Believe it or not men are every where!

heheheeh we are verry important to men dats why they are inside our names heheheh men cant be alone anywhere hahahahah i like dis joke,,,
 
mijidume leo mmepatikana, mmeifyata yenu mikia, na nyanya zimekuwa ndogo kama njegere
 
mmmmhhh
haya bwana ..
lakini ukifikiria ina a practical way duuuhh
is disgusting.....

lakini kama ni utani ni mzuri sana ...
na labda imekosea idara..
 
HATA MBUGANI,WANYAMA WAJINGA,WASAHAULIFU NA WASIOKUWA NA UMUHIMU,HUZALIWA KWA WINGI SAAANA(MFANO:NYUMBU).HATA KWA UPANDE WA JINSIA KWA WANADAMU NI HIVYO HIVYO,JINSIA ZISIZOKUWA MUHIMU,WASAHAULIFU KUPINDUKIA HUZALIWA KWA WINGI KWELI(mimi sijui ni jinsia gani hiyo ambayo=nyumbu)
 
ngoja nikatafute bakora!!
 
unatafuta vita ee
 
Back
Top Bottom