Ben Saanane anastahili Tuzo CHADEMA

Ben Saanane anastahili Tuzo CHADEMA

Kwa mawazo yenu kuvunja kamati ya POAC kumeongeza usalama wa CCM au wamempa muda wa kwenda vijijini kuizika CCM? @mchambuzixx @
Kwayu @
ipad @
MESTOD @
nziriye @
Von B @
MONSI WENGA @
Albizo @
nuraj Karibuni
masijala @
mnyinda @
Kagalala @
Greenwhich @
ulimbo lunopo @
Mwakiluma @
Henry Zared @
Mzee Mwanakijiji @
Bill @
Jibaba Bonge @
Jeremiah Chuhila @
mtemiwao @
Jaslaws @
Femsor The Activist @
SIERA @
Libaba @
Deshmo

@R
ockSpider kwa mawazo yangu CCM itakuwa salama endapo wale wabunge machachari wa CDM watapewa kazi zitakazochukua muda wao wasijumuike kwenye harakati za kisiasa huko vijijini.
 
Last edited by a moderator:
ni takribani miezi miwili tangu mwanachama wa chadema ben saanane aibuke katika vyombo vya habari hususan mitandao mbalimbali ya kijamii na kile kinachoitwa kundi la masalia ndani ya chadema ambalo lilikuwa linatumiwa na ccm kuhujumu chama na ambalo lilikuwa pia na malengo ya kutukana na kukashifu viongozi wakuu wa chama kupitia mitandao ya kijamii.

kati ya waliotajwa kuasisi na kuunda kundi hilo ni mtela mwampamba aliyegombea ubunge jimbo la mbozi na juliana shonza
aliyekuwa makamu mwenyekiti bavicha.ben alitoa ushahidi mbalimbali ambao kwa kiasi kikubwa ulisaidia bavicha kuwafukuza uanachama mtela mwampamba na juliana shonza.

hata hivyo wako watu wachache waliolaumu na kupinga uamuzi huo na kusema vijana hao wameonewa.hata hivyo leo yametimia baada ya vijana hao kurudi ccm na kuporomosha kila aina ya kashfa kwa chama cha chadema na viongozi wake.

ni ukweli ulio wazi kwamba aliyosema ben saanane leo yametimia pale aliposema vijana hao walikuwa wamepanga kuleta madhara makubwa ndani ya chama na hatimaye kutimkia ccm.kutokana na ushirikiano wa ben saanane hatimaye vijana hawa walifukuzwa kwa hiyo hawakukamilisha mpango waliopanga kuhujumu chama.

kuna wengine walipinga kitendo cha ben saanane kumhusisha zitto kabwe na vijana hawa mapandikizi hata hivyo vyovyote iwavyo zitto kabwe amebadilika sana tokea tuhuma dhidi yake zitolewe na yuko pamoja na chama katika shughuli za kukijenga tofauti na siku za nyuma.ilikuwa ni nadra sana zitto kushiriki maandamano ya chadema kama alivyoungana na viongozi wenzie jumapili ya kumlaani spika wa bunge zitto alishangiliwa sana temeke mwisho jumapili pale alipomkaribisha dr slaa na kusema’’ huyu ni rais wa watu ambaye hakutangazwa mshindi’’ ni wazi mwenendo wa zitto umebadilishwa na ujasiri wa ben saanane.

bila unafiki wala upendeleo chadema wanapaswa kumpongeza ben saanane kwa kazi kubwa aliyofanya kuwatifua mapandikizi ya ccm na kuleta umoja na mshikamano ndani ya chadema.
ni hakika na kweli jambo la muhimu kwa sasa ni viongozi wote kwa umoja wao kuimarisha chama thank god makapi yanaendelea kupeperushwa big up mbowe, slaa, zitto na makamanda wote umoja na mshikamano wenu ndiyo uhai wa chama chetu pendwa.viva cdm.
 
kazi sana, nchi hii kila mtu njaa tupu. Hadi mi naona wenye uchungu na nchi walikwisha tangulia mbele ya haki. Wamebaki wababaishaji tupu. TUJIPANGE SANA.
Mkuu unaona mbali sana.Machumia tumbo yanalaghai tu watanzania kila kukicha.CCM=UNGESE=CHADEMA.GUTTER POLITICS
 
Kwa mawazo yenu kuvunja kamati ya POAC kumeongeza usalama wa CCM au wamempa muda wa kwenda vijijini kuizika CCM? @mchambuzixx @Kwayu @ipad @MESTOD @nziriye @Von B @MONSI WENGA @Albizo @nuraj Karibuni
masijala @mnyinda @Kagalala @Greenwhich @ulimbo lunopo @Mwakiluma @Henry Zared @Mzee Mwanakijiji @Bill @
Jibaba Bonge @Jeremiah Chuhila @mtemiwao @Jaslaws @Femsor The Activist @SIERA @Libaba @Deshmo

@RockSpider kwa mawazo yangu CCM itakuwa salama endapo wale wabunge machachari wa CDM watapewa kazi zitakazochukua muda wao wasijumuike kwenye harakati za kisiasa huko vijijini.
 
Last edited by a moderator:
Yaani Ben Saanane Apewe tuzo kwa kukibomoa chama? In politics always work towards containment, exclusion never succeeded anywhere.
 
Last edited by a moderator:
Mnamuona saa8 ni mwema lakini huyo ni ndumbulakuwili hafahamiki undani wake yeye ni salia pia baada kuona mambo hayendi anavyotaka ndio akaamuwa kutaja hilo kundi la masalia kama yangekwenda vizuri amini mpaka leo bado angelikuwemo. mchawi mara nyingi humjua mchawi mwenzake.
 
mi mawazo yangu ni haya ZITO ni mtu ambae siasa zake zimeshindwa kutabirika na hazieleweki sio CHADEMA tu hata CCM
inavyoonekana inaonekana ZITO aliwatega CCM wamuone kama ni wao washirikiane nae ili a win simpathy kutoka ccm ili KUIVURUGA cdm KUMBE zito halikua lengo lake hilo na ushahidi ni huuu zito hajawai hata siku moja kumsema kikwete na kikwete wakati wa kampeni alitembea majimbo yote tanzani kasoro jimbo la kigoma kaskazini na viongozi wengi wa ccm waliona zito ndo sehemu ya kukimbilia kuivuruga CDM wapo vijana ambao walikua kwenye huo mkumbo bila kujijua...

kilichofata.....baada ya CCM kuona kwamba zito haelekei na wale madogo walivyotoswa bila hata zito kutoa tamko wakastuka na ikumbukwe hata huo uenyekiti wa POAC zito alipewa na kikwete kwa kuamrisha wabunge wake wampigie kura na ndio maana baada ya jaribio lao kushindwa wakaona wamkomoe kwa kufuta kamati yake sababu cheo walimpa wao na wanamuona kama mtu ambae hatabiriki nini hasa anachokitaka kwa maoni yangu hayo ndo yamejificha chini ya kapeti...ila wale madogo imekula kwao ndo mana habibu machange hajui afanyeje mpaka sasa kwenda ccm anashindwa kuomba msamaha chadema anashindwa hata chagulani wa MWANZA nae yupo kwenye mkumbo huo huo ni kama ameshapotea mwenzake matata keshajitambulisha kama yeye ni CCM SASA chagulani hajui afanyeje alitumika bila kujua linalofata kama wenzie kina habibu machange

Wewe ni mchambuzi kweli. Maneno kidogo, maarifa mengi.
 
Kwa mawazo yenu kuvunja kamati ya POAC kumeongeza usalama wa CCM au wamempa muda wa kwenda vijijini kuizika CCM? @mchambuzixx @
Kwayu @
ipad @
MESTOD @
nziriye @
Von B @
MONSI WENGA @
Albizo @
nuraj Karibuni
masijala @
mnyinda @
Kagalala @
Greenwhich @
ulimbo lunopo @
Mwakiluma @
Henry Zared @
Mzee Mwanakijiji @
Bill @
Jibaba Bonge @
Jeremiah Chuhila @
mtemiwao @
Jaslaws @
Femsor The Activist @
SIERA @
Libaba @
Deshmo

@R
ockSpider kwa mawazo yangu CCM itakuwa salama endapo wale wabunge machachari wa CDM watapewa kazi zitakazochukua muda wao wasijumuike kwenye harakati za kisiasa huko vijijini.

Mtu aliyekaribu kukata roho huwa anawaza nini?

Ku invest for future use?

Kurusha miguu?
 
Ataishia kujifungulia thread hivi mnafiki huyu Ben Saanane yupo? Tulishamsahau hebu tuhabarishe tuzo la mnafiki wa kaliba ya Ben Saanane ni nini?

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:
tuombe uhai mimi na wewe na ben tumuombee uhai na afya .maana sipendi kubishana mambo ambayo yako wazi.

Mimi nitakuwa hai maana miaka yangu ya kuishi ni 80,labda Yesu arudi nitakuwa nimekwenda nyumbani kwa Baba"
ndoto zako hazitakaa zitimie,au labda aje huko kushika nafasi ya Manumba"
 
nampa big up sana ben saanane..hizi njama bila ya yeye kuzifichua.,hali ingekuwa mbaya sana..lakini naamini yote yalikuwa ni mipango ya Mungu kuwafichua hawa wasaliti.kwasabubu anakuja kuwakomboa watanzania kutoka kwenye makucha ya wanyonyaji.
 
Kwa mawazo yenu kuvunja kamati ya POAC kumeongeza usalama wa CCM au wamempa muda wa kwenda vijijini kuizika CCM? @mchambuzixx @Kwayu @ipad @MESTOD @nziriye @Von B @MONSI WENGA @Albizo @nuraj Karibuni
masijala @mnyinda @Kagalala @Greenwhich @ulimbo lunopo @Mwakiluma @Henry Zared @Mzee Mwanakijiji @Bill @
Jibaba Bonge @Jeremiah Chuhila @mtemiwao @Jaslaws @Femsor The Activist @SIERA @Libaba @Deshmo

@RockSpider kwa mawazo yangu CCM itakuwa salama endapo wale wabunge machachari wa CDM watapewa kazi zitakazochukua muda wao wasijumuike kwenye harakati za kisiasa huko vijijini.
CCM ndo wamefika uwezo wao wa mwisho kufikiri kwa kujua kua wanamkomoa zito pamoja na maadui zao ndani ya ccm akina lowasa......sasa hili la zito wameingia choo cha kike zito hana cha kupoteza sababu ile kamati ndo ilikua inamfanya mda wote yupo press conference kusulubu mashirika yenye ubadhirifu kwa mdaa huu nina uhakika silaa pekee ya zito ni M4C hana kingine zaidi ya kujiunga na kina kamanda mawazo na wengineo kuimaliza CCM KUPITIA m4c sidhani kama anaweza kuteuliwa na wabunge wa ccm kumshinda cheyo

na mtakubalina na mimi zito ni mmoja wa wanasiasa wenye mvuto mkubwa sana JUKWAANI kuteka hadhira katika kujenga hoja akiamua kujiunga na makamanda kwenye M4C litakua pigo takatifu kwa CCM na watakosa pa kukimbilia
na kwa wanachadema huu ndo mda wa kudill na adui mmoja tu yaani CCM.....makapi yote yanaanza kujichuja yenyewe yaani kuhama kwa hawa pandikizi ndo imeleta picha kwamba hakuna anaeonewa bali ni kweli kuna watu wamepandikizwa kuja kuharibu upinzani ila wameshindwa.......

sasa juliana na wenzako bila pesa uongozi ccm hakuna bora wewe una kingine cha ziada cha kutoa ili upate hata ukuu wa wilaya ila huyo mwingine ataishia kua mpiga debe wa kundi flani kwa madhumuni flani imekula kwenu
 
mi mawazo yangu ni haya ZITO ni mtu ambae siasa zake zimeshindwa kutabirika na hazieleweki sio CHADEMA tu hata CCM
inavyoonekana inaonekana ZITO aliwatega CCM wamuone kama ni wao washirikiane nae ili a win simpathy kutoka ccm ili KUIVURUGA cdm KUMBE zito halikua lengo lake hilo na ushahidi ni huuu zito hajawai hata siku moja kumsema kikwete na kikwete wakati wa kampeni alitembea majimbo yote tanzani kasoro jimbo la kigoma kaskazini na viongozi wengi wa ccm waliona zito ndo sehemu ya kukimbilia kuivuruga CDM wapo vijana ambao walikua kwenye huo mkumbo bila kujijua..

kilichofata.....baada ya CCM kuona kwamba zito haelekei na wale madogo walivyotoswa bila hata zito kutoa tamko wakastuka na ikumbukwe hata huo uenyekiti wa POAC zito alipewa na kikwete kwa kuamrisha wabunge wake wampigie kura na ndio maana baada ya jaribio lao kushindwa wakaona wamkomoe kwa kufuta kamati yake sababu cheo walimpa wao na wanamuona kama mtu ambae hatabiriki nini hasa anachokitaka kwa maoni yangu hayo ndo yamejificha chini ya kapeti...ila wale madogo imekula kwao ndo mana habibu machange hajui afanyeje mpaka sasa kwenda ccm anashindwa kuomba msamaha chadema anashindwa hata chagulani wa MWANZA nae yupo kwenye mkumbo huo huo ni kama ameshapotea mwenzake matata keshajitambulisha kama yeye ni CCM SASA chagulani hajui afanyeje alitumika bila kujua linalofata kama wenzie kina habibu machange

mkuu ulichoandika ni kweli tupu, naona sasa hii itakuwa vita kali kati ya zitto na ccm!
 
Back
Top Bottom