Dodoma moja
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 307
- 177
- Thread starter
- #61
AsanteMy friend alienda Beforward. Mimi nilienda Enhance Auto.
AsanteMy friend alienda Beforward. Mimi nilienda Enhance Auto.
Ni kweli mkuuUzi mzuri huu hata Kama una baiskel pitia tu Kama mimi hapa
Sio kweli boss kodi zimepanda kama laki 4 hivi.Kodi za kuagiza magari zimeshuka toka mwaka mpya wa fedha. Show room zitakula hasara sana
Mkuu una bike Mimi Nina simulator nawazoom tuUzi mzuri huu hata Kama una baiskel pitia tu Kama mimi hapa
Nina baiskel tu mkuu gari sijui nitamiliki liniMkuu una bike Mimi Nina simulator nawazoom tu
Zimeshuka au zimepanda?Sio kweli boss kodi zimepanda kama laki 4 hivi.
Zimepanda boss kwa hiyo 300k na Kitu.Zimeshuka au zimepanda?
Huo nao ni usafiri pia!Ngoja nami nitaagiza baiskel yangu
Ahsante sanaHuo nao ni usafiri pia!
Grade3.5 na grade R mana yake nini hasa unapotaka nunua gariJapan Kuna makampuni mengi yanayouza used car, haya mnayoyafaham ni kwasababu yamejijengea umaarufu na kujikuta hata bei yanauza yanavyotaka lakini Kwa Yale yanayochipukia huitaji mzunguko was haraka wa pesa hivyo kuuza Kwa bei ndogo.
Pia sio kila muda ni mzuri Kwa kuagiza gari muda mzuri ni mwisho wa mwaka na mwanzo wa mwaka huko minada ya magari Japan hushamiri magari
Pia kabla hujaagiza omba auction sheet
Gari ikianzia grade 3.5 sio mbaya na ikiwa grade R achana nayo
KUAGIZA MWENYEWE INAWEZEKANA MAANA HAKIKA JAMAA WAKO SECURED SANA WANAKUTUMIA NA PRE FORMER INVOICE ILI UKALIPIE BANK NA MALIPO HASA YANAFANYIKA BANKM nmeagiza mwenyewe nmesave karibu 4M
Nakushauri tu,acha uoga mifumo iko very secured
Kama ukiamua kuagiza mwenyewe usiweke mtu kati
Lipa mwenyewe bank kila kitu
Ikifika wacheki clearing agent Trimex company
Wakutolew gari unawalipa laki 2 zao gharama zingine zote lipa mwenyewe wakutumie tu control number!
NOTE:mimi nliagiza SBT nlipokea gari in excellent condition hata mimi sikutarajia pia ilikuja na service card+mafuta nusu tank ya kuanzia🥹
Mpaka leo haijasumbua
KUAGIZA MWENYEWE INAWEZEKANA MAANA HAKIKA JAMAA WAKO SECURED SANA WANAKUTUMIA NA PRE FORMER INVOICE ILI UKALIPIE BANK NA MALIPO HASA YANAFANYIKA BANK
Mimi ni wewe labda tunatofautiana kwenye kampuni, mimi niliagiza kupitia autocom.Mi nimeagiza mwenyewe...
Nikabagain mwenyewe....
Nikalipia kila kitu mwenyewe...
Natarajia kupokea ndinga mwenyewe...
Maana ni yangu mwenyewe....
Shida ya Watanzania wengi ni uoga na kutishana.
Hongera mkuu mwenyewe kwa kufanya kila kitu mwenyeweMi nimeagiza mwenyewe...
Nikabagain mwenyewe....
Nikalipia kila kitu mwenyewe...
Natarajia kupokea ndinga mwenyewe...
Maana ni yangu mwenyewe....
Shida ya Watanzania wengi ni uoga na kutishana.
Lakini ni Uzi hatari sana ikiwa hutaki kuachana na baiskeli! Ukihamasika sana utaishia kumiliki na wewe usafiri wa miguu minne.Uzi mzuri huu hata Kama una baiskel pitia tu Kama mimi hapa
"agent unayemuamini" utamjuaje na unampata wapi ?then utamkabidhi agent unayemuamini atakutolea
Ubarikiwe na Bwana mtumishi kwa kunitia moyoLakini ni Uzi hatari sana ikiwa hutaki kuachana na baiskeli! Ukihamasika sana utaishia kumiliki na wewe usafiri wa miguu minne.