Ben Saanane kuhamia ACT - Wazalendo siku ya Ijumaa

Ben Saanane kuhamia ACT - Wazalendo siku ya Ijumaa

Status
Not open for further replies.
Mwanasiasa na nguli wa siasa nchini BEN SAANANE anatarajia kuchukua kadi ya chama cha ACT-WAZALENDO leo saa kumi jioni.BEN anatarajia kuchukua kadi hiyo makao makuu ya ACT-WAZALENDO akiwa ameambatana na wanachama wengine wapya 20.BEN anakualika kuja makao makuu ya ACT-WAZALENDO ili uje ujionee mwenyewe.
Tukio hili tutakuletea matukio yote kupitia hapa.BEN amekuwa mwanachama wa chadema kwa muda mrefu na mwandishi wa Mbowe na aliweza kuandika chochote alichoambiwa na MBOWE na kufanya chochote alichoelekezwa.
Ukiona hivyo, changanya na za kwako!
 
kama ni kweli basi atakuwa katika kundi lile la waroho wa madaraka na msaka shibe...alikosa kuwa mwenyekiti wa bavicha lakini pia akiona dalili zote zakuto pitishwa na chama kugombea ubunge rombo...nasubiri kuona kama ni kweli
 
If he does that then he is stupid and Naive .............................!! But I think he is clever than that!!
 
Jamani Makamanda hivi kweli Ben Saanane ndo amekuwa wa kubezwa kiasi hiki, MTU aliye mwaminifu kwa Chadema, akasaidia kufichua Walaka wa Mapinduzi, amepambana na Zitto mpaka akataka kumlisha sumu.

Ben huyuhuyu ambae ameshiriki harakati muda wote, Leo Mzito Kabwela,m4cjb na wengineo mnambeza na kumdhalilisha kuwa si lolote wala si Mwanasiasa?
Haya maneno sio yenu ni ya wakubwa zenu.

Ben decide and stand alone, GO.
 
Huu ni wakati wa Ben Saanane wa kuwatambua Makamanda real na Makamanda wa Kichina(feki) huu mtego utanasa wengi sana
 
Last edited by a moderator:
th
 
CHADEMA wamemkomesha.Sisi kila tukiongea ubaya wa CHADEMA yeye ndiye alikuwa anajifanya kinara utafikiri ofisa habari wa CHADEMA kukitetea.Imekula kwake.Akaanze upya kaijenga CHADEMA kilipokuwa tayari wamemtupa jalalani kama gunia la kudekia choo cha shimo.
 
BEN SAANANE ; KARIBU KULIKWARUZANA LAKINI WAGOMBANAO NDIO WAPATANAO

KARIBU ACT WAZALENDO WA KWELI. NA HII SALA IFIKE
th
 
Kwani kuhamia ACT ni lazima iwe habari!!!!
 
Kawa mwanasiasa nguli toka lini? zaidi ya jf ni wapi kwengineko anajulikana? hana impact yoyote huku field

Japo sinaga michango huku siasani, ila Ben huwa namsoma sana hapa JF na FB pia! Ana uwezo mkubwa mno wa kisiasa...tena siasa ya kisasa na kisayansi kabisa! Fitna na propaganda zilizoenda shule, sio porojo za majukwaani tu.

Ila kwa comment yako hiyo, KAMA nasema KAMA mimi ndio ningekuwa BEN hata kama nisingekuwa na mpango wa kuhama chama, ningejitathimini upya na kupima thamani yangu na heshima yangu ndani ya chama na mustakabali mzima wa maisha ya baadae kisiasa ndani ya chama chenu. Its not fair kabisa!!

Sent from JamiiForums
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom