Ben Saanane kuhamia ACT - Wazalendo siku ya Ijumaa

Ben Saanane kuhamia ACT - Wazalendo siku ya Ijumaa

Status
Not open for further replies.
kwa mtu anayejua jinsi karata za siasa zinavyochezwa hata shangaa hili jambo kbs ila tu anasema ACT kuweni makini sana
 
Tusubiri kama kuna wa kuumbuka na washindi! Lakini mbona Ben mwenyewe hajitokezi kusema chochote.
 
Nimegundua kitu kuwa kuna mauzushi yanaanzishwa makusudi ili wapenzi wa Chadema wawakasirikie watu wao wanao tajwa na kuwatusi. Tatizo ni kukaa kimya uzishi ukitolewa na hao ma act. Nampo ngeza sana Silinde kwa Alichofanya. Kutokukanusha ni kuwavuruga wenzako maana hakuna ajuaye ya moyoni ya wengine
 
kama akienda ACT asisogee karibu ha Mezakuu, aweza kuwa katumwa na SUMU !!
 
It continues to prove how wrong CHADEMA is as an institution for young Tanzanians to realize their potentials. The comments from some readers prove what I have observed here.
 
Tatizo la wengi wetu hapa jamvin ni kuwa na usahaulifu...nadhani tunakumbuka mwanzoni mwa usaliti wa Zitto,viongozi walimtumia kama shushushu kumchunguza Zitto na uchunguzi ulipokamilika aliwasilisha makao makuu,sasa usishangae haya yanayoibuka leo bado ni muendelezo wa ushushushu wake na akifanikiwa litakuwa ni anguko la pili la bwana Zitto,hivyo ni jambo la muda tu wanajamvi hakuna haja ya kuweweseka sana...hii imepenyezwa tu...
 
Sisi wengine hadi leo hii hatujakubaliana na huo unaoitwa Usaliti wa Zitto, tunachoamini ni sarakasi za Akili ndogo kung'ang'ia madaraka tu. Tunacho shukuru Zitto yupo hai hadi leo.

R.I.P C h a c h a W.
 
Mwanasiasa na nguli wa siasa nchini BEN SAANANE anatarajia kuchukua kadi ya chama cha ACT-WAZALENDO leo saa kumi jioni.BEN anatarajia kuchukua kadi hiyo makao makuu ya ACT-WAZALENDO akiwa ameambatana na wanachama wengine wapya 20.BEN anakualika kuja makao makuu ya ACT-WAZALENDO ili uje ujionee mwenyewe.
Tukio hili tutakuletea matukio yote kupitia hapa.BEN amekuwa mwanachama wa chadema kwa muda mrefu na mwandishi wa Mbowe na aliweza kuandika chochote alichoambiwa na MBOWE na kufanya chochote alichoelekezwa.

mkuu ya kweli hayo?
 
Nimegundua kitu kuwa kuna mauzushi yanaanzishwa makusudi ili wapenzi wa Chadema wawakasirikie watu wao wanao tajwa na kuwatusi. Tatizo ni kukaa kimya uzishi ukitolewa na hao ma act. Nampo ngeza sana Silinde kwa Alichofanya. Kutokukanusha ni kuwavuruga wenzako maana hakuna ajuaye ya moyoni ya wengine
HAakika mkuu wakati mwingine unakaa kimywa tu midhari umeshajua kuwa watu hawalali wanatafuta kila namna kuwachonganisha chadema na ukawa kwa ujumla
 
Mbona kachelewa...?
Wengine ni bendera fuata upepo yaani upepo unapoelekea ndipo na wao wanapoelekea.
 
Kuna uzi ulikuja hapa unasema kuwa amekabidhiwa kadi..umepotea ghafla huo uzi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom