Lori mbavu moja au mbavu mbili??Mitaa ya Kinyerezi lori la mchanga, mawe, kokoto bei zake zikoje?
Lori mbavu moja au mbavu mbili??Mitaa ya Kinyerezi lori la mchanga, mawe, kokoto bei zake zikoje?
Hizi terminologies sasa😃 hata sijui ipi ni ipi, sijui hizo mbavu moja na mbili zikoje....niwekee tu bei ya zoteLori mbavu moja au mbavu mbili??
Kama uko serious nicheki nikupe ufafanuzi zaidi nimenunua juzi kuna kitu nimejifunza kuhusu hao mawakala.Mwenye kujua utaratibu wa kununua bati kiwandani Alaf au Sunshea please.
Great !!!!Nimeona nianzishe uzi wa ku-update bei za vitu mbali mbali vinavyotumika katika ujenzi... kama mabati, tofali, kokoto, rangi, misumari n.k
Uzi utakuwa updated kila wakati bei zinapobadilika na kama kuna material mpya ambayo haimo kwenye thread itaongezwa kwenye list katika post namba #2 ambayo itakuwa na kifaa/material husika ikiwa na variations zake na bei kulingana na eneo husika.
Karibu...
Mkuu hii ni laki 9 au elfu 90?Price ya rangi
DREWA (MINERAL STONE)
90,0000
25KG BUCKET
View attachment 1772873View attachment 1772873
Tiles ya 15,500 40X40 sasa hivi inauzwa 21,500.Vifaa vingi vya ujenzi (Tiles,Bati,Nyaya za Umeme) vimepanda bei kuanzia mwezi May
Usafiri bure?Tunauza mbao kwa bei ya jumla.Njoo ofisini kwetu TEGETA tukuhudumie kwa gharama nafuu sana:-
2*2 fut12=2500
2*2 fut12(treated) ya dawa=2800
2*2 fut18(treated) ya dawa=5000
2*4 fut12 treated(ya dawa)=5000
2*4 fut12 isiyo ya dawa=4500
1*6 fut12=5000
1*8 fut12=8500
1*8fut12 ya fisher board(treated)=9500
1*10 fut12=13500
1*10fut 12 fisher board( treated)=15500
2*4 fut18(treated)=9500
2*6 fut12=8000
1*4 fut12=2800
2*6 fut 18=19000
Tunapatikana muda wote kwa namba za simu zifuatazo:-
----0759630751
----0687371138
----0654830416
vile vile kuna huduma ya kuchana,kuranda na kusize mbao inapatikana ofisini kwetu
Hamna page insta au fb?Tunauza mbao kwa bei ya jumla.Njoo ofisini kwetu TEGETA tukuhudumie kwa gharama nafuu sana:-
2*2 fut12=2500
2*2 fut12(treated) ya dawa=2800
2*2 fut18(treated) ya dawa=5000
2*4 fut12 treated(ya dawa)=5000
2*4 fut12 isiyo ya dawa=4500
1*6 fut12=5000
1*8 fut12=8500
1*8fut12 ya fisher board(treated)=9500
1*10 fut12=13500
1*10fut 12 fisher board( treated)=15500
2*4 fut18(treated)=9500
2*6 fut12=8000
1*4 fut12=2800
2*6 fut 18=19000
Tunapatikana muda wote kwa namba za simu zifuatazo:-
----0759630751
----0687371138
----0654830416
vile vile kuna huduma ya kuchana,kuranda na kusize mbao inapatikana ofisini kwetu
Sorry mkuu hio inayouzwa 18 ni size gani?Juz nmenunua tiles kkoo..bei ipanda balaa..box iliyokua inauzwa elf14 sasa inauzwa 18
Box ya 17-18 now hadi 24
tiles monalisa hapo kwako changombe nafuu sanaSorry mkuu hio inayouzwa 18 ni size gani?
Thanx chief ila hujajibu swalitiles monalisa hapo kwako changombe nafuu sana
Me mwenyewe nilikuwa nataka kwenda brohKama uko serious nicheki nikupe ufafanuzi zaidi nimenunua juzi kuna kitu nimejifunza kuhusu hao mawakala.
Mkuu hii ni laki 9 au elfu 90?
Zile rangi za Conmix unazo pia na bei ikoje?90,000
Electric au?Bei za ya wire wa fence ikoje
Kwanii monalisa anauza tiles za tywford??Thanx chief ila hujajibu swali
Vyema ukifunguka hapa ili na wengine tujue2Kama uko serious nicheki nikupe ufafanuzi zaidi nimenunua juzi kuna kitu nimejifunza kuhusu hao mawakala.