Ben Pol aomba Talaka Mahakamani dhidi ya Mke wake Anerlisa

Unaweza kukuta bi dada ni shemale dume jike kijana wetu ben yamemshinda😁
 
Mi nilushawakia kitambo sana. Nilikuwa na demu Shule ya msingi Mnazi Moja Dar es Salaam hapohapo. Tukaamua you twende together St. Anthony's Mbagala. Kilichofanyika huwezi amini. Nimebwagwa mazima kwasababu kakutana jamaa yuko High level halafu anapiga basketball kama Michael Jordan. Kilichorndelea mimi niliamua kujificha kwenye vitabu kwa miaka minne. To make the story short, since that time, the only woman I trust is my mother. I never get married, and not going to marry anybody. I'm doing it big and those who put me on a shame Lane while I was a little boy, I thank them so much, because without them I could not make this big
 
Pole sana.
 
theminutestv-post-2021_02_24_15_25.jpg
 
Hii ndoa wengi walijua haitadumu. Ben alimtosa mwanamke aliyemvumilia kwenye shida na kumtelekeza na mtoto huyo kakimbilia kenya kisa pesa.Anerlisa aliwahisha ndoa ndani ya wiki moja baada ya kumzika mdogo wake si angejaribu kusubiria hata 40 ipitepo
 
Kwani ndoa yao ina miaka miwili?, sasa itavunjwajee kama requirement ni iwe na miaka miwili au zaidi? Labda ifanyike separation tu ila divorce hapo siioni sana
 
Anaandika Millard Ayo
"Mwimbaji Staa wa Bongofleva Ben Pol amefungua shauri la talaka Mahakamani dhidi ya Mke wake Anerlisa ambae ni Raia wa Kenya ambapo kwa mujibu wa taarifa kutoka chanzo cha kuaminika kilichoongea na millardayo.com shauri hilo limefunguliwa na Benard Paul Mnyang’anga katika Mahakama moja ya Mwanzo Jijini Dar es salaam, hata hivyo bado haijafahamika sababu za Mwimbaji huyu kuamua kuivunja ndoa hiyo.

Ben Pol na Anerlisa walifunga ndoa mwishoni mwa mwezi May mwaka 2020 katika Kanisa Katoliki la St. Gaspar Mbezi Beach, Dar es salaam na kuhudhuriwa na Watu wachache kutoka upande wa familia zote mbili pamoja na Marafiki wachache wa karibu wa familia."

Ni nini kimemkumba mwamba , au anataka mabillion ya Anerlisa , au kachapiwa ?? Ikumbukwe penzi hili ni kama lilimtoa mwamba kwenye ramani ya mziki....

"Usifanye makosa kumwacha mwanamke aliyekamilika sababu ya mwanamke mzuri " by Billnas
Ben paul ni shoga
 
Mkuu hawa wasanii ukianza fuatilia ishu zao unaweza dhani ni aliens walioshushwa toka sayari za mbali...

Jamaa alifunga ndoa kanisani, fews months later akatosana na mkewe, then akabadili dini na jina, then akapatana na mkewe na sasa mambo ya talaka...Haya yote yametokea maybe in a year or less
Noma na nusu.
 
Back
Top Bottom