Being a wife material sucks

Being a wife material sucks

Nakubaliana na mawazo yako. Ila kuna wanawake hawajitambui kabisa, unampa kila kitu (mahitaji) lakini bado atakuzingua. Rafiki yangu kaoa na ana watoto 2, kapata nafasi ya kwenda kusoma, huwezi amini ndani ya mwaka 1 tu karudi mkewe ana MIMBA! ya miezi 7, yaani mimba kabisa!, nyumba nzuri kamjengea, gari kamnunulia, na kila aina ya anachohitaji anapewa, yaani ni adhabu aisee, baadhi ya wanawake taabu tu

Duh aiseeee!! halafu wa hivyo akiachwa napo analia ooh nisamehe nilipitiwa na shetani, khaaa!! shetani tunamsingizia kwa mengi
atoto, brenda18, housegirl
 
Last edited by a moderator:

Mkuu ,yaani jamaa kwa jinsi anampenda ,kumthamini na kumheshimu mkewe kabaki dilema, anatokwa machoz tu muda wooote ,unajua inauma sana mkuu, kakata tamaa kabisa ya maisha ya ndoa, anakuambia hajamuuliza chochote kile hadi sasa kiasi kwamba mkewe analia tu kila siku nisamehe mume wangu nisamehe shetani kanipitia. Jamaa ananambia yaani kaona kugegedwa nje tu haitoshi kaamua kupigwa mimba kabisa!?, machozi tu yanamtoka mkuu acha kabisa, usiombe hii ikutokee
 
Last edited by a moderator:
A lady 27 yrs of age,beautiful,God fearing,educated,employed,n classy,but still single with no hope of getting her Mr right..Deep down inside my heart i see myself a wife material n i envy any man who will be with me..Nia sio kujipa promo wala kujitafutia janaume ila ni kuonyesha tu jinsi gan mtu unaeza kuwa the best lkn ukaambulia patupu.Inavoonekana wanawake wengi micharuko n exactly the opposite of wife material wamekuwa wakibahatika kuwa na life la Maana.Unakuta demu mcharuko,gold digger hana mapenzi ya dhati ila mwisho wa.siku.anakuwa na mwanaume kila mtu anajiuliza how comes kaolewa..ila ss hawa wengne wife materials ni full kustruggle living on their own means, having a moderate life ila mwisho wa siku wengi wao nasema wengi wao sio wote huishia kwenye ndoa zisizo bora sana na maisha yao huishia kuwa magumu tu. I have seen this happening to husband materials too..My conclution naona bora tu mtu uwe mcharuko ishi maisha yako achana na kujitaidi kuwa ms or mr perfect ili lolote litakalotokea mtu usiwe na chochote cha kuregreat, na hata ukipata ndoa bora alhamdullilah usipopata kukawa na vurugu mechi pia inshallah tuendelee kukomeshana huko ndoani maisha yaendelee..kweli wife material sucks!!!kuna mwenye wazo la tofauti???
Hapo kwenye red ndipo kuna mchawi wako! wengi wanakua na dharau na kujikweza na kuishi maisha kama ya akina oprah, beyonce, rihanna and the alike!!! my sista kama na wewe uko hivyo geuka mapema, you still have time!!
 
Nakubaliana na mawazo yako. Ila kuna wanawake hawajitambui kabisa, unampa kila kitu (mahitaji) lakini bado atakuzingua. Rafiki yangu kaoa na ana watoto 2, kapata nafasi ya kwenda kusoma, huwezi amini ndani ya mwaka 1 tu karudi mkewe ana MIMBA! ya miezi 7, yaani mimba kabisa!, nyumba nzuri kamjengea, gari kamnunulia, na kila aina ya anachohitaji anapewa, yaani ni adhabu aisee, baadhi ya wanawake taabu tu

Huyo sasa ndio wale ninaowaona Mimi walitaka tuu to put on a white dress without knowing the meaning of it , nonsense .. Hakuna cha kusingizia shetani hapo .. If MTU unajua mke or mume WA MTU umefunga ndoa Church or mosque why she entertained things that are adversaries of the devil .. Huyo alikuwa a wife of material things and not a really a wife material .. Jamani some men and women have to know ukishakuwa mume or mke WA MTU everything has to change jamani.. Everything has to be about God, your husband or wife and family full stop. Huyo she definetly hajitambui na divorce amedesserve it .. Because once you are becoming a cheater you will be always a cheater , unless Jesus has to save your Soul.. .Thanks..
 
Mkuu ,yaani jamaa kwa jinsi anampenda ,kumthamini na kumheshimu mkewe kabaki dilema, anatokwa machoz tu muda wooote ,unajua inauma sana mkuu, kakata tamaa kabisa ya maisha ya ndoa, anakuambia hajamuuliza chochote kile hadi sasa kiasi kwamba mkewe analia tu kila siku nisamehe mume wangu nisamehe shetani kanipitia. Jamaa ananambia yaani kaona kugegedwa nje tu haitoshi kaamua kupigwa mimba kabisa!?, machozi tu yanamtoka mkuu acha kabisa, usiombe hii ikutokee

Jamani MPE Pole.. Inauma sana.. Some people are so cruel.. Tell him to forgive na ajipe muda WA kuwa mwenyewe and God so he can heal.. Thanks..
 
Pls Don change ww baki hvo hvo wife material mungu anajua mengi kuliko ww....Unaweza kuona unachelewa but god knows ur denstination...uckimbilie mume ni bora Ubaki bla kuolewa lakini utunze heshima yko...ww sio wa kwanza kufanya ivo hata yesu Kristo hakuoa....ucniulize kama hakuona anaefaa au kwakua alikua masiha mm cjui
 
Mkuu ,yaani jamaa kwa jinsi anampenda ,kumthamini na kumheshimu mkewe kabaki dilema, anatokwa machoz tu muda wooote ,unajua inauma sana mkuu, kakata tamaa kabisa ya maisha ya ndoa, anakuambia hajamuuliza chochote kile hadi sasa kiasi kwamba mkewe analia tu kila siku nisamehe mume wangu nisamehe shetani kanipitia. Jamaa ananambia yaani kaona kugegedwa nje tu haitoshi kaamua kupigwa mimba kabisa!?, machozi tu yanamtoka mkuu acha kabisa, usiombe hii ikutokee

I can imagine ndugu yangu!! mimi tu hapa nimeumia hivi japo simjui jamaa itakuwa yeye mkuu!! Hizi ndoa ni changamoto kabisa. Nilijua tu lazima amsingizie shetani
Mkuu kaa karibu sana na huyo rafiki yako, anapitia kipindi kigumu sana ktk maisha yake!! anaweza naye akaingiwa na shetani akafanya jambo baya sana aiseee!! yaani we acha kabisa mkuu, mi naelewa mke/mume anavyouma
 
Exactly my kaka. Yani ingekuwa binadamu ndo tunaamua maisha ya mtu yawaje, kuna watu wangepata tabu mno. Tunasahau kuwa wote tunaishi kwa neema tu.

Kweli kabisa tunaishi kwa neema tu kwa kweli

BTW umemsoma hapo juu mkuu mbalizi1 kuhusu hiyo ndoa ilivyoingia shubiri
 
Last edited by a moderator:
I hear ur argument madam. hata mm nilisha tathimini hilo ni kweli. kuna madem nawajua wana hook na waume za watu + boyfrend+ flirtionship kibao but wanaolewa. I think the trick is, ukiwa na vidumu vingi they manage ku fake kuwa loving ili usishitukiwe kwamba unae mwingine so they guy thinks u lov him soooo damn much, and he will be like hey ! bby will you marry me? n the girl will be like WHY NOT BBY!. Bingoo!
ni mtazamo tuu na sio General rule.
 
Kama kuna kitu kigumu ni kuficha true characters. Ndio hawa unawaona malaika, mmeenda kidate anavyomdharau waitress, moyoni unaanza kujisemea nikifirisika haya macho anayomchoma nayo waitress si yataniua!

Nduki
 
A lady 27 yrs of age,beautiful,God fearing,educated,employed,n classy,but still single with no hope of getting her Mr right..Deep down inside my heart i see myself a wife material n i envy any man who will be with me..Nia sio kujipa promo wala kujitafutia janaume ila ni kuonyesha tu jinsi gan mtu unaeza kuwa the best lkn ukaambulia patupu.Inavoonekana wanawake wengi micharuko n exactly the opposite of wife material wamekuwa wakibahatika kuwa na life la Maana.Unakuta demu mcharuko,gold digger hana mapenzi ya dhati ila mwisho wa.siku.anakuwa na mwanaume kila mtu anajiuliza how comes kaolewa..ila ss hawa wengne wife materials ni full kustruggle living on their own means, having a moderate life ila mwisho wa siku wengi wao nasema wengi wao sio wote huishia kwenye ndoa zisizo bora sana na maisha yao huishia kuwa magumu tu. I have seen this happening to husband materials too..My conclution naona bora tu mtu uwe mcharuko ishi maisha yako achana na kujitaidi kuwa ms or mr perfect ili lolote litakalotokea mtu usiwe na chochote cha kuregreat, na hata ukipata ndoa bora alhamdullilah usipopata kukawa na vurugu mechi pia inshallah tuendelee kukomeshana huko ndoani maisha yaendelee..kweli wife material sucks!!!kuna mwenye wazo la tofauti???

We need to talk
 
Upo single? Mr right nipo hapa njoo pm....

Msinikuu vibaya....

Back to the topic.

Miaka ishirini na saba bado kidogo jua lizame but still una muda wa kutosha tuu kutulia na kuchanga karata zako vizuri.

Hata siku moja usiishi maisha ya maigizo ishi maisha yako ya kawaidia ili mr right akija akukute katika hali ambayo wewe upo!!! Usiigize wewe ni church girl kumbe club girl, mr right atakukuta to the right site.

Kumbukua kumuomba mungu, na pia usiwe mwepes mwepes utalia.

Hvi just out of curiosity lazima mtu aolewe in her 20s???
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom