mi mawazo yangu ni haya ZITO ni mtu ambae siasa zake zimeshindwa kutabirika na hazieleweki sio CHADEMA tu hata CCM
inavyoonekana inaonekana ZITO aliwatega CCM wamuone kama ni wao washirikiane nae ili a win simpathy kutoka ccm ili KUIVURUGA cdm KUMBE zito halikua lengo lake hilo na ushahidi ni huuu zito hajawai hata siku moja kumsema kikwete na kikwete wakati wa kampeni alitembea majimbo yote tanzani kasoro jimbo la kigoma kaskazini na viongozi wengi wa ccm waliona zito ndo sehemu ya kukimbilia kuivuruga CDM wapo vijana ambao walikua kwenye huo mkumbo bila kujijua...
kilichofata.....baada ya CCM kuona kwamba zito haelekei na wale madogo walivyotoswa bila hata zito kutoa tamko wakastuka na ikumbukwe hata huo uenyekiti wa POAC zito alipewa na kikwete kwa kuamrisha wabunge wake wampigie kura na ndio maana baada ya jaribio lao kushindwa wakaona wamkomoe kwa kufuta kamati yake sababu cheo walimpa wao na wanamuona kama mtu ambae hatabiriki nini hasa anachokitaka kwa maoni yangu hayo ndo yamejificha chini ya kapeti...ila wale madogo imekula kwao ndo mana habibu machange hajui afanyeje mpaka sasa kwenda ccm anashindwa kuomba msamaha chadema anashindwa hata chagulani wa MWANZA nae yupo kwenye mkumbo huo huo ni kama ameshapotea mwenzake matata keshajitambulisha kama yeye ni CCM SASA chagulani hajui afanyeje alitumika bila kujua linalofata kama wenzie kina habibu machange
A possible assumption!