Ben Hinn kuachana na mkewe


Mahesabu

Mahesabu

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2008
Messages
5,232
Likes
797
Points
280
Mahesabu

Mahesabu

JF-Expert Member
Joined Jan 27, 2008
5,232 797 280
Uzuri wa YESU wetu wazidi hata uzuri wa vito vya thamani.......YESU ATABAKI KUWA YESU....na KAKOBE,PENGO,KILAINI,MABOYA,KULOLA,GWAJIMA,SWAGAT......na wengineo watabaki kuwa wao wenyewe......kioo chetu ni YESU.....YESU angerudi nyuma tungalibaki katika dhambi zetu na tumaini letu lingekuwa bure....! Lakini mwingine yeyote afanyapo jema AJENGA UFALME,atelezapo TWAMWOMBEA....AJARIBIWAPO NAYE ASIFANYE DHAMBI.....!TUMAINI LETU LI HAI......NALO NI ........YESUUUUU....!
 

Forum statistics

Threads 1,263,986
Members 486,156
Posts 30,169,435