kaka Naomba nikuambie kuna habari moja niliona inasikitisha sana. For the sake of your Christian health achia hapo hapo.Nimesoma moja gazeti la Mwananchi la leo kuna habari kuhusu Ben Hinn kuachana na mkewe!
Wanasema, walikuwa wamekwisha achana tokea 26th January 2010, ila mkewe anataka waachane kisheria.
Hawajesema chanzo cha ugomvi zaidi ya kudai kutokuelewana kwa muda mrefu, na tofauti zao kushindwa kuwa resolved!
Dini ya kikristo hairuhusu talaka ya aina hii.
Naanza kupata wasiwasi na utumishi ma huyu ndugu!
Soma biblia, msome Ayoub wakati alipopata majaribu bila imani yake mkewe angemwangusha!Nimesoma moja gazeti la Mwananchi la leo kuna habari kuhusu Ben Hinn kuachana na mkewe!
Wanasema, walikuwa wamekwisha achana tokea 26th January 2010, ila mkewe anataka waachane kisheria.
Hawajesema chanzo cha ugomvi zaidi ya kudai kutokuelewana kwa muda mrefu, na tofauti zao kushindwa kuwa resolved!
Dini ya kikristo hairuhusu talaka ya aina hii.
Naanza kupata wasiwasi na utumishi ma huyu ndugu!
nimesoma moja gazeti la mwananchi la leo kuna habari kuhusu ben hinn kuachana na mkewe!
wanasema, walikuwa wamekwisha achana tokea 26th january 2010, ila mkewe anataka waachane kisheria.
hawajesema chanzo cha ugomvi zaidi ya kudai kutokuelewana kwa muda mrefu, na tofauti zao kushindwa kuwa resolved!
dini ya kikristo hairuhusu talaka ya aina hii.
naanza kupata wasiwasi na utumishi ma huyu ndugu!
who r zis pple?
Ben Hinn ni mchungaji maarufu sana duniani wa kilokole!
Kwa hapa kwetu tunaweza kumfananisha na Kakobe coz na yeye huombea watu dizaini za Kakobe!
But he is very famous!
i guess you are NOT christianwho r zis pple?