Hivi katika post zote mbili,wana jf mnapata onnection ya moja kwa moja ya zitto na usaliti anaousema ben???
Ben hakuna sehemu aliyomuonesha zitto akiuwa na kundi hili zaidi ya bla bla za maneno yake.lakini ni wapi zittto anaingia kwenye hizi shutuma?
We Mchange ule ujinga uliokuwa una[ost kwenye face book kuhusu kadi ya Dk Slaa ndiyo akili ya kujenga Chama? then mbo post yako inafanana sana na watunga uongo wa Ki mihadhara ya dini fulani hivi?
bado unaendelea kuhochea mgogoro. hauonyeshi kukataa wala kukubali kilicholetwa humu jamvini na mchange.We Mchange ule ujinga uliokuwa una[ost kwenye face book kuhusu kadi ya Dk Slaa ndiyo akili ya kujenga Chama? then mbo post yako inafanana sana na watunga uongo wa Ki mihadhara ya dini fulani hivi?
hili nalo halisaidii kuupanua wala kuupunguza mjadala, hapa unaonyesha kuwa kuna watu wanaruhusiwa kujadili na kuna watu hawaruhusiwi kujadili. wache watu wajadili kwa kadiri wanavyoona inafaa
hakuna haja ya kuunganisha uzi,haya ni mashitaka mawili tofauti, BEN ametishia kumwaga mboga mchange yeye amemwaga UGALImods unganisha huu uzi na ule wa saanane.bado sijaona hoja hapa.
Mchange hujajisafisha kabisa!
SIJAONA KAMA WANALIALIA. kilichotokea hapa ni kwamba hizi pande mbili zipo kaini kuchafuana, mbinu waliyoiona upande wa wapinzani wa zitto ni sahihi kumchafulia imeonyesha kushindwa kufanya kazi, badala yake mchange amekuja kumuumbua BENHuu ndio utoto uliopitiliza,kila mtu anakuja analialia hapa jamvini wakati kuna viongoz wa chama waweza kwenda kumalizana huko.
Mamuya analia,Ben analia,Zito analia na mchange analia. Huu ndio up.u.u.z.i ulio kubuhu kumbe nyie wote mlikua na agenda zenu binafsi ndani ya chama sasa mmeshindwana ndo mmeona mje hapa jamvini kuumbuana.
Kweli ujana una mambo mengi na ndo maana mara nyingi tunagombana na wazee wetu,anyway mkikua mtaacha utoto.
Wacha mie nijiandae kupokea hukumu ya kamanda wangu LEMA,tuendeleze harakati za ukombozi tuachane na hawa wanaotafuta uongoz.
Lets go lema,lisu,mnyika,esta wasira na makamanda wote wa ukweli achaneni na hawa maji taka,wanatulia unit bure
kwanini uhukumu kuwa imekaa kimaigizo kabla haujamaliza kuisoma?..na kwanini uwachagulie watu muda wa kuweka thread?. kama wewe ulikuwa umelala. sisi wenzio tuko macho na tunaendelea kuchangia kwa raha zetu.Sijamaliza kusoma post zote ila huu ni mchezo mchafu seriously!!hii thread imekaa kimaigizo zaidi!mlikuwa wapi muda wote kujibu tuhuma mkasubiri usiku watu wakiwa wameshalala ndo mkaja kujibu tena wengi ni lile kundi lililotajwa??nina mashaka na huu utetezi!!
bado mnalaimisha kuwa zitto anahusika na kikundi cha saa nane. bahati mbaya sana nawe umetumia akaunti fake kumshutumu zitto.Tunawajua hadi swaga zenu za vibabu,hawara n.k hadi Zitto anazitumia kwanini tusiamini mlikuwa na kikundi hatari chini ya Zitto?
Movie bado inaendelea...
Naisubiria thread ya Mbowe, Slaa, Josephine...dah!!
JF where we dare to talk openly!!
Any way ila kuna vitu havishikamani.
Kwamba Ben Mapesa mliyefikia kumuita Manji alinunuliwa simu ya kurecord na kiongozi mmoja wa kitaifa kwenye chama, ulijuaje kama alinunuliwa wakati yeye binafsi anauwezo wa kujinunulia.
Unaonaje ukimtaja huyo kiongozi wa kitaifa anayemtumia Zitto.
Na wewe ulikuwa unarecord mazungumzo yenu kwa nini?
mkuu hapa haujajadili kitu. tupunguz kuwaingia wenzetu maungoni.unajua sikatai kumtetea mtu, ni haki yako lakini mtetee kwa hoja mkuu. Uteteaji wako huu ni sawa na ule wa mke kumtetea mume! Unajaza uchafu tu, hivi huyu zitto mbona yeye anajitahidi sana kujenga hoja lakini nyie watetezi wake hamna kitu. Mchange yeye mtiririko wake haueleweki (hata kama alichoandka ni cha kweli), huyo mwanamke ndo usiseme, wewe upoupo tu, yani unanyatianyatia kila post ili uijibu.
Kwa kuongezea tu mkuu...
Angalia Likes za hoja ya Ben na za Hii ya Zitto, Mchange, Sonza na waasi wote kwa pamoja!
Eti mtu kaunda kundi, kawatungia majina na wanaume wazima na suruali viunoni wakayakubali hayo majina,wanapelekwa hotelini wananyweshwa watakavyo.Sijamaliza kusoma post zote ila huu ni mchezo mchafu seriously!!hii thread imekaa kimaigizo zaidi!mlikuwa wapi muda wote kujibu tuhuma mkasubiri usiku watu wakiwa wameshalala ndo mkaja kujibu tena wengi ni lile kundi lililotajwa??nina mashaka na huu utetezi!!
Malinda 27 posts and counting..
Taswira Join date: 19th December 2012
Juliana Shonza Join date: 19th December 2012
Kuna mambo yanakulazimisha ujiulize hata kama ulikuwa mpitaji tu
Malinda 27 posts and counting..
Taswira Join date: 19th December 2012
Juliana Shonza Join date: 19th December 2012
Kuna mambo yanakulazimisha ujiulize hata kama ulikuwa mpitaji tu
Saanane kumbe mchumia tumbo