asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,039
Msaliti ben saa nane kawa kamanda hahahaaaaaaaa kweli siasa ni mchezo mchafu
Watu ni kulipuana tu siku hizi. Kuja jamaa alipost hapa thread ya kumlipua Ben Saanane lakii naona bahati mbaya mods wameilipua! Kumbe Ben alisoma India? Nilikuwa sijui na huyo jamaa aliyemlipua alisema kwamba kuna kitu kilifanyika wakati Ben akiwa India (Sisemi kwa kuwa naona mods hawakuitaka).
Wale wale ambao wanapiga kelele kwamba Nape amefilisika kisiasa kwa kuongelea watu na wayapuuze yale anayoyaongea, hao hao wanakuja kuanza kuyachagiza katika jukwaa lile lile. kama niya kupuuzwa, kuna maana gani basi kutumia jukwaa kuyarudia tena na tena.
Kwa maana nyingine, Huku ni kucheza muziki unaopigwa na Nape & co-
Siasa bana.
Namkubali sana huyu kamanda wangu my hero Ben Saanane, una uwezo wa kutosha kabisa, msomi na kila sifa za kuwa mpiganaji wetu unazo kamanda, Usisahau 2015 kuvuta form ili ukawabane vilivyo huko mjengoni.
wabongo mnapenda kupoteza muda mkijali unnecessary issues
Wewe kila mkutano wa Nape ndiye unaripoti hapa Jamvini alichokisema halafu unakuja hapa eti kushauri Chadema.Pole sana Gamba.
Juliana Shonza,
Haka kabinti ndiyo kiboko ya Chadema.
Kakitokeza tu Pro-Chadema JF karibia wote mapovu yanawatoka.
Mkuu Wewe kweli umepotea njia. Ushauri kwa CHADEMA unafanyika kwenye mtandao wa JF. toka lini JF ikawa ni ofisi ya CHADEMA. Kuwa na watu wenye mawazo kama yako, Sishangai kuona maswala ya chama ambayo yanatakiwa yajadiliwe kwenye vikao mbadala vya chama huwa yanaletwa hapa.
Bunduki yako ya kisiasa unailengesha kusiko. Uko vitani bila hata kujua ufanye nini na adui yako ni yupi.
Samahani, Rudi kambini ukapate maelezo na uelewa zaidi juu ya Katiba, Kanuni, Maadili na Itifaki za CHADEMA bila kusahau Falsafa na Itikadi zake, kufanya hivyo, kutakufungua na kuwa well equipped political soldiery
Ni ushauri tu.
Kuna watu wanapenda kusafiria nyota za wenzao!!!! Hivi huyu Ben saanane ana ubavu wa kupambana na Nape au kujipromo tu kila wiki humu JF?
Tena anatumia ID kibao kazi kuuza sura! kwani kusoma na Nape ni nongwa au Ulimbukeni tu!
Sasa hapa kamlipua nini!? Ataishia na dua la kuku halimpati mwewe kamwe!!!!
Njaa tu inawasumbua hamna lolote, kazi kushinda JF kujipa promo.
Mimi niishauri CHADEMA kama nani?. Sina uwezo wa kuishauri CHADEMA, washauri wa CHADEMA ni ninyi ambao hata ofisi na taratibu za chama inavyoonekana zinawapita kushoto.Magamba wewe ni wa kupuuzwa tu.Tangu lini magamba ukashauri Chadema jambo jema?
..mkuu huyu jamaa ana phd lakini kwa vuvuzela a k a mwenezi kaamua kuwa mtumwa wa fikra pale lumumba...nakubaliana na wewe njaa ni hatari...Uko zamu leo? Maana kila thread ya Chadema uko busy kuhadili.Njaa mbaya sana!
Mimi niishauri CHADEMA kama nani?. Sina uwezo wa kuishauri CHADEMA, washauri wa CHADEMA ni ninyi ambao hata ofisi na taratibu za chama inavyoonekana zinawapita kushoto.
Mkuu, Kwani viongozi wa CHADEMA wanapoishauri serikali ya CCM kufanya jambo kwa mtazamo wako huu huwa hawaitakii mema!! Ndiyo maana nikakupa ushauri wa kurudi base kupata nondo za kisiasa.
Sikujua kama JF ni ofisi za CHADEMA mpaka ulivyonidokeza ambapo ushauri nasaha hutolewa na kupatikana.
Tukubali kutokubaliana kama falsafa ya demokrasia inavyotuasa.
..mkuu huyu jamaa ana phd lakini kwa vuvuzela a k a mwenezi kaamua kuwa mtumwa wa fikra pale lumumba...nakubaliana na wewe njaa ni hatari...