Nashukuru Mimi ni mwanaume wa shoka,siyo kwamba najisifia ila imetangazwa humu kwamba Mimi siyo kama Deo kisandu wala Ben Kinyaiya.Napiga shoo za kibabe.
Kwa hiyo Wewe Mbabe Kama Konki konki sio?
Nashukuru Mimi ni mwanaume wa shoka,siyo kwamba najisifia ila imetangazwa humu kwamba Mimi siyo kama Deo kisandu wala Ben Kinyaiya.Napiga shoo za kibabe.
Ukipita hapa bibie ujaze hizo dot pengine tumekuelewaHuyu ni mme, ni baba..... Hongera zake
Aisee itakua anakula wenzie
Nadhani unamfahamu hana mambo yaloyion wala wanja......mwanamke mgumuuuuWaanze kugombania lotion na wanja na mke. Wanaume tumebaki wachache sana