ni dhambikatika imani ya dini yangu kujadiliana na SANAMU(FAKE IDS) come up kwa jina lako tujadiliane sawa sawa, naona unataka kuleta nabishano yasiyo na kichwa wala miguu.
soma vizuri maandiko yangu utanielewa..unless wewe ndo uwe SAA NANE mwenyewe.
Ben alisema bila kumumunya maneno, na beneficiary wake ni Zito Kabwe. Mbona wewe Malinda,Juliana na Mchange hamtaki kusikia wala kujibu hoja za Ben saa nane zaidi ya kuleta porojo???
Mmeumbuka sasa, Mungu hamfichi mnafiki.
kwa hiyo sasa hivi mmemsamehe dhambi zake zote?.Mkuu naomba msaada, pengine english ngumu ya Ben inanishika......hivi e-mail ya Ben kwa Mchange ina madhara yeyote, zingatia kwamba Ben alifanya kabla ya wokovu
Hii haitawasaidia, kitachosaidia ni hoja kujibiwa hata kama ni yeye isimaaanishe hoja ni mfusasa tumeanza kuzijua IDs fake za SAA NANE.....tutaendelea tu kuzijua zaidi na zaidi na zaidi.
lazima utakuwa na kazi MAALUM na wewe sio bure hata kidogo.lazima utakuwa na kazi MAALUM na wewe sio bure hata kidogo.
naona umemng'ang'ania mchange as if hauelewi alichokiandika?.
sisi tumeshamuelewa SAA NANE kuwa ni mnafiki
kwa hiyo sasa hivi mmemsamehe dhambi zake zote?.
lazima utakuwa na kazi MAALUM na wewe sio bure hata kidogo.
naona umemng'ang'ania Graciousas if hauelewi alichokiandika?.
sisi tumeshamuelewa
kwa hiyo sasa hivi mmemsamehe dhambi zake zote?.
Acha kutapatapa jibu swali la Gracious usisingizie fake Ids,umeshikwa pabaya kweli njia ya mwongo fupi,msaliti mkuwa wewe na ZZK na huyo Shonza,jibu hayo maswali uliyoulizwa acha kulia lia
Hii haitawasaidia, kitachosaidia ni hoja kujibiwa hata kama ni yeye isimaaanishe hoja ni mfu
mkitaka mkifikishe chama sehemu salama ni lazima muelewe na mkubali kwamba hakuna mkanilifu mia mia, mnayoyafanya ya kuwashambulia kina mchange na wenzie mnaonyesha namna gani livyo na chuki dhidi yao.Acha kutapatapa jibu swali la Gracious usisingizie fake Ids,umeshikwa pabaya kweli njia ya mwongo fupi,msaliti mkuwa wewe na ZZK na huyo Shonza,jibu hayo maswali uliyoulizwa acha kulia lia
Mkuu huo uzi hauuziki.....angalia joining date zao, wamekaririshana
kama hivyo ndivyo kulikuwa na haja gani ya kumtafuta TUNTEMEKE ili tumjue humu?...tusiwe bised, kwamba kunya anye kuku akinya bata kaharisha?.Hii haitawasaidia, kitachosaidia ni hoja kujibiwa hata kama ni yeye isimaaanishe hoja ni mfu
mkitaka mkifikishe chama sehemu salama ni lazima muelewe na mkubali kwamba hakuna mkanilifu mia mia, mnayoyafanya ya kuwashambulia kina mchange na wenzie mnaonyesha namna gani livyo na chuki dhidi yao.
kitu ambacho kinawaumiza sana ni kuwa movements zenu ni rahisi sana kuhusianishwa na ukabila na ukanda, ndio maana mnawapa nguvu wakina mchange.....hebu angalia SAA NANE na MAMUYA ambao ni washtaki wakuu katika mpango huu wanatokea wapi?. wotekilimanjaro, angalia zitto, mchange na wam Mbona we unaingiza ukabila bila kuelewa kinachojadiliwa.?
kama hivyo ndivyo kulikuwa na haja gani ya kumtafuta TUNTEMEKE ili tumjue humu?...tusiwe bised, kwamba kunya anye kuku akinya bata kaharisha?.
sasa tumeanza kuzijua IDs fake za SAA NANE.....tutaendelea tu kuzijua zaidi na zaidi na zaidi.
Na nyinyi mmezidi sasa khaaa!!!
- Is not hoja hiyo wewe malinda, jibuni hoja.Nakuthibitishia kwa 100000000% mimi sio Ben,ondoa shaka.
- Ningewaona ni wenye busara sana kama mngeomba tu haya mambo mkajitetee kwenye vikao vya chama.Mwenzenu Ben anajiamini na is bold enough kwenda kwenye mamlaka ya chama.Stori zenu za kutunga hazitasaidia sana.
- Hata msidhani kwamba mnapambana na Ben Saanane,mtu yeyote mwenye mapenzi mema kwa chama anawaona mna makosa.Wote pamoja na Ben.Kuna vijana wanaojitahidi kukisambaza chama kwa Umma,alafu ninyi kwa matakwa yenu mnaleta Coallision zisizo na Msingi.
- I am sure hamuwezi ku survive kutokana na hii scandal.....For your good kama mnataka kuendeleza hayo mapambano yenu...Ni vema zaidi mkaenda kuyafanyia nje ya Chama cha Chadema,ambao mnadhani mtakuwa na uhuru zaidi.
- Msidharau michango ya kila mtu kujenga chama,hakuna mwenye hati miliki ya kujidai eti ametoa damu yake.Damu yako imetoka katika usaliti? Bro,be realistic bana.Kuna watu wametoa maisha yao.Kuna watu wamefilisika kwa kusupport chama.
- Kuaminiwa kwa Chadema hivi leo is not a mistake or a rare chance,some people toiled for it.Then you come,mnaaanza kuleta upuuzi.....GOD WILL PAY YOU,Be assured
We ndo sidekick ya miss Shonza?Mana kazi kweli kweli.Hii ni JF,msidhani ni kama FB!aithee bwa sheee upo werii?
mkitaka mkifikishe chama sehemu salama ni lazima muelewe na mkubali kwamba hakuna mkanilifu mia mia, mnayoyafanya ya kuwashambulia kina mchange na wenzie mnaonyesha namna gani livyo na chuki dhidi yao.
kitu ambacho kinawaumiza sana ni kuwa movements zenu ni rahisi sana kuhusianishwa na ukabila na ukanda, ndio maana mnawapa nguvu wakina mchange.....hebu angalia SAA NANE na MAMUYA ambao ni washtaki wakuu katika mpango huu wanatokea wapi?. wotekilimanjaro, angalia zitto, mchange na wampamba ambao ni washtakiwa wakuu wanatokea wapi?, huyu kigoma yule mbeya mwengine pwani nakadharika....
nawashauri punguzeni chuki zenu ili msiwape nafasi maadui zenu wanaochekelea mnyukano huu.
msiruhusu kuhusishwa na siasa za kikabila.