Material | Bei (TShs.) | Eneo |
Tofali
| Bei ya Tofali
| Kinyerezi - Dar es Salaam |
Mbao
| Bei ya Mbao
| Tegeta - Dar es Salaam Simu:
|
Drewa (Mineral Stones) - 25 KGs Bucket | 90,000/= | Dar es Salaam |
Emulsion White (Hi Cover) - 20 Litters Bucket | 27,000/= | Dar es Salaam |
UMEFIKIRIA JAMBO JEMA SANANimeona nianzishe uzi wa ku-update bei za vitu mbali mbali vinavyotumika katika ujenzi... kama mambati, tofali, kokoto, rangi, misumari n.k
Uzi utakuwa updated kila wakati bei zinapobadilika na kama kuna material mpya ambayo haimo kwenye thread itaongezwa kwenye list katika post namba #2 ambayo itakuwa na kifaa/material husika ikiwa na variations zake na bei kulingana na eneo husika.
Karibu...
Hiyo ni tofali ya inchi ngapi Boss?Tofali 1 ni tsh 1350 kwa 1150 Kinyerezi dar.
Bei za Inchi 6 na inchi 5Hiyo ni tofali ya inchi ngapi Boss?
Tutauana, huku 5' ni buku wanakufikishia mpaka kwako, 6' ni 1300Bei za Inchi 6 na inchi 5
Sehemu gani hii chief!?Kigamboni 6' ni1100 mpaka site
MwasongaSehemu gani hii chief!?