Ben Saanane kuhamia ACT - Wazalendo siku ya Ijumaa

Ben Saanane kuhamia ACT - Wazalendo siku ya Ijumaa

Status
Not open for further replies.
Nasikia Zitto anayembea na fuko la hela ananunua watu wa Chadema, anunue wahame wote Chadema ifutike ila mimi kuliko kumpigia Zitto kura yangu kwa namna alivyosaliti mabadiliko bora niipigie CCM itawale milele.Sio mimi tu mimi na familia yangu na ntashawishi wazazi wangu na marafiki zangu pia wasimpigie Yuda kura.
Mkuu hizi news hata mimi ninazo. Lakini tujiulize hizo fedha zinatoka wapi? Zinaonekana kabisa ni fedha ambazo hazina uchungu wa kutoa! Ni fedha zilizopatika kwa njia mbovu na ziko nyingi. Upelelezi bado unaendelea lakini kwa habri za sasa huu ni mkakati maalumu wa uchaguzi uliopangwa siku nyingi.
 
Daaah sikutegemea kama vijana wa bavicha wanaweza kutamka maneno ya kuudhi kwa Ben kama walivyofanya leo yeye hajasema anahama chama wala ushahidi wa hilo jambo hamna maana ya maamuzi magumu ni kuhama chama? Tusiwe watu wa kuchafuana hata katika mambo tusiyokuwa na uhakika nayo mimi namkubali Ben sio mtu kejeli ni mtu wa kujenga hoja ushauri wangu tuweke akiba ya maneno tusije kuona aibu Ben atakapojitokeza na kueleza jambo tofauti na lile mnalofikiria tusipende kujifanya sisi shekhe yahaya
 
kayataka mxenyewe kurasa kumi na kitu hajajitokeza kukanusha au kukubali unategemea nini sasa

mbona kipindi kile zitto anaparuliwa humu na kashfa zake beni na yerico walikua hawachelewi kuchangia mada?
 
Beni please njoo ukanushe natamani usiondoke if its true afterall.
 
mwaka 2012 nilisema humu wako watu 11 wanaopaswa kufukuzwa chadema huyu bwana mdogo ni mmoja wao......sishangai akiondoka.....
 
Nasikia Zitto anayembea na fuko la hela ananunua watu wa Chadema, anunue wahame wote Chadema ifutike ila mimi kuliko kumpigia Zitto kura yangu kwa namna alivyosaliti mabadiliko bora niipigie CCM itawale milele.Sio mimi tu mimi na familia yangu na ntashawishi wazazi wangu na marafiki zangu pia wasimpigie Yuda kura.
tupo wengi mkuu.
 
Ben Saanane ni kijana mwerevu, ana haki zake kama Mtanzania mwingine kujiunga na chama chochote cha siasa kwa utashi wake. Naamini kama amekubaliana na mission pamoja na vission ya ACT ya uwazi, uwajibikaji, uzalendo na kutumia rasilimali za taifa kwa manufaa ya taifa zima, basi si ajabu akajiunga ACT

Siasa ni safari, Dr Slaa alikuwa CCM sasa yuko CHADEMA

Lissu alikuwa NCCR sasa yuko CHADEMA
Lema alikuwa TLP sasa yupo CHADEMA
Zitto alikuwa CHADEMA, sasa yupo ACT

Kwa hiyo si ajabu kwa Ben Saanane kuhamia chama chenye dira na muelekeo cha ACT

Kama siasa ndo zimekuwa kama upatu, bora waache tu. Hakuna tjja kwa mtanzania
 
chadema Ben ana uongozi gani,Ben hana madhara aondoke tu,kwanza amezidi kiherehere
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom