Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,580
- 18,222
hamna kutoa tuzo,adhabu ibak palepale ili kila mtu ajifunze na awe na adabu!hata Zitto nahc atakua kwene adhabu nzito ndani ya chama aliyopewa kimyakimya ndo maana amebadilika siku hizi!CDM sio genge au kijiwe cha wahuni ambao unafikiri unaweza ukawasaliti kirahisi, it can cost even your last breath trying to do that.
TULIANZA NA MUNGU,TUNAENDELEA NAE NA TUTAMALIZA NAE..LONG LIVE CDM, LONG LIVE TZ.
Ukweli umesema,ukweli umejianika kwa kuwa ukweli haupendi kupuuzwa.Ukweli unahitaji ujasiri,himaya yako kisiasa,kijamiii na kiuchumi itazungukwa na ngome ya maadui wasiopenda ukweli.Nilikua na maana kubwa niliposema kwamba ‘MASALIA/PM-7 wakishughulikiwa,watakaolia na kuomboleza zaidi ni CCM na maadui wa CHADEMA'.Leo hii Limedhihirika.Namshukuru Mungu haya yametimia,na yataendelea kutimia.
CCM wamepokea Oil Chafu.Mwenyekiti wao kwa sababu anapenda Misiba haishangazi kuona amekua mstari wa mbele katika msiba huu wa kisiasa kwa vijana hawa na wafuasi wao.Ni jambo la ajabu kwa Rais wa nchi na Mwenyekiti wa chama tawala kushiriki katika kuwaharibia vijana hawa future yao kisiasa kwa kuwahadaa katika mapozi ya picha.Hawa ndiyo wazee wanaowatumia vijana vibaya kwa maslahi yao binafsi.Juliana Shonza umenisikitisha,mavazi ya kijani na fikra zao hazikufai.Waliwaharibia dada Nakaaya Sumari,Shaibu Akwilombe,Tambwe Hizza na Dr.Walid Kaborou.Sisi tunasonga mbele,Subirini mafuriko ya M4C huko mliko
Mwenyekiti wa CCM ana historia na tuhuma ya Ubaguzi kwamba walimbagua sana Dr.Salim Ahmed Salim katika kinyang'anyiro cha urais mwaka 2015.Kijana Hussein Bashe anabaguliwa na hapewi thamani ndani ya chama chake.Namshangaa kijana mwenzangu (kwa muonekano siyo kifikra) Nape Nnauye kushindwa kuona ubaguzi huu dhidi ya Hussein Bashe
Nawashukuru marafiki wa facebook na twitter kwa sapoti,nawashukuru marafiki wa JF na mitandao yote ya kijamii kwa sapoti katika kipindi hiki kilichokua kimegubikwa na harakati za kunichafua,vitisho,hongo,habari za uongo na jitihada za kutunga stori nyingi kwenye magazeti. WASALITI mliobaki jipangeni vyema.Bado safari ni ndefu na mbichi.Juliana na mwampamba Hamtaweza kuwa kama mwanasiasa Raila Odinga wa Kenya katika game hili la kisiasa la kubadili vyama.labda mfanane na mwanasiasa wa Sierra Leone Joseph Bandabla Dauda, aliyetoka chama cha APC na kuhamia SLPP miaka ya tisini kwa kukichafua na kukitukana but Joseph Bandabla Dauda returned to the APC fold last year(2012), followed this year by heavy weights like Tom Nyuma of Kailahun.Hakuna ajenda ya itikadi hapo.hii ni aibu sana kwa vijana wasomi.Nitawamiss ila nitaulaani usaliti wenu siku zote.Bye bye Jully,I'll miss you!