Ben Saanane anastahili Tuzo CHADEMA

Ben Saanane anastahili Tuzo CHADEMA

A good thing is that CHADEMA has handful of Ben Sananes. Well done Ben Sanane
 
Last edited by a moderator:
KM NTAKUWA NIMENDA NJE YA MADA NA KUWAKWAZA NISAMEHENI,
HIVI KUNA UHUSIANO WOWOTE KATI YA UPENDO WA SASA WA ZITO ALIOUONYESHA CHADEMA NA KUVUNJWA KWA KAMATI YA POAC(rejea kampeni za nafasi hiyo)
 
Sasa hivi Shonza anajitapa atagombea ubunge wa Ubungo kumng'oa Mnyika.

Hii inaonyesha kuwa she is after nafasi. Tanzania ya leo we don't need managers but leaders. Hata masaa 2 yalikuwa hayajapita tangu apewe kadi tayari keshatangaza kugombea Ubungo. Tofauti na hapo inawezekana alikuwa na mpango huo tangu zamani huku akijificha CDM. Iti izi veri anifochuneti mtu anapanga kwenda kula bata Canada wakati visa hana bado. Anajuaje kama atapita kwenye kura za maoni? Mie namuombea apite kwenye kura za maoni ndani ya chama chake.
 
Wewe humjui Ben wewe! hata hao wameenda tu CCM kwa shingo upande wakidhani wanakomoa CDM, ukweli Ben ni kimeo na anachokitafuta bado hajakipata, just wait uchaguzi wa CDM ujao. Ben nimekuwa naye namfahamu na huwa namsaidia hata kufikiri future yake, sio kama unavyomfikiria wewe!

Unanifahamu......Sifa nyingine za kutafuta hizi
 
ni takribani miezi miwili tangu mwanachama wa chadema ben saanane aibuke katika vyombo vya habari hususan mitandao mbalimbali ya kijamii na kile kinachoitwa kundi la masalia ndani ya chadema ambalo lilikuwa linatumiwa na ccm kuhujumu chama na ambalo lilikuwa pia na malengo ya kutukana na kukashifu viongozi wakuu wa chama kupitia mitandao ya kijamii.

kati ya waliotajwa kuasisi na kuunda kundi hilo ni mtela mwampamba aliyegombea ubunge jimbo la mbozi na juliana shonza
aliyekuwa makamu mwenyekiti bavicha.ben alitoa ushahidi mbalimbali ambao kwa kiasi kikubwa ulisaidia bavicha kuwafukuza uanachama mtela mwampamba na juliana shonza.


hata hivyo wako watu wachache waliolaumu na kupinga uamuzi huo na kusema vijana hao wameonewa.hata hivyo leo yametimia baada ya vijana hao kurudi ccm na kuporomosha kila aina ya kashfa kwa chama cha chadema na viongozi wake.

ni ukweli ulio wazi kwamba aliyosema ben saanane leo yametimia pale aliposema vijana hao walikuwa wamepanga kuleta madhara makubwa ndani ya chama na hatimaye kutimkia ccm.kutokana na ushirikiano wa ben saanane hatimaye vijana hawa walifukuzwa kwa hiyo hawakukamilisha mpango waliopanga kuhujumu chama.

kuna wengine walipinga kitendo cha ben saanane kumhusisha zitto kabwe na vijana hawa mapandikizi hata hivyo vyovyote iwavyo zitto kabwe amebadilika sana tokea tuhuma dhidi yake zitolewe na yuko pamoja na chama katika shughuli za kukijenga tofauti na siku za nyuma.ilikuwa ni nadra sana zitto kushiriki maandamano ya chadema kama alivyoungana na viongozi wenzie jumapili ya kumlaani spika wa bunge zitto alishangiliwa sana temeke mwisho jumapili pale alipomkaribisha dr slaa na kusema’’ huyu ni rais wa watu ambaye hakutangazwa mshindi’’ ni wazi mwenendo wa zitto umebadilishwa na ujasiri wa ben saanane.

bila unafiki wala upendeleo chadema wanapaswa kumpongeza ben saanane kwa kazi kubwa aliyofanya kuwatifua mapandikizi ya ccm na kuleta umoja na mshikamano ndani ya chadema.

cobra poison weka mbali na zzk
 
Last edited by a moderator:
Unanifahamu......Sifa nyingine za kutafuta hizi

haitaji kuzaliwa ama kusoma na ww shule moja kujua kuwa ww ni mnafiki wa hatari, licha kwamba sikufahamu ila kwa kusoma na kufatilia masakata yako nauhakika wa kutosha kuwa hufai hata kupewa ujumbe wa nyumba kumi.tuzo pekee inayokufaa ni ya unafiki.....tena itakuwa busara kama cdm watamtuma zzk akukabidhi ili uone namna zote za kumchafua zimeshindwa.
 
Baada ya miezi mingi kupita nimeikumbuka hii thread yangu baada ya kijana Nape Nnauye kuhangaika usiku kucha kujibu makombora ya Ben Saanane.

Kinachomtoa povu Nape ni matusi yake mwenyewe kwa wazee walioko kwenye tume ya Katiba kwamba wanasubiri kufa.

Chadema inazidi kutakata kwa kuwa na vijana makini na hodari.
 
Last edited by a moderator:
Nimetokea kumpenda sana huyu Ben saa8,anafaa sana kitengo cha CIA(Chadema Inteligent Unit).ALL THE BEST BEN
 
Kama unamfahamu kweli kwanini unaingia na unataka kumkalisha sakafuni basi usingetumia silaha za msituni aka id fake,hapo tungejua ni mkweli na si tu unatafuta kuipaisha id yako fake kupitia Ben,mwache Ben na juhudi zake afike anapoenda usijitwalie utukufu kwa jasho la wengine.
 
Thats so fun Ben Saanane
Umekumbukia enzi zako za masalia kwa kuingia na ID mingine kujifagilia
Siasa za mitandaoni will never do any good to you dude
 
Last edited by a moderator:
Thats so fun Ben Saanane
Umekumbukia enzi zako za masalia kwa kuingia na ID mingine kujifagilia
Siasa za mitandaoni will never do any good to you dude

Unahangaika sana wewe mnafiki unayepokea buku saba Lumumba.

Unaweza kuthibitisha hapa without doubt kwamba Ben Saanane ndiye Greenwhich ?

Kwa hiyo siasa za mitandaoni ndiyo zitakusaidia wewe mbulula?
 
Last edited by a moderator:
Thats so fun Ben Saanane
Umekumbukia enzi zako za masalia kwa kuingia na ID mingine kujifagilia
Siasa za mitandaoni will never do any good to you dude

Tafadhali naomba tuheshimiane sana. Leta uthibitisho kama natumia ID hii.

Moderators wanaweza kukusaidia.Kama haya ni ya kweli naomba nifungiwe huku JF!
 
Last edited by a moderator:
Unahangaika sana wewe mnafiki unayepokea buku saba Lumumba.

Unaweza kuthibitisha hapa without doubt kwamba Ben Saanane ndiye Greenwhich ?

Kwa hiyo siasa za mitandaoni ndiyo zitakusaidia wewe mbulula?
Kama mimi nalipwa buku saba na wewe unalipwa sh na "Saanane"
Mimi si mwana siasa, mimi ni mbulula fulani tu
 
Ben ni hazina kubwa sana kwa chadema atulie tu kujipanga vizuri mana kuna majamaa yakishaona watu kama hawa utasikia Mh.Rais amesema atakupa ukuu wa wilaya ondoka huko....
 
Ben ni hazina kubwa sana kwa chadema atulie tu kujipanga vizuri mana kuna majamaa yakishaona watu kama hawa utasikia Mh.Rais amesema atakupa ukuu wa wilaya ondoka huko....

Binafsi nadhani Ben ana thamani kubwa kushinda huo ukuu wa wilaya atakaoahidiwa.

Asije akadanganywa na ukuu wa wilaya atapotea na tutamsahau completely!
 
Back
Top Bottom