Ben Saanane kuhamia ACT - Wazalendo siku ya Ijumaa

Ben Saanane kuhamia ACT - Wazalendo siku ya Ijumaa

Status
Not open for further replies.
Utashangaa Yericko Nyerere naye anahama
 
R.I.P Mwangosi, Mgimwa, Mvungi, Komba, Mbwambo et al ... Siku hivi mmehamia Ufipa? Mabwepande mmeacha? Yule kiongozi wa Vijana waliohitimu mafunzo ya JKT mlimpeleka wapi?

Red Brigade wamemfungia pale Ufipa kwenye chumba cha mateso
 
Binafsi namkubali sana Comrade Ben Saanane naujuwa umuimu wake ndani ya chadema, japo najuwa Ben ana maadui wengi Ndani ya chadema kutokana uwezo wake mkubwa.

Ben atamumbuwe kwa Uwezo alionao awezi kukosa maadau ndani ya Chama chochote hapa tanzania, hila zipo popote,mfano tuna yaona ya Lowassa, hata Obama alipata hila ndani ya chama chake kutokana na uwezo alionao., Hivyo kwa sababu amesha wajuwa wasio mtakia mema na wasio mpenda ndani ya chadema ni Vema akabaki chadema na kupambana nao kwani ni rahisi zaidi. kuliko kuenda kuanza upya kwenye chama kingine.

Binafsi naamini ben Anataka kutangaza nia ya kugombea Ubunge jimbo la Rombo, ambalo ametumia nguvu kubwa kulijenga na ame jijengea heshima kisiasa, tumeona mchango wake katka matokeo ya serekali za mitaa.

Nakumbuka Ben aliwapoteza RAFIKI zake Wakiwa katika Harakati za KUIJENGA Chadema Huko Rombo, ben amejitolea Vingi sana kuijenga Chadema kuanzia ngazi ya Taifa mpaka Kwao Rombo.

Binafsi naamini Ben awezi KUWASALITI RAFIKI zake Wakio POTEZA UHAI wao ktk harakati za Kuijenga Chadema Rombo. Ili kuwa kumbuka rafiki zake, hana budi kupambana akiwa bado ni mwanachadema.

kama Chadema awamtendei haki Ben, namsihi sana asikimbie Mapambano, atafute haki yake ndani ya chadema,

Chadema bado ina mwitaji sana Ben, nadhani na ben anaiitaji sana Chadema.

Siwezi muona ben kama ni msaliti endapo ata kiama chama cha chadema, ila kama ana taka kuama ninge mshauri aende NCCR au TLP,

Act ni kama vile CCM, maana wana dili na upinzani sana hususani CHADEMA, ni dhahiri wapo kupambana na upinzani, mwerevu atanielewa.
 
Last edited by a moderator:
kayataka mxenyewe kurasa kumi na kitu hajajitokeza kukanusha au kukubali unategemea nini sasa

mbona kipindi kile zitto anaparuliwa humu na kashfa zake beni na yerico walikua hawachelewi kuchangia mada?

Je kama yupo kijijini na huko hakuna network? Hata haya mnayozungumza nyinyi pengine yeye hayajui?
 
Lema, na Chadema kaskazini wanampiga vita sana Ben, Sijui amewakosea nini,,
 
nimesoma huu uzi na akiamia act nitasikitika sana. nakumbuka 19-21/12/2012 alivoiteka jf akimwaga uchafu wa zzk,shonza, mwamamba na lile group la masalia. hadi leo yale zzk aliyoyaweka apa mtandaoni sijui kama ameyaweka kwenye kitabu chake. ben saa 8 namuamini ila iwapo atamia ACT nitamuita jina baya. nitaliweka siku akiamia kama itakuwa kweli
 
barabara za lami zingejengwa tu hata kama wewe ajuza ungekuwa pale magogoni. Mipango ya mzee mkapa ile.

Waliokuwepo wote kabla ya Kikwete, Nyerere, Mwinyi, Mkapa pamoja na Mwingereza na Mjerumani na Mwarabu kabla hatujagaiwa Uhuru, walijenga KM hazizidi elfu nne za barabara za lami. Hesabu miaka mingapi yao wote hao.

Kikwete kwa miaka yake 9 zaidi ya Kilomita 10,000.

Sema.
 
Ni pigo kubwa sana kwa Bavicha kama ni kweli unakwenda ACT kila la heri siasa hazina adui wa kudumu wala rafiki wa kudumu.
 
Aende tu hakuna shida kwani akiondoka tatizo nn c tupo tunaendelea na harakati za mabadiliko ambaye hataki akafie huko!!
 
Kwahiyo akienda ACT ndo atashinda jimbo la Rombo?
 
Waliokuwepo wote kabla ya Kikwete, Nyerere, Mwinyi, Mkapa pamoja na Mwingereza na Mjerumani na Mwarabu kabla hatujagaiwa Uhuru, walijenga KM hazizidi elfu nne za barabara za lami. Hesabu miaka mingapi yao wote hao.

Kikwete kwa miaka yake 9 zaidi ya Kilomita 10,000.

Sema.
haa haa we sifia tu. Mtanzania yeyote makini anajua jk hakuna jipya alilofanya zaidi ya kulea tu ufisadi na kugawa vyeo kwa ndugu na marafiki kama njugu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom