Ben Saanane kuhamia ACT - Wazalendo siku ya Ijumaa

Ben Saanane kuhamia ACT - Wazalendo siku ya Ijumaa

Status
Not open for further replies.
Huyu anataka kutangaza nia ya kugombea Ubunge, wala sio kuhama Chama.
 
Ben na Zitto ni watu wawili wasiofanana, wana siasa ya aina tofauti. Zitto na tabia yake ya kujikweza hawezi kufanya siasa na Ben halafu akamkubalia..... Ben akienda ACT nina hakika Zitto atakimbilia CCM mama mzazi wa ACT
Wajukuu wa MTEI mnajifanya wachambuzi wa siasa! Teh teh teh!
 
Mungu kumtumia Shetani? jamani hizi dini zenu mmefundishwa kweli au?

Hee... hee.... juzi Juliana Shonza kakufanya usheherekee na kupiga vigelegele (kama mwanamke) kwa kuongopa eti Lissu amefukuzwa Butiama. Baadae ikadhihirika ni uwongo wa shetani. Haa! Haa! wapi Mkandara. Mutu inayofurahi inaposikia Chedema imeharibikiwa!
 
Nasikia Zitto anayembea na fuko la hela ananunua watu wa Chadema, anunue wahame wote Chadema ifutike ila mimi kuliko kumpigia Zitto kura yangu kwa namna alivyosaliti mabadiliko bora niipigie CCM itawale milele.Sio mimi tu mimi na familia yangu na ntashawishi wazazi wangu na marafiki zangu pia wasimpigie Yuda kura.
 
Hapana hukunisoma vizuri nilichoandika ni maneno yake juu ya Muungano na kwamba Nyerere kazoea vya kunyonga. kwa mwanasiasa hii sii lugha kabisa na ilikula kwa Chadema japo hamjui tu. Huyo Juliana mimi namjua wapi hadi niamini kila anachoandika..Hizi habari zenyewe nasikilizia tu..
 
Nasikia Zitto anayembea na fuko la hela ananunua watu wa Chadema, anunue wahame wote Chadema ifutike ila mimi kuliko kumpigia Zitto kura yangu kwa namna alivyosaliti mabadiliko bora niipigie CCM itawale milele.Sio mimi tu mimi na familia yangu na ntashawishi wazazi wangu na marafiki zangu pia wasimpigie Yuda kura.
Hizi habari za kusikia sikia ndio zinakatazwa hapa jukwaani, Porojo kama hizi ziishie huko huko vijiweni!
 
Vua ngwanda vaa uzalendo. Bora uchomoke mapema jamaa wasije kukunyofoa kucha na macho kama huamini kamuulize kagenzi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom