Ben Saanane kuhamia ACT - Wazalendo siku ya Ijumaa

Ben Saanane kuhamia ACT - Wazalendo siku ya Ijumaa

Status
Not open for further replies.
Unapotoa kejeli kwa Madrassa kumbuka Chadema wapo watu waliopita Madrassa kina Prof Safari, Salum Mwalimu, na UKAWA wapo kina Prof Lipumba, hawa wote wana upeo mdogo?
Nakuongelea wewe kiumbe ya Madrasa umeongezea na ipi? Au Kupiga Matwari?
 
Hivi mnapojadili UKAWA ama Benn Sanane wakati mkifahamu nchi tunamkabidhi Lowassa bongo zenu nikizifananisha na ubongo wa panzi ambao asilimia 98% ni kinyesi chake takuwa nimewatusi?
 
CDM mtu akitaka kuamua maamuziyake mna mwita msaliti kwahiyo chama ni cha maraika kwamba hao viongozi hawakosei wasisemwe wala kuulizwa? Ben fanya maamuzi yako tanzania tumesha zowea siasa za chuki NB:MKE MBAYA ANAMSHINDA UNAYEMTAFUTA
Usiamini katika hisia uchwara za wachochea kuni Ndugu Ben hawezi kuhama CDM.
 
Viumbe wa Madrasa tupo wengi Prof Safari, Salum Mwalimu, hawa makamanda wa Chadema.
Kupitia Madrasa ni wajibu ila unapaswa kupitia elimu dunia kuweza kuchanganua Mambo kwa Mapana usiwehuke wewe kiumbe.
 
Ben Saanane akijipanga vizuri ACT Rombo anaweza kumpiga chini Selasini.
 
Last edited by a moderator:
Hapa Mbwai mbwai tu ukileta uchuro nakugonga za uso Mods wanawalea sana Wehu nyie kila hoja Mnaingiza udini.

Kabla ya Kikwete shule za sekondari hazijafika elfu mbili, canganya Nyerere, Mwinyi, Mkampa, Mwingereza, Mjerumani na Mwarabu.

Wakati wa Kikwete pekee shule za sekondari elfu tano.

Nani zaidi?

Utayaweza hayo?
 
Bavicha bhana badala ya kujadili kuondoka kwa Ben Saanane Chadema wanajadili Madrassa.

Kwi kwi kwi kwi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom