Azizi Mussa
JF-Expert Member
- May 9, 2012
- 9,198
- 7,537
Hebu wataje mapandikizi wote mkuu.I am convinced so as well. CHADEMA ni kama tawi la CCM maana viongozi wake karibu wote wanaonekana mapandikizi.
Hebu wataje mapandikizi wote mkuu.I am convinced so as well. CHADEMA ni kama tawi la CCM maana viongozi wake karibu wote wanaonekana mapandikizi.
Mkuu Manyi umenikumbusha mbali.... The only professor in endocrinology in east and central Africa.....who are you by the way....
Teh teh teh...mie nitam-miss Shonza kwa Interview na tamko reeeeeefu kuwa atagombea uenyekiti wa BAVICHA mwaka huu halafu less than 7 days anakimbilia kupiga picha na DHAIFU. Ni kitu gani ambacho kimemsukuma less than 7 days kuwa chama kinachomfaa ni CCM!! Au katiba ya BAVICHA inaruhusu mwanachama wa chama kingine kuja kugombea uongozi BAVICHA. Naamini atakuwa anaiota BAVICHA........atai-miss kweli ila ajiandae kukumbana ya malipo ya usaliti wake.
Good job Ben.
Sasa hivi Shonza anajitapa atagombea ubunge wa Ubungo kumng'oa Mnyika.
Mkuu mtaaibika sana mwaka huu.Zitto aliwachambua kama karanga Maccm pale Temeke Mwisho.Kisha akatangaza rasmi Dr Slaa alidhulumiwa Urais na ndiye Rais wa wanyonge.
Tafuteni mbinu nyingine.Ben Saanane ni kiboko ya kila mtu wa CCM
Mkuu hebu rejea alichokuwa akiaandika huyu kituko Ben Saanane kuhusu Zitto halafu tueleze ni tuzo gani analostahili? Unajua siku zote shujaa hukumbukwa kwa matendo yake; ila mnafiki husahaulika haraka sana na sikufichi tulishamsahahau mnafiki huyu; anajitututmua kujifungulia thread ili ajipenyeze kwa viongozi wa BAVICHA nilishamwambia awali si rahisi kina kina Heche kumkaribisha nyoka nyumbani; walitaka tu kumtumia kutimiza azma yao dhidi ya Zitto hilo limeshindikana nyote nyie mlikuwa wapiga debe wakubwa Zitto afukuzwe Chadema sasa hamna jinsi iliyobaki ni kuramba matapishi yenu wenyewe; kweli wasio haya mna mji wenu!
Chama
Gongo la mboto DSM
cc Ritz
Huna hoja wewe chakubimbi.Nimekuuliza tena vipi tamko lenu Chadema itakufa ndani ya mwaka mmoja?
Pili Zitto amewavua nguo pale Temeke Mwisho na chuki mliyo nayo kwake ni kubwa ndiyo maana mkavunja kamati yake bungeni.
Zitto aliwamaliza nyie vichakubimbi kwa kuwaambia Dr Slaa ndiye Rais wa mioyo ya watu.
Ni takribani miezi miwili tangu mwanachama wa Chadema Ben Saanane aibuke katika vyombo vya habari hususan mitandao mbalimbali ya kijamii na kile kinachoitwa kundi la Masalia ndani ya Chadema ambalo lilikuwa linatumiwa na CCM kuhujumu chama na ambalo lilikuwa pia na malengo ya kutukana na kukashifu viongozi wakuu wa chama kupitia mitandao ya kijamii.
Kati ya waliotajwa kuasisi na kuunda kundi hilo ni Mtela Mwampamba aliyegombea ubunge jimbo la Mbozi na Juliana Shonza
aliyekuwa Makamu Mwenyekiti BAVICHA.Ben alitoa ushahidi mbalimbali ambao kwa kiasi kikubwa ulisaidia BAVICHA kuwafukuza uanachama Mtela Mwampamba na Juliana Shonza.
Hata hivyo wako watu wachache waliolaumu na kupinga uamuzi huo na kusema vijana hao wameonewa.Hata hivyo leo yametimia baada ya vijana hao kurudi CCM na kuporomosha kila aina ya kashfa kwa chama cha Chadema na viongozi wake.
Ni ukweli ulio wazi kwamba aliyosema Ben Saanane leo yametimia pale aliposema vijana hao walikuwa wamepanga kuleta madhara makubwa ndani ya chama na hatimaye kutimkia CCM.Kutokana na ushirikiano wa Ben Saanane hatimaye vijana hawa walifukuzwa kwa hiyo hawakukamilisha mpango waliopanga kuhujumu chama.
Kuna wengine walipinga kitendo cha Ben Saanane kumhusisha Zitto Kabwe na vijana hawa mapandikizi hata hivyo vyovyote iwavyo Zitto Kabwe amebadilika sana tokea tuhuma dhidi yake zitolewe na yuko pamoja na chama katika shughuli za kukijenga tofauti na siku za nyuma.Ilikuwa ni nadra sana Zitto kushiriki maandamano ya Chadema kama alivyoungana na viongozi wenzie Jumapili ya kumlaani Spika wa bunge Zitto alishangiliwa sana Temeke Mwisho Jumapili pale alipomkaribisha Dr Slaa na kusema huyu ni Rais wa watu ambaye hakutangazwa mshindi Ni wazi mwenendo wa Zitto umebadilishwa na ujasiri wa Ben Saanane.
Bila unafiki wala upendeleo Chadema wanapaswa kumpongeza Ben Saanane kwa kazi kubwa aliyofanya kuwatifua Mapandikizi ya CCM na kuleta umoja na mshikamano ndani ya Chadema.
Wewe utakuwa pimbi wa hali juu Zitto ni kiongozi wa Chadema kumpamba kiongozi mwenzake wa Chadema ni jambo la kawaida; haya maneno kama angeysema Mbatia au Prof. Lipumba yangekuwa na mshiko; hivi utashangaa sana ukisikia Mrisho Ngassa anamsifia Juma Kaseja? Hiyo ni Saccos tu kifo chake kipo tu kinachosubiriwa ni wakati!
Chama
Gongo la mboto DSM
Hapa umedhihirisha uchakubimbi wako.
Umesoma Post ya Nape? Jana alikuwa anamkaribisha Zitto CCM.
Sasa nikuhakikishie Zitto hatoki Chadema na atamnadi Dr Slaa nchi nzima mwaka 2015.Hapo ndipo Punguani na Machakubimbi kama wewe mtakapotafuta shimo la kujifukia kwa Aibu.
Wassira ni shekhe? Nabii Danieli alikuwa shekhe?Wewe unamjua Yehoyakimu mfalma wa yuda? amin amin nakuambia.Haitachukua muda mrefu Ben tutakuwa naye CCM.
Ahhhh! Ahsante! ni sisi wote!Kwenye Chama cha "MAJASUSI na MFALMA"?.
Huyo Mfalma Yehoyakimu hakuna anayemjua isipokuwa wewe. Hebu tupe habari zake.
Mercenaries ni hatari kwa afya ya maendeleo ya Taifa. Poleni "Chama cha Mercenaries".
wewe nawe ni kada wa ccm?Na sisi hatumtaki sasa tatizo ni nini?
Chama
Gongo la mboto DSM
wewe nawe ni kada wa ccm?
wewe nawe ni kada wa ccm?
Ni mlinzi pale Lumumba
ni mapema mnooo....hawaaminiki hawa....