Ben Hinn kuachana na mkewe

Kabengwe

JF-Expert Member
Oct 20, 2009
240
47
Nimesoma gazeti la Mwananchi la leo kuna habari kuhusu Ben Hinn kuachana na mkewe!
Wanasema, walikuwa wamekwisha achana tokea 26th January 2010, ila mkewe anataka waachane kisheria.

Hawajesema chanzo cha ugomvi zaidi ya kudai kutokuelewana kwa muda mrefu, na tofauti zao kushindwa kuwa resolved!

Dini ya kikristo hairuhusu talaka ya aina hii.

Naanza kupata wasiwasi na utumishi wa huyu ndugu!
 
Nimesoma moja gazeti la Mwananchi la leo kuna habari kuhusu Ben Hinn kuachana na mkewe!
Wanasema, walikuwa wamekwisha achana tokea 26th January 2010, ila mkewe anataka waachane kisheria.

Hawajesema chanzo cha ugomvi zaidi ya kudai kutokuelewana kwa muda mrefu, na tofauti zao kushindwa kuwa resolved!

Dini ya kikristo hairuhusu talaka ya aina hii.

Naanza kupata wasiwasi na utumishi ma huyu ndugu!
kaka Naomba nikuambie kuna habari moja niliona inasikitisha sana. For the sake of your Christian health achia hapo hapo.
 
Ben ni mtumishi wa Mungu hawezi kuachana na mkewe na wamekuwa watumishi wa mda mrefu wote wawili kwa jaribu kama hilo haliwezi kuwashinda ni magazeti tu na kupakana matope basi
 
Nimesoma moja gazeti la Mwananchi la leo kuna habari kuhusu Ben Hinn kuachana na mkewe!
Wanasema, walikuwa wamekwisha achana tokea 26th January 2010, ila mkewe anataka waachane kisheria.

Hawajesema chanzo cha ugomvi zaidi ya kudai kutokuelewana kwa muda mrefu, na tofauti zao kushindwa kuwa resolved!

Dini ya kikristo hairuhusu talaka ya aina hii.

Naanza kupata wasiwasi na utumishi ma huyu ndugu!
Soma biblia, msome Ayoub wakati alipopata majaribu bila imani yake mkewe angemwangusha!
 
nimesoma moja gazeti la mwananchi la leo kuna habari kuhusu ben hinn kuachana na mkewe!
wanasema, walikuwa wamekwisha achana tokea 26th january 2010, ila mkewe anataka waachane kisheria.

hawajesema chanzo cha ugomvi zaidi ya kudai kutokuelewana kwa muda mrefu, na tofauti zao kushindwa kuwa resolved!

dini ya kikristo hairuhusu talaka ya aina hii.

naanza kupata wasiwasi na utumishi ma huyu ndugu!

magazeti ya tanzania yanauongo hata kununua huwa sinunui huwa habari zao hazina ukweli na ushahidi wowote wenye nguvu mbali ya kuandika uzushi usio na maana
 
Kwa mujibu wa gazeti la Mwananchi, wamekuwa kwenye ndoa kwa kipindi cha karibu miaka 30 au zaidi, na wana watoto 4, mmoja wa kiume na watatu wakike.
Mkewe ndo anataka kwenda mahakamani kufungua kesi ya kudai talaka.
Na kwasasa hawaishi pamoja
 
who r zis pple?

Ben Hinn ni mchungaji maarufu sana duniani wa kilokole!
Kwa hapa kwetu tunaweza kumfananisha na Kakobe coz na yeye huombea watu dizaini za Kakobe!

But he is very famous!
 
Imeandikwa hivi, dalili za siku za mwisho wa ulimwengu familia zitakosana, mtu na mkewe, watoto na wazazi wao, ndugu kwa ndugu, magonjwa yasiyotibika, manabii wa uongo, n.k. Je kwa jinsi mambo yalivyo kwa sasa bado hatujaamini tu, au tu kama Thomas mpaka tuone yatokee?? Imagine kule Arusha ndugu anamlawiti nduguye na kumuua!!! Toba rabi!!
 
lets stop speculate issues, its tru his wife has file a divorce paper due but the exactly reason is unknown, but i am sure there is clear explanation to follow after this be it religious or humanly!
 
Kwani hana yeye na mkewe hawana damu? au na wao walizaliwa kwa uwezo wa roho mtakatifu?

Yesu mwenyewe alishinda vishawishi kwasababu hakuwa binadamu sasa mnawashagaa hawa binadamu.

sasa si bora aachane na mkewe. Je akisema amekuwa shoga kwa miaka mingi.
 
America wana mambo ya tofauti sana na pia hii habari kama ni kweli maana ni shetani kabisa kama wao wamefunga ndoa toka mwaka 1979 hivyo ni shetani hivyo kuna umuhimu sana wa kufanya maombi na pia kama watalakiana basi inapaswa kugawana mali zote hivyo ni kazi kbwa sna katika utumishi wa Mungu, Tupo pamoja mtumishi wa Mungu
 
Jamani hii habari kuhusu kutalikiana kwa Ben Hinn na mkewe iliwekwa hapa na pia Ben Hinn alitoa taarifa kwa waumini wake kuhusu hilo na kuahidi kwamba ataendelea kumtumikia mungu kwa kiwango kile kile wala hili la kuachana na mkewe halitaweza kumtenganisha na mungu wake. Naamini hii yote ni vita ya ibilisi lakini mungu atampigania mtumishi wake kama alivyowapigania wana wa israel ( Kutoka 14:14).
 
Mbona yule aliyeko Arusha -Kisongo naye alitaliki kaoa secretary wake!!!!!!
 
.......Huyu shetani anawanyemelea watumishi wa Mungu, mkewe hadi sasa wala hajasema sababu nini haswa ya kumuacha mumewe.
Watumishi wa Mungu huko ughaibuni wengi wao wamedivorce.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom