Ben Hinn kuachana na mkewe

K

Kinnega

Member
Joined
Apr 8, 2009
Messages
52
Likes
1
Points
0
K

Kinnega

Member
Joined Apr 8, 2009
52 1 0
Huhitaji kuwajua kiundani kaka, ni Kakobe mmoja wa Kimarekani na mkewe wamechafua hali ya hewa Wakristo wake wanalia. Hamna cha zaidi, lakini ndo hivyo tena, Waafrika hatupitwi na ya Amerika, yote yanatuhusu!

Ushasikia Wamarekani wanajadili timbwili lolote la Kakobe wa Mwenge kwenye ma blog yao huko?
 
K

Kabengwe

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2009
Messages
242
Likes
8
Points
35
K

Kabengwe

JF-Expert Member
Joined Oct 20, 2009
242 8 35
kaka Naomba nikuambie kuna habari moja niliona inasikitisha sana. For the sake of your Christian health achia hapo hapo.
Ni habari gani hyo?!
 
LINC

LINC

Member
Joined
May 26, 2009
Messages
38
Likes
0
Points
13
LINC

LINC

Member
Joined May 26, 2009
38 0 13
Nimesoma gazeti la Mwananchi la leo kuna habari kuhusu Ben Hinn kuachana na mkewe!
Wanasema, walikuwa wamekwisha achana tokea 26th January 2010, ila mkewe anataka waachane kisheria.

Hawajesema chanzo cha ugomvi zaidi ya kudai kutokuelewana kwa muda mrefu, na tofauti zao kushindwa kuwa resolved!

Dini ya kikristo hairuhusu talaka ya aina hii.

Naanza kupata wasiwasi na utumishi wa huyu ndugu!
Well I believe that Benny Hinn is a true man of God.This is nothing but the devil’s doing to destroy marriages that God has put together.I pray in Jesus name that things will work out in their marriage;and to every evil tongue that rises against Benny and any other servants of God may it be condemned.I’ll be praying for you my brother in Christ,may God be with you always.Amen
 
Kaizer

Kaizer

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2008
Messages
25,156
Likes
2,345
Points
280
Kaizer

Kaizer

JF-Expert Member
Joined Sep 16, 2008
25,156 2,345 280
i guess you are NOT christian
mh! Pape bana....kwani Christians wote wanamfahamu huyu Ben? Mi mwenyewe simjui......sishangai kama earl hamjui lakini haimfanyi asiwe mkristo au sio? tuambie ni nani? kanisa lake ni lipi..?
 
Original Pastor

Original Pastor

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2007
Messages
1,256
Likes
12
Points
135
Original Pastor

Original Pastor

JF-Expert Member
Joined Nov 14, 2007
1,256 12 135
mwisho wa Duni ni mwaka wa Kiislam kwani mpaka sasa mwaka wa Kiislam sijui ipo kwenye 15's bado karne tano dunia kwishneee
 
Masikini_Jeuri

Masikini_Jeuri

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2010
Messages
6,803
Likes
380
Points
180
Masikini_Jeuri

Masikini_Jeuri

JF-Expert Member
Joined Jan 19, 2010
6,803 380 180
almaarufu kama Televangelist! tih tih! Umefika wakati wa makristo wa uongo kuanikwa!
 
D

damn

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2010
Messages
584
Likes
4
Points
35
D

damn

JF-Expert Member
Joined Feb 22, 2010
584 4 35
Well I believe that Benny Hinn is a true man of God.This is nothing but the devil’s doing to destroy marriages that God has put together.I pray in Jesus name that things will work out in their marriage;and to every evil tongue that rises against Benny and any other servants of God may it be condemned.I’ll be praying for you my brother in Christ,may God be with you always.Amen
Sema I believe, because a lot of pipo in US hata Bongo wanaitilia mashaka huduma yake. He was in Fiji recently kwa huduma but it was contraversials sana. ni kama ambavyo wakristo wengi hapa tz wanahoji sana ngurumo ya upako yule wa arusha.

Things to work out in their marriege labda mkewe awithdrawal divorce application mahakamani.
Remember hata Paula White divorced her husband?
 
K

Kabengwe

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2009
Messages
242
Likes
8
Points
35
K

Kabengwe

JF-Expert Member
Joined Oct 20, 2009
242 8 35
Leo tena Mwananchi wameandika habari yake!
Wanasema Benn Hinn hatakubali kuona ndoa yake inavunjika, na kwa maelezo yake wakati anahojiwa na TBN nadhani(Aint sure of the TV station) amesema watoto na wazazi wa mke wake wamepokea kwa mshtuko sana hiyo taarifa na wanashangaa kwann mke wake ameamua kufile hiyo kesi (Orange County)

Kwasasa hawaishi pamoja!
 
carmel

carmel

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2009
Messages
2,840
Likes
14
Points
135
carmel

carmel

JF-Expert Member
Joined Aug 24, 2009
2,840 14 135
Isimilo

Isimilo

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2007
Messages
219
Likes
1
Points
0
Isimilo

Isimilo

JF-Expert Member
Joined Aug 16, 2007
219 1 0
[ame]http://en.wikipedia.org/wiki/Benny_Hinn[/ame]
[ame="http://www.youtube.com/watch?v=x-qhTeJUAXg"]www.youtube.com/watch?v=x-qhTeJUAXg[/ame]
 
Abunwasi

Abunwasi

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2009
Messages
4,213
Likes
1,946
Points
280
Abunwasi

Abunwasi

JF-Expert Member
Joined Jun 25, 2009
4,213 1,946 280
"What about irreconcileable differences whose only option is to make the best of the bad situation???????"
 
Drifter

Drifter

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2010
Messages
2,092
Likes
809
Points
280
Drifter

Drifter

JF-Expert Member
Joined Jan 4, 2010
2,092 809 280
Msingi mkuu wa imani yetu ya Kikristo ni katika Yesu Kristo kama Bwana na Mwokozi wetu; kama njia pekee ya uzima kuufikia ufalme wa milele. Viongozi wetu wa kiroho ni binadamu wenzetu waliojaliwa karama mbalimbali na Mwenyenzi Mungu ili watusaidie katika safari hiyo. Hata kama tunabarikiwa sana na huduma za viongozi wa kiroho, itakuwa kosa kubwa kama nguvu ya Ukristo wetu itajikita katika binadamu wenzetu badala ya Kristo pekee kwani nao (viongozi) wanahitaji kuitafuta ile Nuru katika maisha yao siku zote. Hata Mitume pamoja na kazi ngumu sana walizofanya ikiwa ni pamoja na kujitoa mhanga hawakuwahi kuchukua nafasi ya Kristo.

Ninachokiona nyakati hizi ni kuwa viongozi wa kiroho wamekuwa na umaarufu mkubwa ambao wakati mwingine hufunika jina Kuu la Kristo kiasi kwamba uono wa wakristo huishia kwao. Wakipata matatizo basi utasikia maelfu wakitetereka katika imani. Wakipotoka na kwenda nje ya Maandiko ndio taabu kabisa maana wengi watawafuata hukohuko bila wenyewe kutafuta kweli imesimamia wapi.

Kwa hili la Benny Hinn na wahubiri wengine wanaopatwa na matatizo, turudi kwenye Biblia ili kuimarisha u-Kristo wetu, tuweze hata kuwasaidia (kuwaombea) wote wenye matatizo (ikiwa ni pamoja na sisi wenyewe) tusijejikuta tukiingia kwenye ushabiki usiokuwa na tija kiroho.
 
JM Aristotle

JM Aristotle

Senior Member
Joined
Mar 9, 2010
Messages
163
Likes
1
Points
0
JM Aristotle

JM Aristotle

Senior Member
Joined Mar 9, 2010
163 1 0
Nimesoma gazeti la Mwananchi la leo kuna habari kuhusu Ben Hinn kuachana na mkewe!
Wanasema, walikuwa wamekwisha achana tokea 26th January 2010, ila mkewe anataka waachane kisheria.

Hawajesema chanzo cha ugomvi zaidi ya kudai kutokuelewana kwa muda mrefu, na tofauti zao kushindwa kuwa resolved!

Dini ya kikristo hairuhusu talaka ya aina hii.

Naanza kupata wasiwasi na utumishi wa huyu ndugu!
Yeah man! it's so sad!
Kwa upande wangu, nakushauri usim-doubt Benny bure, coz bado hatujapata the reason for the divorce.
Ingawa pia nahisi kwamba, hiyo divorce inatokana na Benny Hinn kutokuwa nyumbani, akizunguka sehemu mbalimbali akihubiri. So, we should not start jumping into conclusions. Au siyo?
A person who studies others becomes wise, but he who studies he who studies himself becomes enlightened!
 
K

KIJASHO

Member
Joined
Mar 10, 2010
Messages
17
Likes
0
Points
0
K

KIJASHO

Member
Joined Mar 10, 2010
17 0 0
Nimesoma gazeti la Mwananchi la leo kuna habari kuhusu Ben Hinn kuachana na mkewe!
Wanasema, walikuwa wamekwisha achana tokea 26th January 2010, ila mkewe anataka waachane kisheria.

Hawajesema chanzo cha ugomvi zaidi ya kudai kutokuelewana kwa muda mrefu, na tofauti zao kushindwa kuwa resolved!

Dini ya kikristo hairuhusu talaka ya aina hii.

Naanza kupata wasiwasi na utumishi wa huyu ndugu!
Hiyo habari ya benn Hinn kuachana na mkewe mimi niliisoma february mwaka huu kwenye gazeti moja la Uganda maarufu kwa kuandika habari za mastaa red pepper. Gazeti liliandika kuwa mkewe bann hinn anaomba talaka kwa sababu wakati mtumishi wa mungu yuko Uganda alifanya mapenzi na pastor wa kiume, haya sio mawazo yangu nimeyatoa kwenye gazeti hili. waweza tembelea http://watchmanafrica.blogspot.com kwa maelezo zaidi
 
JM Aristotle

JM Aristotle

Senior Member
Joined
Mar 9, 2010
Messages
163
Likes
1
Points
0
JM Aristotle

JM Aristotle

Senior Member
Joined Mar 9, 2010
163 1 0
Hiyo habari ya benn Hinn kuachana na mkewe mimi niliisoma february mwaka huu kwenye gazeti moja la Uganda maarufu kwa kuandika habari za mastaa red pepper. Gazeti liliandika kuwa mkewe bann hinn anaomba talaka kwa sababu wakati mtumishi wa mungu yuko Uganda alifanya mapenzi na pastor wa kiume, haya sio mawazo yangu nimeyatoa kwenye gazeti hili. waweza tembelea http://watchmanafrica.blogspot.com kwa maelezo zaidi
Yeah! sijakataa, lakini hatuwezi kuamini mtandao, kwani; mtu yeyote anaweza kuandika uongo na uzushi wake na kuu-post kwenye mtandao. Na kwa vile, mtu aliyemwandika ni maarufu; basi hayo maneno yatasambaa kweli.
Mimi bwana nashauri tusirukie conclusions tusije tukajibebea laana za bure tu.
Na hata kama ni kweli kwamba Benny Hinn ni mwenye makosa; kama ni mpakwa mafuta wa Bwana, haturuhusiwi kumsema vibaya. Kumbuka ile incidence kwenye Biblia ambapo, Musa alioa mwanamke nje ya Israeli, na kweli ilikuwa ni kosa, lakini Aruni na Miriamu walipomsema, walipigwa ukoma na Mungu, kwasababu ya kumsema mtumishi wake (Hesabu 12:1-16).
So, tuwe waangalifu guys; tutajibebea laana za bure!!!!
 
M

Mokoyo

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2010
Messages
15,208
Likes
2,353
Points
280
M

Mokoyo

JF-Expert Member
Joined Mar 2, 2010
15,208 2,353 280
Msingi mkuu wa imani yetu ya Kikristo ni katika Yesu Kristo kama Bwana na Mwokozi wetu; kama njia pekee ya uzima kuufikia ufalme wa milele. Viongozi wetu wa kiroho ni binadamu wenzetu waliojaliwa karama mbalimbali na Mwenyenzi Mungu ili watusaidie katika safari hiyo. Hata kama tunabarikiwa sana na huduma za viongozi wa kiroho, itakuwa kosa kubwa kama nguvu ya Ukristo wetu itajikita katika binadamu wenzetu badala ya Kristo pekee kwani nao (viongozi) wanahitaji kuitafuta ile Nuru katika maisha yao siku zote. Hata Mitume pamoja na kazi ngumu sana walizofanya ikiwa ni pamoja na kujitoa mhanga hawakuwahi kuchukua nafasi ya Kristo.

Ninachokiona nyakati hizi ni kuwa viongozi wa kiroho wamekuwa na umaarufu mkubwa ambao wakati mwingine hufunika jina Kuu la Kristo kiasi kwamba uono wa wakristo huishia kwao. Wakipata matatizo basi utasikia maelfu wakitetereka katika imani. Wakipotoka na kwenda nje ya Maandiko ndio taabu kabisa maana wengi watawafuata hukohuko bila wenyewe kutafuta kweli imesimamia wapi.

Kwa hili la Benny Hinn na wahubiri wengine wanaopatwa na matatizo, turudi kwenye Biblia ili kuimarisha u-Kristo wetu, tuweze hata kuwasaidia (kuwaombea) wote wenye matatizo (ikiwa ni pamoja na sisi wenyewe) tusijejikuta tukiingia kwenye ushabiki usiokuwa na tija kiroho.
Ni mchango mzuri sana huu. Asante
 
FirstLady1

FirstLady1

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2009
Messages
16,786
Likes
865
Points
280
FirstLady1

FirstLady1

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2009
16,786 865 280
Inawezekana ni dhambi ya uzinzi ndio inawatenganisha hawa ingawa hawakutaka kuweka wazi tu..
Inaeleweka ndoa ya kikristo inavunjwa pale tu unapomfumania mwenzio ..iweje mpeane talaka hivi hivi?
 
Forum statistics

Threads 1,272,333
Members 489,924
Posts 30,447,852