashi wake. Naamini kama amekubaliana na mission pamoja na vission ya ACT ya uwazi, uwajibikaji, uzalendo na kutumia rasilimali za taifa kwa manufaa ya taifa zima, basi si ajabu akajiunga ACT

Siasa ni safari, Dr Slaa alikuwa CCM sasa yuko CHADEMA

Lissu alikuwa NCCR sasa yuko CHADEMA
Lema alikuwa TLP sasa yupo CHADEMA
Zitto alikuwa CHADEMA, sasa yupo ACT

Kwa hiyo si ajabu kwa Ben Saanane kuhamia chama chenye dira na muelekeo cha ACT

Usisahau Wasira alikuwa NCCR na sasa anataka urais kwa tiketi ya CCM kama ilivyo kwa Makongoro Nyerere.
 
Kukiacha chama kwa sababu ya kukosa madaraka ni tatizo kubwa, naonyeha nia yako kubwa ni kusaka madaraka

Kwa wanasiasa hili ni kawaida sana, hata Dr Slaa alipokosa madaraka CCM alikimbilia CDM na bado anafanya vizuri tu akiwa CDM
 
Ha ha mkuu labda Kama u mgeni Sana na haiba za waafrika na chembe chembe zao za utumwa!!!!

Nilimwambia Ben Saanane Siku nyingi kuwa atakwenda ACT alikanusha vikali lkn ndo ukweli wenyewe.

We unaamini jinsi alivyokuwa akimharibia Zitto now ataweza kwenda kuwa chini ya Zitto?
Ila sishangai wanaweza kupatana
 
Last edited by a moderator:
Saanane ni Jemedari wa Ukweli, bonge la Strategist, hana tamaa za kijinga, hupanga karata zake kwa umakini mkubwa ... Kamwe hawezi kuhama CHADEMA ...


anaweza iwapo ni kwa mapenzi yake mwenye, and he believes by doing that we help him on his quest to help in building his beloved nation, na tusisahau mwana siasa mzuri kwanza ni Mtanzania na baadaye ni mwanachama wa chama fulani. nation first, ALL ROADS LEAD TO ROME
 
Ninamwamini Ben Saanane popote atakapokwenda, ana uwezo mkubwa sana tatizo hakuwahi kupewa nafasi popote aonyeshe uwezo wake, BAVICHA walimfanyia hila sana kumuengua,kwenye uchaguzi kimazabe na kwa yeyote mwenye akili timamu alielewa kwamba that was unfair, kwakuwa sasa tuliamua,kumpoteza wenyewe basi tusimuhukumu tumuache aende sehemu nyingine kupata platform ya kuonesha uwezo wake kisiasa japokuwa am intensively doubt kama ACT ni mahali patakapomfaa, sababu ACT ni tawi la CCM kwa ajili ya kuuwa upinzani.

Ben Saanane if you real read me, please nenda nccr-Mageuzi patakufaa sana kinyume na hapo bakia tu CHADEMA (The home of liberation) tuendeleze mapambano ili hali chama chetu kina viongozi makini kama Mbowe na Dr.Slaa basi mapambano ni lazima yaendelee.
 
Last edited by a moderator:
Ben asifikili akienda huko Zitto atampa unaibu katibu ayatolah.
 
Kwa mwendo huu CHADEMA itaendelea kupoteza watu wengi makini kama viongozi wake wa sasa wataendelea kuwazibia mianya vijana wanaoonyesha nia ya kugombea uongozi wa chama.Bora vijana hawa washindwe kwa haki kuliko kushindwa kwa fitina kama alivyofanyiwa Ben Saanane.

Kwa ukimya huu wa Saanane juu ya taarifa hii basi ujue hapa kuna ukweli.
 
Mkuu King Kong, April Fools si iliishapita?, hivi inaruhusiwa kuiendeleza hadi leo?!. Kusema ukweli kuna type fulani ya uongo ukiutunga, hata msomaji anaweza kuelewa kabisa, kuwa mwandishi sio timamu!, niliwahi kusema mara nyingi humu, mtu kuwa kichaa, sio lazima hadi aokote makopo!.
Kwa parameter ipi umetumia kujua asemacho huyo ni uongo? ukichaa Wa MTU ni kusema yale usiyopenda??

Ukweli ni UPI basi? kuishia tu kusema hiki ni uongo tena kisichokuhusu bila kuweka facts sio ndo ukichaa zaidi??

Mode, vitu kama hivi kuendelea kuachwa ndivyo vinavyoshusha hadhi ya jf!.
Ben Saanane
ni memba humu, his ability, capability na misimamo yake inafahamika humu!!.

Pasco
Nilitegemea utamwomba aje atoe ufafanuzi badala ya kumjibia Kama ulivyofanya!!! Ha ha eti misimamo!!!! kwahiyo kupitia misimamo yake ndo Una conclude kuwa hawezi Fanya hicho kitu? Zitto aliwahi sema atakuwa Wa mwisho kuondoka CDM kiko wapi? Hivi waafrika nao ni watu wakushadadia misimamo yao? Watu wanaobadilika badilika na akili za kuhama hama ndo ushikie kuwa na misimamo kiasi cha kutokwenda kinyume??


Ndugu Pasco wakati mwingine ni heri utunze akiba ya maneno kuliko kuyatumia yote then ukifika wakati ufaao ukakosa la kusema ukaishia kuvuna aibu....
 
Last edited by a moderator:
Ninamwamini Ben Saanane popote atakapokwenda, ana uwezo mkubwa sana tatizo hakuwahi kupewa nafasi popote aonyeshe uwezo wake, BAVICHA walimfanyia hila sana kumuengua,kwenye uchaguzi kimazabe na kwa yeyote mwenye akili timamu alielewa kwamba that was unfair, kwakuwa sasa tuliamua,kumpoteza wenyewe basi tusimuhukumu tumuache aende sehemu nyingine kupata platform ya kuonesha uwezo wake kisiasa japokuwa am intensively doubt kama ACT ni mahali patakapomfaa, sababu ACT ni tawi la CCM kwa ajili ya kuuwa upinzani.

Ben Saanane if you real read me, please nenda nccr-Mageuzi patakufaa sana kinyume na hapo bakia tu CHADEMA (The home of liberation) tuendeleze mapambano ili hali chama chetu kina viongozi makini kama Mbowe na Dr.Slaa basi mapambano ni lazima yaendelee.

Mkuu umeanza vizuri sana lakini umemaliza vibaya.Ben mwenyewe anaamini katika ujamaa na pia km sijasahau sheria moja wapo ya UKAWA nikutochukuliana wanachama.Muachen aje ACT tu.
 
Last edited by a moderator:
Ha ha mkuu labda Kama u mgeni Sana na haiba za waafrika na chembe chembe zao za utumwa!!!!

Nilimwambia Ben Saanane Siku nyingi kuwa atakwenda ACT alikanusha vikali lkn ndo ukweli wenyewe.

Mkuu lusungo nakumbuka that day ulivyomwambia Ben mimi nilikuwa miongoni mwa waliokupinga vikali kwa kauli yako kumbe to some extent ilikuwa na chembe ya ukweli fulani.

Ben if u read me, usiende ACT kamanda, utapoteza heshima yako sana na unaweza kuwa ndiyo mwisho wako, Ushauri tu nenda hata Nccr-Mageuzi kuna siasa safi na sio hizi za ACT kutwa kupambana na CHADEMA chama kilichobeba matumaini ya wengi.
 
Last edited by a moderator:
we unaamini jinsi alivyokuwa akimharibia zitto now ataweza kwenda kuwa chini ya zitto?
Ila sishangai wanaweza kupatana

politics make strange bed fellows. Its never impossible, wakalenjin na wakikuyu walichinjana na kukatana mapanga, wakiongozwa na uhuru na ruto , na leo ni raisi na naibu raisi wa ushirika wa vyama vyao.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom