Ben Saanane kuhamia ACT - Wazalendo siku ya Ijumaa

Status
Not open for further replies.
Pasco Watu wengi wa mlengo wa kushoto taarifa zao mara nyingi zinatoka usiku. Ben ni wa mlengo wa kushoto.

Achilia mengine mengi, Ben ana uwezo mkubwa sana mara nyingi nikiangalia anachoandika huwa naona mwanaharakati mzuri kuliko alivyo mwanasiasa.
Usemayo ni kweli, kijana ni mwanaharakati, mpiganaji na mpambanaji, na Chadema ni chama cha kiunaharakati, chama cha wapiganaji na wapambanaji, ili Chadema kiweze kushika nchi ni lazima kibadilike kutoka chama cha kiunaharakati, wapiganaji na mpambanaji na kugeuka chama tawala!, kipunguze harakati kije na solid workable solutions kitafanya nini kikikabidhiwa Ikulu, sasa ikitokea watu kama Ben, wanataka kukihama, ni ama wao wamebadilika kujiandaa kushika nchi huku vyama vyao vikishindwa kubadilika, ama vyama vyao vinabadilika na wao kushindwa kubadilika hivyo kuamua kuachia ngazi!.
Pasco
 
Pasco nakubaliana na wewe kuhusu mabadiliko ya chadema.Chadema kimekuwa chama cha harakati kwa miaka zaidi ya 5,ila sijawahi ona sera wala ilani ya chama juu ya mustakadhi wa watanzania.Hawawaelezi watawafanyia nini watanzania kila siku ni kutoa kashfa na weakness za Ccm.Nafikiri hizi porojo wananchi wamezichoka na wamekata tamaa kabisaa.Ki ufupi chadema haijajipanga kabisaa na hata watu kama ben saanane anaweza kuamua maamuzi ya kuhama chama ikiwa anaona direction na dhumuni la chama haliendani na mlengo na matarajio ya watanzania wengi.
 
Pasco hivi wewe ni yule Pasco ulie kuwa mnazi wa ccm au kuna mwingine? Manake jf majina yanayo fanana yapo, kama ndio wewe utakuwa umebadilika saana na umeweka Utaifa mbele.Nasoma sahv post zako zina akili saaana na zina lenga kutatua matatizo na kusaidia jamii.Nidhibitishie kwanza kama ndie wewe wala usione tabu kwan watu hubadilika.
 
Last edited by a moderator:
Sasa hiki anachofanya Ben ni utoto sasa, mtu kasema baada ya masaa 72 hadi muda huu kimya, huku ndio kunakoitwa kucheza na akili za watu, tunakuwa hatuna tofauti na bongo movie, mi niliamini kwa mtu smart kama Ben basi angetembea juu ya kauli yake, akiendelea hivi atatupoteza marafiki zake wengi maana itafika kipindi watu tutaanza kumpuuza, mimi binafsi kaniboa kwa kitendo cha kutuchezea akili siku nyingine sitarudia kushabikia drama za namna za hii.

Binafs kesha nikera, nilimuona ni mtu SMART sana, ila kanipa mashaka, hau ben nae ni Big Head???!!....
 
Pasco nakubaliana na wewe kuhusu mabadiliko ya chadema.Chadema kimekuwa chama cha harakati kwa miaka zaidi ya 5,ila sijawahi ona sera wala ilani ya chama juu ya mustakadhi wa watanzania.Hawawaelezi watawafanyia nini watanzania kila siku ni kutoa kashfa na weakness za Ccm.Nafikiri hizi porojo wananchi wamezichoka na wamekata tamaa kabisaa.Ki ufupi chadema haijajipanga kabisaa na hata watu kama ben saanane anaweza kuamua maamuzi ya kuhama chama ikiwa anaona direction na dhumuni la chama haliendani na mlengo na matarajio ya watanzania wengi.
Na hili tumesema toka 2012 lakini wapi hawa jamaa wakazania siasa za majitaka wakati walikuwa wakilia na CCM ilipokuwa ikiwazungumzia Slaa na Mbowe.

Yaani sasa hivi ukimuuliza mtu yeyote Chadema inapigania nini? hawajui lakini waulize UKAWA aaah Katiba Mpya na Daftari la Kupiga kura, sasa jamani kweli hizi ndizo sera za kuuza kukupeleka IKULU au hata Ubunge? zimetumika kwenye uchaguzi wa Halmashauri bado CCM imeshika zaidi ya asilimia 50. na hoja ya katiba inapungua makali watu watazoea na itakuja kuwa kawaida hapo sasa muda hakuna wao wamekalia Zittooo Zittooo kumbe ndio wanampandisha Chat!
 
Pasco hivi wewe ni yule Pasco ulie kuwa mnazi wa ccm au kuna mwingine? Manake jf majina yanayo fanana yapo, kama ndio wewe utakuwa umebadilika saana na umeweka Utaifa mbele.Nasoma sahv post zako zina akili saaana na zina lenga kutatua matatizo na kusaidia jamii.Nidhibitishie kwanza kama ndie wewe wala usione tabu kwan watu hubadilika.
Mkuu nikupongeze wewe, kwa maana wewe ndio umebadilika na kuanza kunielewa!, sasa kama una nafasi, hebu pitia tena hizo nyuzi zangu unazosema nilikuwa mnazi wa CCM, zisome tena in betwee the lines utaelewa tofauti na ulivyoelewa mwanzo!. Pasco wa jf, hajawahi kuwa mnazi wa CCM wala mnazi wa chama chochote cha siasa, siku zote amekuwa ni mkweli daima, na kuna maukweli mengine ni machungu kumeza!, mfano kabla ya UKAWA, Chadema peke yake ndio imeonyesha kuwa ndio strong opposition party huku bara, wengi wakikitumainia na kukitarajia kitashika Ikulu 2015, mimi niliwaambia watu humu ukweli halisi kuwa Chadema bado haijajipanga mkao wa kushika nchi, b ado ni chama cha kiuana harakati, hivyo nikasema 2015 ni CCM tena!. Kama kwa kusema hivi ndio umeniona mnazi wa CCM, you were wrong!. Sasa ndani ya UKAWA, there is some little hope, kama UKAWA watazichanga karata zao vizuri japo the time left might be too little too late, bali chelewa ufike!.

Pasco
 
Na hili tumesema toka 2012 lakini wapi hawa jamaa wakazania siasa za majitaka wakati walikuwa wakilia na CCM ilipokuwa ikiwazungumzia Slaa na Mbowe.

Yaani sasa hivi ukimuuliza mtu yeyote Chadema inapigania nini? hawajui lakini waulize UKAWA aaah Katiba Mpya na Daftari la Kupiga kura, sasa jamani kweli hizi ndizo sera za kuuza kukupeleka IKULU au hata Ubunge? zimetumika kwenye uchaguzi wa Halmashauri bado CCM imeshika zaidi ya asilimia 50. na hoja ya katiba inapungua makali watu watazoea na itakuja kuwa kawaida hapo sasa muda hakuna wao wamekalia Zittooo Zittooo kumbe ndio wanampandisha Chat!
Wewe sio SI Unit kwamba unachokiona na wengine lazima waone hivyo hivyo, kama hujaona kazi iliyofanywa na Chadema kwenye uchaguzi wa S/M ambayo hata CCM wenyewe wanakiri kuwa ngome zake zimeguswa lazima utakuwa na tatizo.
 
Wewe jamaa wewe....sina la kufanya zaidi ya kuendelea kumshukuru Mungu kwa uwepo wa watu kama wewe. Huyo mkandara umempa sawasawa na anavyostahili!
 
Pasco nakubaliana na wewe kuhusu mabadiliko ya chadema.Chadema kimekuwa chama cha harakati kwa miaka zaidi ya 5,ila sijawahi ona sera wala ilani ya chama juu ya mustakadhi wa watanzania.Hawawaelezi watawafanyia nini watanzania kila siku ni kutoa kashfa na weakness za Ccm.Nafikiri hizi porojo wananchi wamezichoka na wamekata tamaa kabisaa.Ki ufupi chadema haijajipanga kabisaa na hata watu kama ben saanane anaweza kuamua maamuzi ya kuhama chama ikiwa anaona direction na dhumuni la chama haliendani na mlengo na matarajio ya watanzania wengi.

CCM huwa wanawaambia wanawaambia wananchi watawafanyia nini? Kwa mara ya mwisho kuwasikia ilikuwa wakati wa kampeni za uchaguzi mwaka 2010 ambapo vyama vyote vilinadi sera zao baada ya hapo sijawasikia tena.
 
Wewe jamaa wewe....sina la kufanya zaidi ya kuendelea kumshukuru Mungu kwa uwepo wa watu kama wewe. Huyo mkandara umempa sawasawa na anavyostahili!
Asante mkuu, kuna watu huwa hawapendi kuukubali ukweli,

Mkandara anafahamika zamani kabla ya ACT alikuwa akijipambanua kama mchangiaji huru asiye na chama lakini alikuwa mpinzani mkuu wa uongozi wa Mbowe na Slaa huku akipongeza harakati za akina Zitto na Kitila ndani ya Chadema hadi wengine wakawa wanahisi Kitila anatumia ID ya Mkandara. Baada ya ACT kuanzishwa Mkandara alinukuliwa akisema ana kadi no. 2 ya ACT, kwa hiyo ukiunganisha dots usitarajie mtu kama huyo kuikubali Chadema hata kama ikifanya mazuri.

Ila tu napenda kumweleza kuwa Ukawa na Chadema wamejipanga na wamejiandaa kushinda uchaguzi, hatuna haja ya kulumbana na ACT ingawa wanatulazimisha tufanye hivyo.

Zitto tumemlea tumemfundisha siasa tunajua pumzi yake ni kama kocha anavyojua pumzi ya mchezaji wake kuwa huyu acheze dk 90 au dk 15 za kipindi cha kwanza.
 
Ahsante sana, comments zako zimenibariki sana!
 
Mkuu nikupongeze wewe, kwa maana wewe ndio umebadilika na kuanza kunielewa!, sasa kama una nafasi, hebu pitia tena hizo nyuzi zangu unazosema nilikuwa mnazi wa CCM, zisome tena in betwee the lines utaelewa tofauti na ulivyoelewa mwanzo!. Pasco wa jf, hajawahi kuwa mnazi wa CCM wala mnazi wa chama chochote cha siasa, siku zote amekuwa ni mkweli daima, na kuna maukweli mengine ni machungu kumeza!, mfano kabla ya UKAWA, Chadema peke yake ndio imeonyesha kuwa ndio strong opposition party huku bara, wengi wakikitumainia na kukitarajia kitashika Ikulu 2015, mimi niliwaambia watu humu ukweli halisi kuwa Chadema bado haijajipanga mkao wa kushika nchi, b ado ni chama cha kiuana harakati, hivyo nikasema 2015 ni CCM tena!. Kama kwa kusema hivi ndio umeniona mnazi wa CCM, you were wrong!. Sasa ndani ya UKAWA, there is some little hope, kama UKAWA watazichanga karata zao vizuri japo the time left might be too little too late, bali chelewa ufike!.

Pasco
I agree Pasco, Kwa jinsi upinzani ulivyozembea kujipanga,,ni dhahiri CCM wataendelea tena 2015,,,tulishauri sana humu 2010 kwamba Chama kijiandae upya kushika dola,,lakini wanazi humu JF ni wengi,,kazi yao kushambulia ZZK tu,,wamesahau kazi yao ya msingi: Kupanga mikakati ya kuitoa CCM,,na kujiandaa kuchukua dola.
 
Asante mkuu, kuna watu huwa hawapendi kuukubali ukweli,

Mkandara anafahamika zamani kabla ya ACT alikuwa akijipambanua kama mchangiaji huru asiye na chama lakini alikuwa mpinzani mkuu wa uongozi wa Mbowe na Slaa huku akipongeza harakati za akina Zitto na Kitila ndani ya Chadema hadi wengine wakawa wanahisi Kitila anatumia ID ya Mkandara. Baada ya ACT kuanzishwa Mkandara alinukuliwa akisema ana kadi no. 2 ya ACT, kwa hiyo ukiunganisha dots usitarajie mtu kama huyo kuikubali Chadema hata kama ikifanya mazuri.

Ila tu napenda kumweleza kuwa Ukawa na Chadema wamejipanga na wamejiandaa kushinda uchaguzi, hatuna haja ya kulumbana na ACT ingawa wanatulazimisha tufanye hivyo.

Zitto tumemlea tumemfundisha siasa tunajua pumzi yake ni kama kocha anavyojua pumzi ya mchezaji wake kuwa huyu acheze dk 90 au dk 15 za kipindi cha kwanza.

Kiukweli kabisa,,hamjajipanga kushika dola: Mnahitaji maandalizi ya kimkakati,,kirasilimali na nia dhabiti. M4C ndo ulikuwa mkakati wa ukweli,,ulioanza mapema,,kabla ya kampeni.( Oneni,,Kinana na wenzake wanavyozunguka nchi nzima,,kuongea na raia).
Yeyote aliyechangia kuiua M4C,,amewamaliza kimkakati
 
Ulitangaza ndani ya masaa 72 utatoa maamuzi magumu mbona kimya hadi sasa? Au kuna watu wamekuzima tayari? Kama hakuna maamuzi yeyote basi ni vyema ukaja kutuomba radhi kwa kutupotezea muda.

Secondly, chama chetu CHADEMA kimepata kuchafuliwa sana kulingana na kauli yako, taasisi yetu pamoja na viongozi wetu wamepakwa matope mitandaoni kutokana na tamko lako lakini hatukuona ukiunga mkono wala kukanusha mahali popote.

Umepanda mbegu ya kutokuaminika kwa kauli yako sababu hujatimiza kile ulichoahidi, sasa iwaje tuendelee kukuamini? Uvumi ulipo enea dhidi ya David Silinde haukukaa muda mrefu ulikanushwa na muhusika sababu alijua kuwa uzushi huo haukuwa afya kwa chama likewise to Halima Mdee na Rose Mayemba.

Tushawishi ni kwa vipi tutaendelea kukuamini sisi vijana wenzako tuliojenga imani kwako licha ya watu kukupiga mawe kila upande?

Mods please iacheni hii thread tupate majibu.
 
Last edited by a moderator:
Wewe sio SI Unit kwamba unachokiona na wengine lazima waone hivyo hivyo, kama hujaona kazi iliyofanywa na Chadema kwenye uchaguzi wa S/M ambayo hata CCM wenyewe wanakiri kuwa ngome zake zimeguswa lazima utakuwa na tatizo.

Pana watu wanachekesha sana,uchaguzi serikali za mitaa umewatoa jasho CCM na umeacha makovu makubwa sana,hilo kila mwanamagamba analijua. Feedback achana na hawa mabingwa wa "uchambuzi" wa JF wakati siasa za field hawazijui! Huyo Mkandara ni shabiki number moja wa Zitto wala sishangai anavyoimba nyimbo za kuitukuza ACT
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom